- Thread starter
- #21
Itakuwa ndiyo maana hii si issue tena kwao.Nadhani wengi watakuwa wamechanjwa mpaka wastaafu na wake zao.
Tozo wanazoziita za uzalendo hayapaswi kupewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ndiyo maana hii si issue tena kwao.Nadhani wengi watakuwa wamechanjwa mpaka wastaafu na wake zao.
Habari ndio hiyo mkuu.Wana nini hawa zaidi ya kutaka kutukamua tu?
Hawa ndiyo wa nyungu mikaratusi na matango pori.
We hold them responsible for all covid-19 deaths prior to the arrival of the vaccines. I hope that is fair enough.
Wao wana ile ya Madagascar wanapiga taratiiiibu.......
Wao na familia zao tayari wameshapata ile iliyo bora.Kupata Vaccine lazima tufuate protocol ataanza mama, Makamu wake, baraza la Mawaziri, .....mpaka mimi niliyeko Endabash huku nitakuwa nimeshajua kama chanjo iko vizuri au laa !!
Mkuu hiyo booster wamesema unachanjwa baada ya miezi 6 toka siku uliyo chanjwa second dose na ni kwa ajili ya new variant delta ila WHO wamesema hakuna ushahidi wowote mpaka sasa kwamba inahitajika 3rd dose.MAREKANI..
Wameanza fununu.
kampuni moja wapo iliyotengeneza chanjo imetoa taarifa kua wote waliochoma chanjo yao ni lazma wapate “CHANJO MPYA” wameipa jina “BOOSTER”
imenipa maswali mengi sana.
Kabla hawajasema Kama hutopata BOOSTER Basi chanjo ya kwanza inaweza fupisha maisha au ulemavu wa maisha.
Habari ndio hiyo mkuu.
Serikali inashindwa na kuwatoa JASHO mfumo wa kununulia LUKU basi ata chanjo ya sumu uta dungwa tu.
Na kwa kujua wao wenyewe awana uhakika na hizo CHANJO ndio maana wamekuja na huo MKATABA.
Serikali gani aiangalii na kulinda AFYA za wananchi wake?
Zenji wao wanapigwa ile ya China "Sinovac" ambayo hata sasa serikali ya Dodoma ikiitaka inapata...Kidogo? Mbona Zanzibar chanjo imefika?
Ilikuwa muhimu kujua vigogo serikalini waliokwisha chanjwa. Usije kuta hapa mwenye shibe hajui kama kuna wenye njaa.
Itakuwa ndiyo maana hii si issue tena kwao.
Tozo wanazoziita za uzalendo hayapaswi kupewa!
Kabisa mkuu.Mkuu kwa mabinafsi hawa, ni heri ku risk na beberu kuliko kuwaamini hawa jamaa kwa lolote.
It’s no longer a priority Mkuu. Hayo ndiyo mafisi ya maccm yalivyo
Kabisa mkuu.
Inawezekana ya kwao isiwe hii wanayotutangazia
Inawezekana......Hao at our cost watakuwa wamepata Pfizer. They are safe and they don't care about us!
Chanjo zao za kishoga wachomane wenyewe huko hukoHii habari inavunja moyo. Desemba?! Tutafika kweli huko? Mbona Zenji kwao imeshatua?
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alipohojiwa na kituo cha runinga cha Azam juzi, alisema kundi la kwanza kupata chanjo hiyo ni watoa huduma za afya.
Chanjo hizo, alisema zitaanza kuwasili nchini miezi mitatu kutoka sasa “lakini zitakazotumiwa na makundi mengine zitawasili Desemba.”
Hata hivyo pongezi kwenu:
"Profesa Makubi alisema kutokana na mlipuko wa tatu wa virusi hivyo, Serikali itahakikisha makundi yaliyo hatarini, wakiwamo watumishi wa afya wanachanjwa mapema. Alisema wapo watu ambao ni lazima kupata chanjo hiyo, wakiwamo wasafiri na wanaohudhuria mikutano."
Pana mtu alituchelewesha sana hapa wallahi!
Chanjo zao za kishoga wachomane wenyewe huko huko
Waandike kwa kiswahili ili na sie akina kishimba tueleweUkifurahi chanzo na pia jaribu kusoma mkataba wa SERIKALI na WANANCHI wake, amejitoa ataki LAWAMA.
Kazi iendelee View attachment 1855940
WATANZANIA HATUTAKI CHANJOZa Corona tunazitaka wala si Desemba. Mbona wao kina Madelu, Mimacho, Mama na serikali kwa ujumla wameshapata?
Sinovac ya china na astrazeneca Ya India. Una swali nyingine?Hiyo chanjo inayoletwa Tz unaitwaje? Au ndio ile yenye tahadhari not to be sold in USA, Canada and Europe?
Ungeongezea neno uchwara ungekuwa vizuri zaidi:WATANZANIA HATUTAKI CHANJO