Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PEP mzigo mpya huu eehh[emoji23][emoji23]
Hivi unavyosema alikiba kutoa PPE 200 ujue MABUMUNDA au MISUKULE yake itaanza kumpaisha pasipo sababu? Hivi unajua hata gloves ni PPE? Unajua bei ya PPE(Gloves) ni Buku....Kama akitoa Gloves 200 ni laki 2.Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona
Alikiba ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha LEO TENA cloudsFM,
Acha dharau watu wana hitaji msaada,PPE sio gloves ni vazi analovaa muhudumu kujikinga na magonjwa ,gharama yake moja ni elfu 50,mara 200 ni sawa na milion 10.Hivi unavyosema alikiba kutoa PPE 200 ujue MABUMUNDA au MISUKULE yake itaanza kumpaisha pasipo sababu? Hivi unajua hata gloves ni PPE? Unajua bei ya PPE(Gloves) ni Buku....Kama akitoa Gloves 200 ni laki 2.
Ndio maana nilisisitiza MABUMUNDA ya KIBAKULI yasiyoelewa maana ya PPE yatakuja kupiga mapambio humu.Acha dharau watu wana hitaji msaada,PPE sio gloves ni vazi analovaa muhudumu kujikinga na magonjwa ,gharama yake moja ni elfu 50,mara 200 ni sawa na milion 10.
MUHIMBILI BLOG : MUHIMBILI YASAMBAZA VAZI LA PPE KWA KAMATI ZA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM
Nukuu
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kusambaza mavazi maalumu (coverall) ambayo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga wakati wanatoa huduma wagonjwa wenye maambuki mbalimbali ikiwemo Covid 19 kwa kamati za dharura za Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari leo, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona amesema kuwa baada ya kujadiliana na Serikali bei elekezi itakuwa Tzs. 50,000 kwa kila vazi moja.
Kwa wewe na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona nani anajua definition ya PPE.?Ndio maana nilisisitiza MABUMUNDA ya KIBAKULI yasiyoelewa maana ya PPE yatakuja kupiga mapambio humu.
Wewe rudi shule PPE ni vifaa vinavyotumika kwa wataalamu wa afya kujikinga dhidi ya maambukizi wamuhudumiapo mgonjwa ,PPE inaweza kuwa magauni yale ya nylon,gloves,gogoz(miwani),boots etc usikariri PPE kwamba ni nguo!!
Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..Acha dharau watu wana hitaji msaada,PPE sio gloves ni vazi analovaa muhudumu kujikinga na magonjwa ,gharama yake moja ni elfu 50,mara 200 ni sawa na milion 10.
MUHIMBILI BLOG : MUHIMBILI YASAMBAZA VAZI LA PPE KWA KAMATI ZA DHARURA JIJINI DAR ES SALAAM
Nukuu
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanza kusambaza mavazi maalumu (coverall) ambayo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga wakati wanatoa huduma wagonjwa wenye maambuki mbalimbali ikiwemo Covid 19 kwa kamati za dharura za Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari leo, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona amesema kuwa baada ya kujadiliana na Serikali bei elekezi itakuwa Tzs. 50,000 kwa kila vazi moja.
Huwezi jua mfuko wake una kiasi gani na mpaka kutaka kutoa huo mchango huwezi jua kaguswa kiasi gani.Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
Diamond anaweza lakini kutoa hii hela lakini mana .wabongo hatuna shukulani hata kwa kidogo mtu anachojitolea tulifurahia kulipiwa kodi ila mpk sasa mtu kakaa kimya mana anajua wajinga wengiYaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
we jamaa kichwa panzi kweli... kwahiyo we huoni? au unataka mpaka aje kwako akwambie kuwa nshaanza kutoa?Diamond anaweza lakini kutoa hii hela lakini mana .wabongo hatuna shukulani hata kwa kidogo mtu anachojitolea tulifurahia kulipiwa kodi ila mpk sasa mtu kakaa kimya mana anajua wajinga wengi
Dogo kama unakaa kwa shemeji ni ww peke yako mi nimetoka kwetu nikiwa na miaka 15 nikaaanza kujitegemea hata huyo unayemsifu humu hawezi kunifikia hata nusu unafikiri mimi kama ww najipendekeza kwa mwanaume mwenzangu jiongeze kijana sio kila unayemuona humu anakaa kwa shemeji kama ulivyo ww sie wengine tulishajijenga miaka 10 nyuma huko na sasa hivi tunaendelea kuongeza miladi ya kutuingizia pesa tuwe jamaa kichwa panzi kweli... kwahiyo we huoni? au unataka mpaka aje kwako akwambie kuwa nshaanza kutoa?
we kwan toka useme unataka mwaka huu utoke kwenu ukajitegemee, mbona mpaka leo bado upo kwa shemeji ako?