#COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba

#COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba

Nadhani wengi watakuwa wamechanjwa mpaka wastaafu na wake zao.
Itakuwa ndiyo maana hii si issue tena kwao.

Tozo wanazoziita za uzalendo hayapaswi kupewa!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
MAREKANI..
Wameanza fununu.

kampuni moja wapo iliyotengeneza chanjo imetoa taarifa kua wote waliochoma chanjo yao ni lazma wapate “CHANJO MPYA” wameipa jina “BOOSTER”

imenipa maswali mengi sana.
Kabla hawajasema Kama hutopata BOOSTER Basi chanjo ya kwanza inaweza fupisha maisha au ulemavu wa maisha.
 
Wana nini hawa zaidi ya kutaka kutukamua tu?

Hawa ndiyo wa nyungu mikaratusi na matango pori.

We hold them responsible for all covid-19 deaths prior to the arrival of the vaccines. I hope that is fair enough.
Habari ndio hiyo mkuu.

Serikali inashindwa na kuwatoa JASHO mfumo wa kununulia LUKU basi ata chanjo ya sumu uta dungwa tu.

Na kwa kujua wao wenyewe awana uhakika na hizo CHANJO ndio maana wamekuja na huo MKATABA.

Serikali gani aiangalii na kulinda AFYA za wananchi wake?
 
Kupata Vaccine lazima tufuate protocol ataanza mama, Makamu wake, baraza la Mawaziri, .....mpaka mimi niliyeko Endabash huku nitakuwa nimeshajua kama chanjo iko vizuri au laa !!
 
Kupata Vaccine lazima tufuate protocol ataanza mama, Makamu wake, baraza la Mawaziri, .....mpaka mimi niliyeko Endabash huku nitakuwa nimeshajua kama chanjo iko vizuri au laa !!
Wao na familia zao tayari wameshapata ile iliyo bora.

Kwao sasa hata sisi tusipochanjwa ni sawa tu.

Mabinafsi yenye ubinafsi uliopitiliza.
 
MAREKANI..
Wameanza fununu.

kampuni moja wapo iliyotengeneza chanjo imetoa taarifa kua wote waliochoma chanjo yao ni lazma wapate “CHANJO MPYA” wameipa jina “BOOSTER”

imenipa maswali mengi sana.
Kabla hawajasema Kama hutopata BOOSTER Basi chanjo ya kwanza inaweza fupisha maisha au ulemavu wa maisha.
Mkuu hiyo booster wamesema unachanjwa baada ya miezi 6 toka siku uliyo chanjwa second dose na ni kwa ajili ya new variant delta ila WHO wamesema hakuna ushahidi wowote mpaka sasa kwamba inahitajika 3rd dose.
 
Habari ndio hiyo mkuu.

Serikali inashindwa na kuwatoa JASHO mfumo wa kununulia LUKU basi ata chanjo ya sumu uta dungwa tu.

Na kwa kujua wao wenyewe awana uhakika na hizo CHANJO ndio maana wamekuja na huo MKATABA.

Serikali gani aiangalii na kulinda AFYA za wananchi wake?

Mkuu kwa mabinafsi hawa, ni heri ku risk na beberu kuliko kuwaamini hawa jamaa kwa lolote.
 
Kidogo? Mbona Zanzibar chanjo imefika?

Ilikuwa muhimu kujua vigogo serikalini waliokwisha chanjwa. Usije kuta hapa mwenye shibe hajui kama kuna wenye njaa.
Zenji wao wanapigwa ile ya China "Sinovac" ambayo hata sasa serikali ya Dodoma ikiitaka inapata...

JMT wao wameingizwa kwenye mpango wa Covax, hivyo wanasubiri muda wa kuletewa mzigo na mabeberu ingawa haijawa wazi ni chanjo ipi...

Halafu Zenji pia kwa kuwa ni sehemu ya JMT, nao pia ni wanufaika wa hizo chanjo za mpango wa Covax zitapofika hizo za mabeberu...
 
It’s no longer a priority Mkuu. Hayo ndiyo mafisi ya maccm yalivyo

Itakuwa ndiyo maana hii si issue tena kwao.

Tozo wanazoziita za uzalendo hayapaswi kupewa!
 
It’s no longer a priority Mkuu. Hayo ndiyo mafisi ya maccm yalivyo

Ni vizuri kujua ili kukaa mkao wa kupambana nao.

You don't care about me. Simple mathematics: "why then should I care about you?!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii habari inavunja moyo. Desemba?! Tutafika kweli huko? Mbona Zenji kwao imeshatua?

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alipohojiwa na kituo cha runinga cha Azam juzi, alisema kundi la kwanza kupata chanjo hiyo ni watoa huduma za afya.

Chanjo hizo, alisema zitaanza kuwasili nchini miezi mitatu kutoka sasa “lakini zitakazotumiwa na makundi mengine zitawasili Desemba.”

Hata hivyo pongezi kwenu:

"Profesa Makubi alisema kutokana na mlipuko wa tatu wa virusi hivyo, Serikali itahakikisha makundi yaliyo hatarini, wakiwamo watumishi wa afya wanachanjwa mapema. Alisema wapo watu ambao ni lazima kupata chanjo hiyo, wakiwamo wasafiri na wanaohudhuria mikutano."

Pana mtu alituchelewesha sana hapa wallahi!
Chanjo zao za kishoga wachomane wenyewe huko huko
 
Back
Top Bottom