Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Daah enzi hizo R.I.P mtoto wa dandu enzi hizo alishoot video na Sinta kipindi Sinta yupo juu kwa skendo kama Sepetu.
atajwe mara ngapi sasa na tuzo za heshima kashachukua za kutosha tu kila mtu anafahamu kuhusu cool james na tuzo za kill
Sinta si alikuwa anatoka na msela
Kulikuwa na rumours kuwa Juma Nature ndio alisababisha ile ajali baada ya kugundua Dandu alimmega Sinta wakati wanafanya shooting ya wimbo wa Dandu
Nomaa,,kila gazeti alikuwepo huyo mrembo.
Hayo yalifanyika katika kipindi kifupi sana,na kuna jamaa ambaye alikuwa .mtu wa karibu na marehemu akawa anamega kisela
ni kwamba watu walichukulia tofauti kwa kitendo cha mke wa Dandu (dada anayeonekana katika wimbo wa jaydee USIUSEMEE MOYO) kuolewa na rafiki wa karibu wa marehemu Dandu ambaye toka kabla Dandu hajafariki palikuwapo tetesi kwamba wanatoka tena akaolewa naye katika kipindi kisichozidi mwaka tokea Dandu afe.
Kulikuwa na rumours kuwa Juma Nature ndio alisababisha ile ajali baada ya kugundua Dandu alimmega Sinta wakati wanafanya shooting ya wimbo wa Dandu
Sinta si alikuwa anatoka na msela
amakweli hata kwenye umaarufu, the law of diminishing marginal utility exists...
Mke wake mwenyewe kashaolewa na mthungu hamkumbuki ndio sisi wa kando binadamu tumeumbwa kusahau.Anakumbukwa kwa mazuri yake tuu.Nyota wa bongo fleva za mwanzo kabisa nyota iliyozimika ghafla kwa ajali ya gari akiwa anapanda kwenye kilele cha mafanikio na umaarufu
Leo hii amesahaulika na hakumbukwi tena
Hilo jina nilipewa na bibiangu but sijui maana yake
Wee Kende matata saana aisee. Haahahhahhaa... Sasa kwanini ulikubali kulichukua kwani hukuona Majina mengine???
Nothing Last Forever