Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Pesa inakusanywa kisawasawa. Tumepunguza utegemezi wa bajeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tai wameacha kuvaa ndo maana inatabiria watu mabayaZamani wahasibu walikuwa untouchable. Siku hizi wanatia huruma sana.
Labda hao waliovamia fani. Au unamaanisha makarani? Maana kila mtu anajiita mhasibu. Angalia kwenye bodi ya wahasibu NBAA mhasibu ni mtu mwenye sifa zipi.Wahasibu siku hizi hata tai hawavai tena kama zamani tuko nao karume tunagombea tishirt form six
Wahasibu wanaisomaLabda hao waliovamia fani. Au unamaanisha makarani? Maana kila mtu anajiita mhasibu. Angalia kwenye bodi ya wahasibu NBAA mhasibu ni mtu mwenye sifa zipi.
Hao hela ipo. We utapataje hela na mhasibu akose?
Umeshawahi chukua police loss report!?Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.
Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Unaongea nn wewe? Loss report Ni Tsh. 500/= huko kwingine Ni kwasabu wewe Ni NgumbaruUmeshawahi chukua police loss report!?
Kwanza gharama halisi ni 2,500/- kwa item moja... ipo hivi
1. Ukienda polisi kutaka loss report, utaelekezwa kwa wale wenye laptop na printer pembeni ya kituo cha polisi
2. Utaombwa kitambulisho cha taifa au namba ya NIDA, then watakwambia kukutengenezea CONTROL NUMBER utaambiwa 1,000/-
3. Utatengenezewa then utaenda kulipa kwa wakala... 500/-
4. Utaambiwa kulipa 1,000/- kukuprintia hard copy ya loss report
Jumla 2,500/-.
Sasa itokee una items mbili za kuziandikia loss report. Kwanza utaambiwa kila moja na control namba yake... Ndo utaishia kulipa 5,000/-... Mfano umepoteza simu ya laini mbili... kila namba watakutaka utengeneze control namba take
Asante mkuu...!!Unaongea nn wewe? Loss report Ni Tsh. 500/= huko kwingine Ni kwasabu wewe Ni Ngumbaru
Mkuu inaonekana unpenda sana short cuts ndio maana unapigwa.Asante mkuu...!!
Ila nimekupa uhalisia..
1. Hata passport ya kusafiri ni Tshs 150,000/-.. Sasa wewe uwe na hiyo tu, uone kama utaipata.
2. Driving licence ni Tshs 70,000/- nenda nayo hiyo uone kama utaipata
etc
Kuna hidden costs ambazo pengine nyingine ni rasmi na nyingine siyo rasmi, process nzima ikaoelekea hayo ya ongezeko la gharama yatokee
Kuna kuingia mtandaoni kwenye page ya polisi na unajaza mwenyewe
Kuna kwenda polisi kupewa hiyo control namba
Kuna kufanya printing ili upate hard copy...
Hiyo proces inakuvusha kwenye hiyo 500/-.
Asante kwa kumuelimisha huyo Miss Ngumbaru. #Elimu kwa Walioikosa#Mkuu inaonekana unpenda sana short cuts ndio maana unapigwa.
Passport ni 150000 na nimepata kwa bei hiyo sikuongeza hata mia labda usafiri tu na 5000 ya mwanasheria .
Loss report ni 500 unaongeza na 500 ya kuprint, hii loos report unaitengeneza mwenyewe mtandaoni hadi kufikia kupata control number ,uwe tu na details zako hata kwenye simu unafanya.
So ulitakaje?Asante mkuu...!!
Ila nimekupa uhalisia..
1. Hata passport ya kusafiri ni Tshs 150,000/-.. Sasa wewe uwe na hiyo tu, uone kama utaipata.
2. Driving licence ni Tshs 70,000/- nenda nayo hiyo uone kama utaipata
etc
Kuna hidden costs ambazo pengine nyingine ni rasmi na nyingine siyo rasmi, process nzima ikaoelekea hayo ya ongezeko la gharama yatokee
Kuna kuingia mtandaoni kwenye page ya polisi na unajaza mwenyewe
Kuna kwenda polisi kupewa hiyo control namba
Kuna kufanya printing ili upate hard copy...
Hiyo proces inakuvusha kwenye hiyo 500/-.
Huo ni ujinga wako ndo maana unapigwa hiyo 2500Umeshawahi chukua police loss report!?
Kwanza gharama halisi ni 2,500/- kwa item moja... ipo hivi
1. Ukienda polisi kutaka loss report, utaelekezwa kwa wale wenye laptop na printer pembeni ya kituo cha polisi
2. Utaombwa kitambulisho cha taifa au namba ya NIDA, then watakwambia kukutengenezea CONTROL NUMBER utaambiwa 1,000/-
3. Utatengenezewa then utaenda kulipa kwa wakala... 500/-
4. Utaambiwa kulipa 1,000/- kukuprintia hard copy ya loss report
Jumla 2,500/-.
Sasa itokee una items mbili za kuziandikia loss report. Kwanza utaambiwa kila moja na control namba yake... Ndo utaishia kulipa 5,000/-... Mfano umepoteza simu ya laini mbili... kila namba watakutaka utengeneze control namba take
kweli isee tena pale mawasiliano kituo cha polisi nimetoa pesa imeniuma sana...Umeshawahi chukua police loss report!?
Kwanza gharama halisi ni 2,500/- kwa item moja... ipo hivi
1. Ukienda polisi kutaka loss report, utaelekezwa kwa wale wenye laptop na printer pembeni ya kituo cha polisi
2. Utaombwa kitambulisho cha taifa au namba ya NIDA, then watakwambia kukutengenezea CONTROL NUMBER utaambiwa 1,000/-
3. Utatengenezewa then utaenda kulipa kwa wakala... 500/-
4. Utaambiwa kulipa 1,000/- kukuprintia hard copy ya loss report
Jumla 2,500/-.
Sasa itokee una items mbili za kuziandikia loss report. Kwanza utaambiwa kila moja na control namba yake... Ndo utaishia kulipa 5,000/-... Mfano umepoteza simu ya laini mbili... kila namba watakutaka utengeneze control namba take
Zama za ujima zimekujaa kichwaniKila wakati na zama zake Hizi zama za Block Chain Teknolojia ipo..., Ulitaka Nyerere atengeneze Control Number kwa kutumia Karai na Kupiga Ramli....
Na bado watu walitibiwa bure na kusomeshwa bure na kwa kutumia maliasili zetu chache..., kizazi hiki tunataka kuchimba kila kilichopo na kuwaachia next generation mahandaki na pollution kwenye mito na maziwa....
Haya bwana... ila at least wewe pamoja na kupinga, bado umesema hiyo 1,000/- na si anayeng'ang'ania 500/-Huo ni ujinga wako ndo maana unapigwa hiyo 2500
Kikawaida inatakiwa utumie 1000 tu
500 kulipia 500 print
Ngumbaru on fleekHaya bwana... ila at least wewe pamoja na kupinga, bado umesema hiyo 1,000/- na si anayeng'ang'ania 500/-