Corona: Ali kiba kujitolea PPE 200

Corona: Ali kiba kujitolea PPE 200

Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona

Alikiba ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha LEO TENA cloudsFM,
Hivi unavyosema alikiba kutoa PPE 200 ujue MABUMUNDA au MISUKULE yake itaanza kumpaisha pasipo sababu? Hivi unajua hata gloves ni PPE? Unajua bei ya PPE(Gloves) ni Buku....Kama akitoa Gloves 200 ni laki 2.
 
Jamaa hapendi show off, ndio maana hawezi kutoa zaidi ya hapo.
 
Ni kawaida ya KingKiba, hata mimi kanitumia hela ya kodi
 
Hivi unavyosema alikiba kutoa PPE 200 ujue MABUMUNDA au MISUKULE yake itaanza kumpaisha pasipo sababu? Hivi unajua hata gloves ni PPE? Unajua bei ya PPE(Gloves) ni Buku....Kama akitoa Gloves 200 ni laki 2.
Acha dharau watu wana hitaji msaada,PPE sio gloves ni vazi analovaa muhudumu kujikinga na magonjwa ,gharama yake moja ni elfu 50,mara 200 ni sawa na milion 10.
MUHIMBILI BLOG : MUHIMBILI YASAMBAZA VAZI LA PPE KWA KAMATI ZA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM

Nukuu
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kusambaza mavazi maalumu (coverall) ambayo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga wakati wanatoa huduma wagonjwa wenye maambuki mbalimbali ikiwemo Covid 19 kwa kamati za dharura za Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na wanahabari leo, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona amesema kuwa baada ya kujadiliana na Serikali bei elekezi itakuwa Tzs. 50,000 kwa kila vazi moja.
 
Ndio maana nilisisitiza MABUMUNDA ya KIBAKULI yasiyoelewa maana ya PPE yatakuja kupiga mapambio humu.

Wewe rudi shule PPE ni vifaa vinavyotumika kwa wataalamu wa afya kujikinga dhidi ya maambukizi wamuhudumiapo mgonjwa ,PPE inaweza kuwa magauni yale ya nylon,gloves,gogoz(miwani),boots etc usikariri PPE kwamba ni nguo!!
 
Kwa wewe na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona nani anajua definition ya PPE.?

FICHA UJINGA WAKO,mtoto kiume lakini una wivu wa kike,unachukia mpaka vitu vya msingi.
 
Waludishe mifuko ya plastick itumike kama PPE

Ali sikika mbuge mmoja Bungeni
 
Acha dharau watu wana hitaji msaada,PPE sio gloves ni vazi analovaa muhudumu kujikinga na magonjwa ,gharama yake moja ni elfu 50,mara 200 ni sawa na milion 10.
MUHIMBILI BLOG : MUHIMBILI YASAMBAZA VAZI LA PPE KWA KAMATI ZA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM

Nukuu
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kusambaza mavazi maalumu (coverall) ambayo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga wakati wanatoa huduma wagonjwa wenye maambuki mbalimbali ikiwemo Covid 19 kwa kamati za dharura za Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na wanahabari leo, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona amesema kuwa baada ya kujadiliana na Serikali bei elekezi itakuwa Tzs. 50,000 kwa kila vazi moja.
Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
 
Huwezi jua mfuko wake una kiasi gani na mpaka kutaka kutoa huo mchango huwezi jua kaguswa kiasi gani.

Ila mimi bei nime refer kutoka ktk hiyo habari 50,000 per PPE.
 
Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
Diamond anaweza lakini kutoa hii hela lakini mana .wabongo hatuna shukulani hata kwa kidogo mtu anachojitolea tulifurahia kulipiwa kodi ila mpk sasa mtu kakaa kimya mana anajua wajinga wengi
 
we jamaa kichwa panzi kweli... kwahiyo we huoni? au unataka mpaka aje kwako akwambie kuwa nshaanza kutoa?

we kwan toka useme unataka mwaka huu utoke kwenu ukajitegemee, mbona mpaka leo bado upo kwa shemeji ako?
 
Ali Kiba ndio msanii pekee anaeweza kuliokoa taifa letu kwenye majanga kama haya.
 
Ppe kwa kirefu wanasema ni personal protective equipments
 
we jamaa kichwa panzi kweli... kwahiyo we huoni? au unataka mpaka aje kwako akwambie kuwa nshaanza kutoa?

we kwan toka useme unataka mwaka huu utoke kwenu ukajitegemee, mbona mpaka leo bado upo kwa shemeji ako?
Dogo kama unakaa kwa shemeji ni ww peke yako mi nimetoka kwetu nikiwa na miaka 15 nikaaanza kujitegemea hata huyo unayemsifu humu hawezi kunifikia hata nusu unafikiri mimi kama ww najipendekeza kwa mwanaume mwenzangu jiongeze kijana sio kila unayemuona humu anakaa kwa shemeji kama ulivyo ww sie wengine tulishajijenga miaka 10 nyuma huko na sasa hivi tunaendelea kuongeza miladi ya kutuingizia pesa tu
 
Back
Top Bottom