Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye manunuzi kuna mfumo wa kieletroniki vile vile....soon utasambaaKwani walikuwa wanakula kwenye makusanyo au kwenye malipo (manunuzi)?
Katika maisha ukipata pesa ambayo ukutarajia hata matumizi yako yatatokea ambayo ukutarajiaKukusanya fedha ni nusu ya mlinganyo.
Nusu nyingine ni matumizi ya hizo fedha.
Kama ukusanyaji wa fedha unadhibitiwa, halafu mtu mmoja tu ananunua midege anavyotaka, bila bajeti, tenda ya wazi, wala ukaguzi wa vitabu, bado tuna tatizo kubwa sana.
Shida ulijifanya msomi wa makaratasi tu wakati content kichwani hauna.Usisome kwa kukariri! Hata hueleweki!
Pesa ya serikali inakwenda kwa bajeti, open tender na ukaguzi wa mahesabu.Katika maisha ukipata pesa ambayo ukutarajia hata matumizi yako yatatokea ambayo ukutarajia
Umeongea sense.Sijui wengi hawaoni au ?Kuna siku mifumo yote hii itazimwa na program ya $0.04 kwa jinsi ilivyo na usalama hafifu kabisa
Inapotelea Chato, ndio mbadalaMagufuli ni mwamba, wakuu, mimi nilishawaambia pesa haipotei yaani.
Hiyo System sometimes Jau sana Kuna haisomi hapo hapo hadi report itumwe TRA kumbe leo nimezinguana na Mtu akidai risiti feki na nimetoka kununua kitu Dukani duka Kubwa Zamzam StationerySasa hivi receipt zinatikwa ziwe za kumulika chini, mtu wa TRA akipiga tochi anaona mauzo, kama risiti feki itagoma tu.
Wezi wana hali mbayaWale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.
Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Hehehehehehe..Una assume sana, mimi sipo Tanzania kwa miaka zaidi ya 20 na nina maisha yangu mazuri tu leafy suburbs.
Sitegemei upigaji wa kibongo. Nina crypto na real estate na 401k nzito.
Unajua ni vitu gani hivyo?
Namueleza tu asiwe na one track mind na ready assumptions.Hehehehehehe..
Yale yale ya kina Nyani Ngabu kuweka screenshot wana $4m kwenye account..
umewaponza Hawa jamaa.taari taarifa yako mpaka muda huu imechukuliwaWaking'amua hili wale wanang'amua lile, wapo vijana pale around bilicanas naona hawajaathirika na mfumo hata nukta moja, wao ni bata kwa kwenda mbele.
Kazi usioijua wala kuisomea hujui fedha yake inapatikanaje. Na hayukwambiii... utaona vijana wanapendeza tuuuuu na hata huyo g. anakuchukulia tuuuuUfafanuzi wa nini, hakuna wizi wa maduhuli ya Serikali. Vijana wafunga tai sijui CPA holder namba wanaisoma.