Copa America 2024 in USA

Ecuador 0-0 Venezuela dk ni ya 8 sasa.

Wazee mpira huko amerika ya kusini hawa watoto wa Ecuador akina Sermiento,Franco wakiongozwa na kaka yao Valencia wanakipiga sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…