Ile Afcon part 2
Copa ni ngumu kuliko Uro! alisikika mlevi mmoja akisema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copa ni ngumu kuliko Uro! alisikika mlevi mmoja akisema
Tunaendelea, uzi ni wakila mtu wa soka huu 😂😂Muanzisha mada amesepa nini!
Kapita njia ya magumashi km muingereza tu, wote watashangaa kitu watakachokutana nacho fainaliArgentina ni kama hata mpinzani kwa sasa.
That's Latin American football for you mkuu, game imekosa utulivu wanakamiana sanaColombia are fcuking it up now.
Ndo matatizo ya hasira hayo.
Kwa kweli!That's Latin American football for you mkuu, game imekosa utulivu wanakamiana sana
World cup 2022 mliongea hivi hivi end of the day tukabeba, copa amerika mliongea hivi hivi end of the tukabeba na ikawa aibu yenu Ronaldo fans, and this time tunamfumua mcolombiaKapita njia ya magumashi km muingereza tu, wote watashangaa kitu watakachokutana nacho fainali
🤣🤣 sasa mkuu kati ya hao mliocheza nao nani anajiweza hapo?World cup 2022 mliongea hivi hivi end of the day tukabeba, copa amerika mliongea hivi hivi end of the tukabeba na ikawa aibu yenu Ronaldo fans, and this time tunamfumua mcolombia
Argentina 🇦🇷 2×0 Canada
Argentina 🇦🇷 1×0 Chile
Argentina 🇦🇷 1×1 Ecuador, ARG won
Argentina 🇦🇷 2×0 Canada
Next final with Colombia, halafu unakuja kusema tumepita ya magumashi!
Wewe kama ni mwanampira aibu kuongea hayo
That's Latin American football for you mkuu, game imekosa utulivu wanakamiana sana
🤣🤣 sasa mkuu kati ya hao mliocheza nao nani anajiweza hapo?
Chile, canada na ecuador sio timu ndogo, ila wanapokutana na mkubwa wao lazima wapigike tu, pamoja na rafu zao ilaa cha moto wamekiona, acha ushabiki ongea uhalisia
Sasa kwenye huo msimamo mbona Argentina yupo juu ya wote hao wanaosemwa bora na vibonde?View attachment 3039882
Nimekuwekea msimamo wa kufuzu kombe la dunia, angalia hali za hao vibonde mliowaokota.
Mnayekutana nae fainali unajua mara ya mwisho kupoteza mchezo ni lini?
Argentina atabeba kombe la Dunia 2026 kama Messi atakuwepo. Hakuna wa kuzuia baraka kwa Messi.Sasa kwenye huo msimamo mbona Argentina yupo juu ya wote hao wanaosemwa bora na vibonde?
Tukubaliane tu Argentina kwa sasa bado wanaubora mkubwa, na wanapewa nafasi ya kubeba ubingwa.
Hata world cup ipigwe sasa, ukiambiwe utaje timu zenye nafasi ya ubingwa huwezi ikosa Argentina.
Yaa Argentina ni bora, hilo halipingiki, lkn ukweli mwingine usiopingika ni kwamba njia yao kwenda fainali kakutana na wanyonge watupu.Sasa kwenye huo msimamo mbona Argentina yupo juu ya wote hao wanaosemwa bora na vibonde?
Tukubaliane tu Argentina kwa sasa bado wanaubora mkubwa, na wanapewa nafasi ya kubeba ubingwa.
Hata world cup ipigwe sasa, ukiambiwe utaje timu zenye nafasi ya ubingwa huwezi ikosa Argentina.
Argentina ni kama hata mpinzani kwa sasa.