Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Mechi rasmi ni saa tisa lakini vile vikorombwezo vya football analysts ndiyo vinaanza saa nane usiku, mimi huwa sipendi kuvikosa ni kama appetizer kabla ya full course. [emoji12]
Aanha hapo sawa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi leo dua zng zipo kwa #Argentina ni vyema the football Gods wakaona ni namna gani Messiah huyu kaagaikia taifa lake kwny final 3(Ikiwemo WC) bila kubeba ndoo ya international trophy naamin kama leo Argentina wakicheza kwa determination na complete focus kwa work rate kubwa kuliko Brazil na wakawa clinical kwny finishing wanabeba ubingwa cha muhm tu Teammates wa Messi wasimuangushe wapambane wakijua kua taifa linawategemea sana wasimuachie m2 kazi peke yake...GOD SAVE THE KING[emoji1317]
 
Huu mpira leo nauangalia live online dakika zote 90 na sitalipia hata 10 ya data

Na kesho euro final the same

Simba vs coastal union, the same

Mchawi chaji na network
Izi mbinu za kivita mkuu bora tungepeana hata Dm
 
Mimi leo dua zng zipo kwa #Argentina ni vyema the football Gods wakaona ni namna gani Messiah huyu kaagaikia taifa lake kwny final 3(Ikiwemo WC) bila kubeba ndoo ya international trophy naamin kama leo Argentina wakicheza kwa determination na complete focus kwa work rate kubwa kuliko Brazil na wakawa clinical kwny finishing wanabeba ubingwa cha muhm tu Teammates wa Messi wasimuangushe wapambane wakijua kua taifa linawategemea sana wasimuachie m2 kazi peke yake...GOD SAVE THE KING[emoji1317]
Dua zote kwa Argentina mkuu, Walau Team Messi tupate cha kuzungumza
 
Hii copa dstv hamna popote mkuu
Nina premium, huwa naishia kukesha na sion chochote 😀

Azam yaleyale😀😀😀😀

Star times nimekesha siku moja nikambulia kuona replay Badala ya live mech in progress 😂😂😂😂

Sijuwi kwanini wanalibalia hili soccer la America ya kusin.....
Tustream tuu mkuu
 
Mie niko huku jirani na Malawi nina kidubwasha changu nililetewa na mshikaji wangu wa kinyasa ndicho kinanipa hii burudani kubwa. Baada ya kukipenda nilimuomba aniletee kama 10 kwa ajili ya washkaji zangu akaniambia havipatikani tena.
Vp vinaonyesha na EPL
 
Back
Top Bottom