Hii ni kweli kabisa China huwa anaangalia marekani kagundua nn nae faster anakuja na version ya hicho kitu
Anyway anasaidia kuleta ushindani
Nayo ni sababu pia Trump au marekani lazima awe upande wa Israel na ukiichukia Israel lazima wakushughulikieAchaneni na story za vijiweni hizi.
Alaru Trump kukataza nchi nyingine shida sio China, Shida ni Mahaba yake na Israeli(Wanafunzi wanaonekana na chuki au ukakasi wa kusema Hiyo nchi).
Na hizi ni muendelezo wa Fikra za kwenye Tamthiliya hawa walimshughulikia Hitler kwa kiasi gani ?!!!Nayo ni sababu pia Trump au marekani lazima awe upande wa Israel na ukiichukia Israel lazima wakushughulikie
Usichokijua raia wa Marekani wanaoongoza kwa R&D ni asili ya China,Japan na Korea.Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna mabadiliko ya kuanza kuchunguza wanafunzi wanaotaka kusoma USA katika mabadiliko ya viza.
More than that broAliens...! Sasa ndiyo ili upewe visa ndiyo wakague akaunti zako za mtandaoni waone kama ulikuwa unawasifia ama ulikuwa unawakosoa. Ukikosoa tu hupewi visa...Sasa Uhuru wa kutoa maoni na demokrasia yake vikao wapi? Tukifanya hivyo sisi , hizo kelele...!!!
Ohoo mkuu kupenda si uchaguzi wao, mbona kuna watu wanamwabudu shetani ?Achaneni na story za vijiweni hizi.
Alafu Trump kukataza nchi nyingine shida sio China, Shida ni Mahaba yake na Israeli(Wanafunzi wanaonekana na chuki au ukakasi wa kusema Hiyo nchi).
Umefanya utafiti wa kutosha wa hoja hii?Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna mabadiliko ya kuanza kuchunguza wanafunzi wanaotaka kusoma USA katika mabadiliko ya viza.
tatizo unashinda kusikiliza CCM.fatalia wachambuzi.Umefanya utafiti wa kutosha wa hoja hii?
USA na wazungu hawaamini kama race zingine kuwa zina akili zaidi yao au kama wao.
Nenda msikilize Michio Kaku akieleza silaha kubwa ya maendelro ya USA.
Nenda ufanye kwanza utafiti jinsi China ilipofikia leo.
Nikupe mfano mmoja AI bot zimezinduliwa lini? Hao wachina walienda lini kukopi huko USA , Jambo lingine vyuo vikuu hawana kno how ya kuunda vitu bali research tu.Makampuni ndio wenye knowhow.
Ningekuelewa kama ungesema kuwa chanzo cha teknolojia ya China ni kuruhusu haki miliki ya teknolojia za ulaya kwa China.
Mie nilianza kuifuatilia China 2012 pamoja na ndugu yake irani, k8na mengi sana ya kujifunza.
Kaanfslie documentary wa kioelka maji Monchuria eneo la jangwa la China
Ina kila aina ya ubunifu wa binadamu. Usikuruipuke tu kutuletea mada wengine hatuta kuelewa. Sijapenda comment hii iwe ndefu.
Mkuu wewe una akili, watanzania wengi hawapendi kusoma na kufanya research.Unadhani kuna nini kipya ambacho fore fathers kina Newton na mpaka kina Claude Shannon ambacho sasa hivi utasema ni chako ?, Kuna nini unaweza ukafanya watu washindwe kufanya reverse engineering ?, Bila watu kutoka Europe na dunia nzima kutapakaa na kufanya researches in collaboration unadhani hicho unachokipata sasa ungekipata ?
Anabalance shobo...Kama ana shida na China basi angezuia wachina pekee, sasa mbona kasimamisha utaratibu wa visa kwa nchi zote?
Yeye hataki wanaharakati wa kiislamu.
Na hapo anapiga mikwara tu, hawezi kuzuia kabisa. Wasomi wa nchi za nje wanaikuza sana taaluma marekani. Pia wanachangia $44bn kwenye pato la taifa.
Not really, angalia line up ya companies zote kwenye bay area, executive positions na hata position za kawaida bado chinese ni wengi sanaTrump anakereka kwamba wachina wamesomea US na kuchukua uwezo wao then wakausimplify na kuunda products za kwenda kuwauzia walimu wao! Viwanda vyote vimehamia China na sasa wamekua wateja wa wanafunzi wao! Kwa sasa ili kiwanda kiwezekane US sio zaidi ya miaka 5 na pesa za kutosha then hana manpower ya kutosha kukirun so ni kosa kubwa na la miaka mingi na Trump hana uwezo kulirekebisha hata apewe tena urais baada ya huu wa sasa
Not really, angalia line up ya companies zote kwenye bay area, executive positions na hata position za kawaida bado chinese ni wengi sana