Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Aanha hapo sawaMechi rasmi ni saa tisa lakini vile vikorombwezo vya football analysts ndiyo vinaanza saa nane usiku, mimi huwa sipendi kuvikosa ni kama appetizer kabla ya full course. [emoji12]
Ni j2 alfajir sa9Hii mechi ni leo Jumamosi au kesho Jumapili July 11?
Izi mbinu za kivita mkuu bora tungepeana hata DmHuu mpira leo nauangalia live online dakika zote 90 na sitalipia hata 10 ya data
Na kesho euro final the same
Simba vs coastal union, the same
Mchawi chaji na network
Duuu poa shukrani mkuu!Hii copa dstv hamna popote mkuu
Nina premium, huwa naishia kukesha na sion chochote...
Asee navosbr iyo game nimuone Messi na Argentina yake naona kama mda haufiki asee..natak leo abebe ubingwa walau apoze machungu makali sana..Leo Messi ananyanyua ndoo
Wakuu ni king'amuz gani kitaonesha huu mtanange?
Dua zote kwa Argentina mkuu, Walau Team Messi tupate cha kuzungumzaMimi leo dua zng zipo kwa #Argentina ni vyema the football Gods wakaona ni namna gani Messiah huyu kaagaikia taifa lake kwny final 3(Ikiwemo WC) bila kubeba ndoo ya international trophy naamin kama leo Argentina wakicheza kwa determination na complete focus kwa work rate kubwa kuliko Brazil na wakawa clinical kwny finishing wanabeba ubingwa cha muhm tu Teammates wa Messi wasimuangushe wapambane wakijua kua taifa linawategemea sana wasimuachie m2 kazi peke yake...GOD SAVE THE KING[emoji1317]
Jamani hivi kwa wenye Dstv kuna chaneli gani ya kawaida naweza ona hii mechi ukiondoa zile za package ya juu??
Forza ArgentinaAll the best ARGENTINA.
Tustream tuu mkuuHii copa dstv hamna popote mkuu
Nina premium, huwa naishia kukesha na sion chochote ๐
Azam yaleyale๐๐๐๐
Star times nimekesha siku moja nikambulia kuona replay Badala ya live mech in progress ๐๐๐๐
Sijuwi kwanini wanalibalia hili soccer la America ya kusin.....
Vp vinaonyesha na EPLMie niko huku jirani na Malawi nina kidubwasha changu nililetewa na mshikaji wangu wa kinyasa ndicho kinanipa hii burudani kubwa. Baada ya kukipenda nilimuomba aniletee kama 10 kwa ajili ya washkaji zangu akaniambia havipatikani tena.
Huu mpira leo nauangalia live online dakika zote 90 na sitalipia hata 10 ya data
Na kesho euro final the same
Simba vs coastal union, the same
Mchawi chaji na network
Then umeandika ili iweje sasa?Secret issues siwezi weka hapa
Nahisi wameona suala la muda litawapunguzia watejaDatv maza fanta kweli wanashindwa kutoonesha soccer safi la copa america wamengโangโana na Euro. Ukitaka burudani ta soccer cheki copa America
Na akibeba taji, atabeba ballon d'or ya 7Mungu amukumbuke andunje leo anyanyue kwapa kwenye timu yake ya taifa