Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Poor Tanzanian busy na uchaguzi wa Kenya wakati ya kwetu yanatushinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya
Uwezo Tunao, hutoshi kuwa source, vinginevyo utuambie kwamba wewe ni mfanyakazi wa safari com au ni mmoja kati ya wajumbe wa tume ya uchaguzi. Sawa inawezekana kumetokea matatizo katika mtandao na kusababisha matokeo kuchelewa, lakini huu uvumi usienezwe ilihali hakuna uthibitisho. Mtasababisha maafa, hebu wahurumieni wanawake, wazee na watoto watakaopoteza maisha bila hatia.Source: Uwezo Tunao. Cha zaidi kafuatilie kama kuna matangazo zaidi ya matokeo ya Urais nchini humo tangu usome taarifa hii humu.
Tume sasa kutangaza matokeo kuanzia hapo kesho kwa kutegemea na kutumia makaratasi na wala si zile za ki-elektroniki ambazo tayari zimechakachuliwa kule SafariCom.
Hawawezi kuwa kwa mchanganyiko tulionao sisi wa kiimani, Maana sisi hadi vijijini tumechanganyika hivyo hivyo.Kwahiyo unadhani Mombasa hakuna wakikuyu au Eldoret hakuna wakamba?
Wakikuyu wakikuyu i hate them these viroboto
CHAIN OF CRISIS MEETINGS AFTER SAFARICOM ENGINEER 'DOCTORING'
2013 ELECTION RESULTS IS EXPOSED AT LAST
The whole SECRET IS OUT with regard to a THORN IN DOCTORING eletoral results in Kenya's 2013 Elections.
The SafariCom Chief Executive Director has released a MOST DAMNING SECRET on how one of his company's Engineers had been busy changing the election results send to the electoral body via SafariCom.
The Engineer who has been maliciously busy changing grassroots election results in favour of 'one of our own' had lately sparked suspicion and skepticism in his boss and the entire unsuspecting public following his deliberate move to re-programme a gap between the leading lights in that country's political scene as well as the pace at which he divulges the altered statistics to the National Panel at the Bomas of Kenya.
If it were not Safaricom top leadership's ethical wish to see the results from the grassroots reach Bomas of Kenya without any re-engineering, perhaps another lase of countrywide disharmony would have exploded t this displeasure.
The CEO is reported raised 'very serious concerns' on on the fact that provisional election results are grossly different from what his company has so far received from various grassroot poll centres in the country.
To this end, many surprises are on the way yet to be witnessed. Mind you, this is a cream piece of information only shared with JF members.
Msimamizii???etii??SASA KAMA NI MSIMAMIZI NA TENA MWENYEKITI INAKUWAJE TUSIFIKIRI ANAHUSIKA?Mie nilifikiri ni mwangalizi~mtazamaji kama waangalizi wa mataifa mengine.(samahanini ninaweza nikawa ninakosea)Lakini ninafikiri-kuchakaa kwa ccm+style ya siasa zake za uzeeni+kumbukumbu za siasa zetu tangu tuingie vyama vingi=NI JANGA KWA AFRIKA{yaani ccm sio janga kwa TANZANIA TU,NI JANGA KWA AFRICA.,kwani hatujasahau tulikuwa ni walimu wa siasa zile sahihi za ukombozi,sio hizi sihasa za sasa hivi ambazo hata wenyewe waliobakia huko wanaziita za maji taka.SIFIKIRI KAMA TUMEACHA KUFUNDISHA.,HATA KUSHAURI???SASA KAMA TUMEKOSA USHAURI BORA NA SAHIHI NYUMBANI HUU UJASIRI NA UHALALI WA KUSIMAMIA NA KUSHAURI SIASA BORA NA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI TUNAUTOA WAPI?kinana anahusikaje? Wakati yeye ni mwenyekiti msamimizi wa eac
SIRI KUBWA YAFICHUKA KUHUSU UCHAKACHUAJI WA MATOKEO YA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2013 NCHINI KENYA NA KUSABABISHA MIKUTANO KIBAO KUTAFUTA KUOKOA HALI KUSITOKEE MACHAFUKOSiri kubwa yabainika nchini Kenya muda si mrefu kuhusu utitiri wa matokeo kutoka mashinani na jinsi gani yalivyokua yakichakachuliwa na Injinia wa kampuni ya Simu Safaricom kabla ya kukabidhi matokeo hayo kwa tume ya uchaguzi na vyombo vya habari nchini humo.
Safaricom ni kampuni ya simu iliojitolea kusaidia tume ya uchaguzi kutoka mashinani na kutarajiwa kuzikabidhi kwa wahusika bila ya kuvurugwa kwa namna yoyote ile lakini uhalisia wa mambo haukua hivo.
