Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Control Number kiboko ya 'wadokozi'
 
Kila wakati na zama zake Hizi zama za Block Chain Teknolojia ipo..., Ulitaka Nyerere atengeneze Control Number kwa kutumia Karai na Kupiga Ramli....

Na bado watu walitibiwa bure na kusomeshwa bure na kwa kutumia maliasili zetu chache..., kizazi hiki tunataka kuchimba kila kilichopo na kuwaachia next generation mahandaki na pollution kwenye mito na maziwa....
Tulia wewe, population iliyokuwepo ilikua rahisi kumudu hayo yote
 
Akili za ajabu sana hizi; kwako unaona watu / labor ni asset au liability ? Wingi wa watu ni faida na sio hasara....,
Ardhi tunayo; Raw Materials Tunazo; Tatizo watu wetu hawapo empowered , tunahangaika kutafuta masoko nje utadhani sisi hatuna matumbo (and with that thinking tutaendelea kuridhika na kuwa mediocre...)
 
Nenda vijijini uone mambo yalivyobadilika. Vijana wanapata elimu bila malipo Hadi ngazi ya Sekondari. Yote hayo ni kutokana na makusanyo kuongezeka
 
Umewahi kutengeneza budget wewe? Unazijua tender wewe? Kwa kifupi: Katika budget kuna emergency cases or miscellaneous cases. Katika Tender kuna kununua direct kutoka kwa manufacturer. No dealers no competition!
Unatumia terminologies ili uonekane msomi lakini unapotosha pakubwa.
Taasisi yoyote kisheria inapaswa iwe audited sasa niambie ni standard ipi ya uhasibu inakataza kukagua bulk procurement?

Huwezi ita miscellaneous kitu ambacho kinachukua zaidi ya 10% ya bajeti tena ni recurring. Miscellaneous can be something of one time sio kila mwaka alafu haiwi factored in kwa bajeti? Wala subject to audit control and query?

Siasa ikiingilia taaluma ndio mnakuja kutetea.

Control haikamiliki kma mnabana makusanyo alafu mnafanya uzembe kwenye manunuzi. Mfano kuna faida gani kubana makusanyo alafu tunaona kelele za watendaji kununua over priced cars!!? Mind you Halmashauri nyingi zimepata hati chafu sababu hta assets zake haziwi valued so mpaka zije kuwa disposed zinauzwa kwa bei ya kifisadi!!

Control ni process sio event tu kwamba ukibana makusanyo tu basi umemaliza kila kitu. Na hyo ndio hoja ya jamaa kwamba bana kote sio upande mmoja tu.

Bottom line naunga mkono uwepo wa control number ili kumonitor malipo.
 
Ngoja nikupe darasa kidogo.
Mchumi na Mhasibu ni wamoja.
Umeongelea 10% of the budget, na recurrence.
Mahitaji muhimu yata -recur endapo hayajawa sufficed.
Pia kuna kitu kinaitwa virement.
To transfer money from one place to the other in order to suffice the needy place.
Before doing that we look at "what is the next best alternative?"
 
Nenda vijijini uone mambo yalivyobadilika. Vijana wanapata elimu bila malipo Hadi ngazi ya Sekondari. Yote hayo ni kutokana na makusanyo kuongezeka
Elimu ipi hyo hii ambayo 80% ya watahiniwa form 4 wana F ya Maths? You can't be serious.
Ngoja nikupe darasa kidogo.
Mchumi na Mhasibu ni wamoja.
Umeongelea 10% of the budget, na recurrence.
Mahitaji muhimu yata -recur endapo hayajawa sufficed.
Pia kuna kitu kinaitwa virement.
To transfer money from one place to the other in order to suffice the needy place.
Before doing that we look at "what is the next best alternative?"
Well and good.... Kwahyo public procurement regulations zinaruhusu ununue tu bila bidding wala tender procedures kufuatwa?

Nimekuuliza pia Are procurement procedures not eligible for audit query?

Virement or watsoever.... Kwa public sekta na sheria ya bajeti iko referred kma re-Allocation na ina michakato yake na lazma ije kuwasilishwa bungeni at least kma taarifa tu but is it the case?

The recurring expenditures haiwezekani ikawa kwenye miscellaneous expenditures kila mwaka.....actually sheria za public finance zinakataza reallocation kufanyika kwa item moja kwa miaka mfululizo. Condition moja ya reallocation kufanyika ni idara husika kupledge kwamba its a one time expense na mwakani haitojirudia.

Sasa niambie basis ya madai yako yako backed up na kanuni zipi public finance/procurement. Maana unajadili kwa mrengo wa private sector
 
Usisome kwa kukariri! Hata hueleweki!
 
Katika kipindi kizuri cha kuiba na kukusanya ni kipindi kama hiki, kwa sababu kila mtu anaogopa so ukipata nafasi unafanya yako.

Hiyo control number wajanja washaifanyia kazi na kuna njia ukilipia pesa haiingii kunakotakiwa but kila kitu kinaonekana sawa ila juu kwa juu inakatwa.
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Watendaji wanakula rushwa ya kesi za wanavijiji na faini.
 
Katika kipindi kizuri cha kuiba na kukusanya ni kipindi kama hiki, kwa sababu kila mtu anaogopa so ukipata nafasi unafanya yako.

Hiyo control number wajanja washaifanyia kazi na kuna njia ukilipia pesa haiingii kunakotakiwa but kila kitu kinaonekana sawa ila juu kwa juu inakatwa.
Mkuu sikubishii ila najaribu kuwaza kwamba ile control Number imebeba particulars zote za deni kwa maana ya Service provider etc, inapokuja kufanywa reconciliation btn mfumo unaolipisha yaani GEPG na Bank itaonekana kuna tofauti hapo utata ndipo unaanzia.

Hasa kwa wale service providers wanaofanya reconciliation in daily bases.
 
Ufafanuzi wa nini, hakuna wizi wa maduhuli ya Serikali. Vijana wafunga tai sijui CPA holder namba wanaisoma.
Wao wakipata njaa wewe furaha tele [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mtu akisema wew ni sadist kama jiwe utakereka au utakuja na ule msemo kuwa wizi umekomeshwa hahahaah
 
Ndege za umma. Awamu nyingine hatukua na ndege na makusanyo yaliishia mifukoni mwa wajanja wachache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee kuna watu na binadamu, kama hulipwi jitafakari mkuu
 
Back
Top Bottom