CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Poor Tanzanian busy na uchaguzi wa Kenya wakati ya kwetu yanatushinda.
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya

Ndugu kwa hiyo kauli yako Inamaanisha Magufuli nae ni CDM maana alikwenda hadi kwenye Campaign kule Kenya, Hayo ya kenya ndugu tuyaangalie na tujifunze kupitia huo uchaguzi, kama malalamiko yanayotolewa yana ukweli ndani yake hilo litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Democrasia ya Kenya na hii tutailinganisha na jinsi Tume yetu ya uchaguzi ilivyofanya 2010 hapa kwetu Bongo kwani matokeo yalikuwa na mashaka mengi sana kiasi wameshindwa kuyaweka kwenye mtandao wao hadi hivi sasa. Na tusipende sana kushabikia kwani kwa hali hii tutarajie machafuko mengine huko Kenya.
 
Uwezo Tunao, hutoshi kuwa source, vinginevyo utuambie kwamba wewe ni mfanyakazi wa safari com au ni mmoja kati ya wajumbe wa tume ya uchaguzi. Sawa inawezekana kumetokea matatizo katika mtandao na kusababisha matokeo kuchelewa, lakini huu uvumi usienezwe ilihali hakuna uthibitisho. Mtasababisha maafa, hebu wahurumieni wanawake, wazee na watoto watakaopoteza maisha bila hatia.
 
Last edited by a moderator:

Mfa maji haishi kutapatapa, hizi ni kauli za mshindwaji. Ni mbaazi akikosa maua. Hii inatokana na hoja tu ya kwamba, kwenye server kama ma engineer wamebadili data huyo mkurugenzi kazitowa wapi data halisi na kuzichapa kwa hard copy.
 
kinana anahusikaje? Wakati yeye ni mwenyekiti msamimizi wa eac
Msimamizii???etii??SASA KAMA NI MSIMAMIZI NA TENA MWENYEKITI INAKUWAJE TUSIFIKIRI ANAHUSIKA?Mie nilifikiri ni mwangalizi~mtazamaji kama waangalizi wa mataifa mengine.(samahanini ninaweza nikawa ninakosea)Lakini ninafikiri-kuchakaa kwa ccm+style ya siasa zake za uzeeni+kumbukumbu za siasa zetu tangu tuingie vyama vingi=NI JANGA KWA AFRIKA{yaani ccm sio janga kwa TANZANIA TU,NI JANGA KWA AFRICA.,kwani hatujasahau tulikuwa ni walimu wa siasa zile sahihi za ukombozi,sio hizi sihasa za sasa hivi ambazo hata wenyewe waliobakia huko wanaziita za maji taka.SIFIKIRI KAMA TUMEACHA KUFUNDISHA.,HATA KUSHAURI???SASA KAMA TUMEKOSA USHAURI BORA NA SAHIHI NYUMBANI HUU UJASIRI NA UHALALI WA KUSIMAMIA NA KUSHAURI SIASA BORA NA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI TUNAUTOA WAPI?
 
kazi ya kinana imeonekana. Haya mambo ya IT ndo yalio mnyima urais dr.slaa. kinana anaenda kuumbukia kenya. Mungu hamfichi mnafiki. mia
 
Ili Kenya kusitokee fujo ni Raila ashinde, huyu bwana ndiye mwanzisha fujo Mkuu kama hamjui. Hapa washajumlisha wakagundua ngoma ni nzito kwa Raila.
 
Source????
Hii mahali pake ni kwenye jukwaa la Shigongo until proven otherwise......
 
Ili Kenya kusitokee fujo ni Raila ashinde, huyu bwana ndiye mwanzisha fujo Mkuu kama hamjui. Hapa washajumlisha wakagundua ngoma ni nzito kwa Raila.

nafikiri uko sahihi maana matamko yamezidi sana, hata kuhesabu hawajamaliza.Sahizi anawaandaa wafuasi wake kisakolojia ya fujo. si mwenyewe alikuwa anahubiri mtu akishindwa aka-protest mahakamani. Sasa, matamka ya mapema mapema hivi ya nini?
 
Mkuu mambo mengine hayahitaji kuwa degree ndo uweze kuyaelewa. Jiulize swali jepesi tu kwa nini matokeo yote yanayotangazwa kwa ujumla wake yanatoka kwenye ngome ya Uhuru? Kwa nini wasitangaze matokeo kutoka kwenye ngome za Odinga?
 
Kwa wafuatiliaji wa uchaguzi wa 2007 huyu Raila ndiye wa Kwanza kuwaruhusu wafuasi wake waingie mitaani. Leo hii ameanza tena, wafuasi wake wameanza chokochoko mapema kuweka mabandiko kwenye mitandao ya kijamii wakiwaandaa wafuasi kisaikolojia kuwa wanaweza kuonewa. YETU MACHO ILA DUNIA ITAMJUA SOON.
 
Kwahiyo unadhani Mombasa hakuna wakikuyu au Eldoret hakuna wakamba?
KUA BASI!!!Wapo lakini yakitokea mapigano KIKUYU atarudi KIKUYULAND NA MKAMBA ATARUDI UKAMBANI,WEWE WA DINI UTAKIMBIZIA WAPI ROHO YAKO AMBAPO HAUTAKUTANA NA DINI KINZANI???
 
Wana ccm bana! Mnatumia kenyan election kuhalalisha madudu yenu! Mweee...
 
Damu isha anza kunukia, Afrika teknolojia badi sana
 
ccm c janga kwa tanzania tu ni janga kwa afrca 100%.
 
Mkuu mambo mengine hayahitaji kuwa degree ndo uweze kuyaelewa. Jiulize swali jepesi tu kwa nini matokeo yote yanayotangazwa kwa ujumla wake yanatoka kwenye ngome ya Uhuru? Kwa nini wasitangaze matokeo kutoka kwenye ngome za Odinga?
Kama haya yana ukweli, basi Kibaki atakuwa amejichafua mwenyewe. Alikuwa awe neutral aache nchi kwa amani na yeye akaishi kwa amani baada ya kuachia madaraka. Sasa kama ataacha migogoro nyuma, kwa hakika atakuwa amejiharibia sana.
 
Reactions: BAK
Viongozi wa Afrika ndivyo walivyo!!! siku zote lazima wahakikishe wanapindisha chaguzi.

Kama haya yana ukweli, basi Kibaki atakuwa amejichafua mwenyewe. Alikuwa awe neutral aache nchi kwa amani na yeye akaishi kwa amani baada ya kuachia madaraka. Sasa kama ataacha migogoro nyuma, kwa hakika atakuwa amejiharibia sana.
 
tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, acheni kulalama
kwa nchi zetu rushwa ilivyotamalaki tume huru na katiba mpya siyo muarobaini wa kila kitu bali ni mwanzo tu wa kujenga demokrasia na uwazi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…