Hali hiyo ilionekana kumkera sana meneja mkuu wa kampuni hiyo ya simu mara baada ya kubaini kwamba hadi hivi sasa sehemu kubwa ya matokeo yanayorushwa hewani kamwe hayafanani na yale yaliopokelewa na kampuni yake tangu awali kiasi cha kumfanya kuchapisha katika rundo la makaratasi 'matokeo halisi' anayodai kuwa ni tofauti kabisa na yale yanayoendelea kuzungushwa kote katika vyombo vya habari nchini humo.
Kwa msingi wa hali hiyo ya sintofahamu katika uchaguzi wa Kenya kuna madai kwamba kuna misururu ya mikutano inayoendelea hadi hivi sasa nyuma ya pazia kutafuta namna gani ya kudhibiti taarifa hizi zisiwafikie wananchi wa nchi hiyo kwa ujumla wao na pengine kusababisha hasira na michafuko.
Ni hayo tu kwa sasa.
Ili Kenya kusitokee fujo ni Raila ashinde, huyu bwana ndiye mwanzisha fujo Mkuu kama hamjui. Hapa washajumlisha wakagundua ngoma ni nzito kwa Raila.
Uwezo Tunao, hutoshi kuwa source, vinginevyo utuambie kwamba wewe ni mfanyakazi wa safari com au ni mmoja kati ya wajumbe wa tume ya uchaguzi. Sawa inawezekana kumetokea matatizo katika mtandao na kusababisha matokeo kuchelewa, lakini huu uvumi usienezwe ilihali hakuna uthibitisho. Mtasababisha maafa, hebu wahurumieni wanawake, wazee na watoto watakaopoteza maisha bila hatia.
Kwa wafuatiliaji wa uchaguzi wa 2007 huyu Raila ndiye wa Kwanza kuwaruhusu wafuasi wake waingie mitaani. Leo hii ameanza tena, wafuasi wake wameanza chokochoko mapema kuweka mabandiko kwenye mitandao ya kijamii wakiwaandaa wafuasi kisaikolojia kuwa wanaweza kuonewa. YETU MACHO ILA DUNIA ITAMJUA SOON.nafikiri uko sahihi maana matamko yamezidi sana, hata kuhesabu hawajamaliza.Sahizi anawaandaa wafuasi wake kisakolojia ya fujo. si mwenyewe alikuwa anahubiri mtu akishindwa aka-protest mahakamani. Sasa, matamka ya mapema mapema hivi ya nini?
KUA BASI!!!Wapo lakini yakitokea mapigano KIKUYU atarudi KIKUYULAND NA MKAMBA ATARUDI UKAMBANI,WEWE WA DINI UTAKIMBIZIA WAPI ROHO YAKO AMBAPO HAUTAKUTANA NA DINI KINZANI???Kwahiyo unadhani Mombasa hakuna wakikuyu au Eldoret hakuna wakamba?
ccm c janga kwa tanzania tu ni janga kwa afrca 100%.chezea kinana wewe, kenda wapa jubilee zile mbinu walizotumia mwaka 2010 za kuweka receiving center ya matokeo pale dodoma, wanayachakachua kisha yanapelekwa kwa wavuti ya tume. Ati server inaleta shida 6 hours huku matokeo yakiendelea kurushwa, duh hii noma kweli.
Kama haya yana ukweli, basi Kibaki atakuwa amejichafua mwenyewe. Alikuwa awe neutral aache nchi kwa amani na yeye akaishi kwa amani baada ya kuachia madaraka. Sasa kama ataacha migogoro nyuma, kwa hakika atakuwa amejiharibia sana.Mkuu mambo mengine hayahitaji kuwa degree ndo uweze kuyaelewa. Jiulize swali jepesi tu kwa nini matokeo yote yanayotangazwa kwa ujumla wake yanatoka kwenye ngome ya Uhuru? Kwa nini wasitangaze matokeo kutoka kwenye ngome za Odinga?
Kama haya yana ukweli, basi Kibaki atakuwa amejichafua mwenyewe. Alikuwa awe neutral aache nchi kwa amani na yeye akaishi kwa amani baada ya kuachia madaraka. Sasa kama ataacha migogoro nyuma, kwa hakika atakuwa amejiharibia sana.
kwa nchi zetu rushwa ilivyotamalaki tume huru na katiba mpya siyo muarobaini wa kila kitu bali ni mwanzo tu wa kujenga demokrasia na uwazi zaidi.tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, acheni kulalama