Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Wameninyima hela ya supu haha wajinga
Screenshot_20240711_040144_BetWinner_cotz.jpg
 
That's Latin American football for you mkuu, game imekosa utulivu wanakamiana sana
Kwa kweli!

Hizi timu mbili kwenye hii tournament zina combined fouls zaidi ya 120!

But that was so stupid what he did considering the stakes.
 
Kapita njia ya magumashi km muingereza tu, wote watashangaa kitu watakachokutana nacho fainali
World cup 2022 mliongea hivi hivi end of the day tukabeba, copa amerika mliongea hivi hivi end of the tukabeba na ikawa aibu yenu Ronaldo fans, and this time tunamfumua mcolombia

Argentina 🇦🇷 2×0 Canada
Argentina 🇦🇷 1×0 Chile
Argentina 🇦🇷 1×1 Ecuador, ARG won
Argentina 🇦🇷 2×0 Canada

Next final with Colombia, halafu unakuja kusema tumepita ya magumashi!

Wewe kama ni mwanampira aibu kuongea hayo
 
🤣🤣 sasa mkuu kati ya hao mliocheza nao nani anajiweza hapo?
 
That's Latin American football for you mkuu, game imekosa utulivu wanakamiana sana

Usiseme wamekamiana, sema Canada amemkamia Argentina na rafu nyingi, Canada hana ubavu mbele ya the best team in the world, katumia nguvu kubwa, rafu nyingi, mwisho kapigika....kuna mchezaji mweusi kamfanyia rafu de paul haikutosha
akaubutua mpira kwa mgongo wake 😄
 
🤣🤣 sasa mkuu kati ya hao mliocheza nao nani anajiweza hapo?

Chile, canada na ecuador sio timu ndogo, ila wanapokutana na mkubwa wao lazima wapigike tu, pamoja na rafu zao ilaa cha moto wamekiona, acha ushabiki ongea uhalisia
 
1000119023.jpg

Nimekuwekea msimamo wa kufuzu kombe la dunia, angalia hali za hao vibonde mliowaokota.

Mnayekutana nae fainali unajua mara ya mwisho kupoteza mchezo ni lini?
 
View attachment 3039882
Nimekuwekea msimamo wa kufuzu kombe la dunia, angalia hali za hao vibonde mliowaokota.

Mnayekutana nae fainali unajua mara ya mwisho kupoteza mchezo ni lini?
Sasa kwenye huo msimamo mbona Argentina yupo juu ya wote hao wanaosemwa bora na vibonde?

Tukubaliane tu Argentina kwa sasa bado wanaubora mkubwa, na wanapewa nafasi ya kubeba ubingwa.

Hata world cup ipigwe sasa, ukiambiwe utaje timu zenye nafasi ya ubingwa huwezi ikosa Argentina.
 
Argentina atabeba kombe la Dunia 2026 kama Messi atakuwepo. Hakuna wa kuzuia baraka kwa Messi.
 
Sasa kwenye huo msimamo mbona Argentina yupo juu ya wote hao wanaosemwa bora na vibonde?

Tukubaliane tu Argentina kwa sasa bado wanaubora mkubwa, na wanapewa nafasi ya kubeba ubingwa.

Hata world cup ipigwe sasa, ukiambiwe utaje timu zenye nafasi ya ubingwa huwezi ikosa Argentina.
Yaa Argentina ni bora, hilo halipingiki, lkn ukweli mwingine usiopingika ni kwamba njia yao kwenda fainali kakutana na wanyonge watupu.
 
Back
Top Bottom