Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Kukusanya fedha ni nusu ya mlinganyo.

Nusu nyingine ni matumizi ya hizo fedha.

Kama ukusanyaji wa fedha unadhibitiwa, halafu mtu mmoja tu ananunua midege anavyotaka, bila bajeti, tenda ya wazi, wala ukaguzi wa vitabu, bado tuna tatizo kubwa sana.
Katika maisha ukipata pesa ambayo ukutarajia hata matumizi yako yatatokea ambayo ukutarajia
 
Katika maisha ukipata pesa ambayo ukutarajia hata matumizi yako yatatokea ambayo ukutarajia
Pesa ya serikali inakwenda kwa bajeti, open tender na ukaguzi wa mahesabu.

Magufuli kaharibu yote hayo.

Sasa hivi Magufuli anaweza kuwa anaiba pesa ndefu sana na kujifanya "rsis wa wanyonge", na watu wanamsifia.

Kwa sababu anatumia fedha ya umma bila bajeti, bila open tender na bila ukaguzi wa mahesabu.

Mfano ni manunuzi ya ndege.
 
Sasa hivi receipt zinatikwa ziwe za kumulika chini, mtu wa TRA akipiga tochi anaona mauzo, kama risiti feki itagoma tu.
Hiyo System sometimes Jau sana Kuna haisomi hapo hapo hadi report itumwe TRA kumbe leo nimezinguana na Mtu akidai risiti feki na nimetoka kununua kitu Dukani duka Kubwa Zamzam Stationery
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Wezi wana hali mbaya
 
Una assume sana, mimi sipo Tanzania kwa miaka zaidi ya 20 na nina maisha yangu mazuri tu leafy suburbs.

Sitegemei upigaji wa kibongo. Nina crypto na real estate na 401k nzito.

Unajua ni vitu gani hivyo?
Hehehehehehe..

Yale yale ya kina Nyani Ngabu kuweka screenshot wana $4m kwenye account..
 
Ufafanuzi wa nini, hakuna wizi wa maduhuli ya Serikali. Vijana wafunga tai sijui CPA holder namba wanaisoma.
Kazi usioijua wala kuisomea hujui fedha yake inapatikanaje. Na hayukwambiii... utaona vijana wanapendeza tuuuuu na hata huyo g. anakuchukulia tuuuu
 
Wahasibu pesa zinawapita juu kwa juu
 
Back
Top Bottom