Barakoa gani tena jamani? Si tulikubaliana kuwa kuna Nyungu season 4?
Ina maana Ile nyungu season 3 ilikuwa ni unafiki?Kamanda kaweka silaha chini kaamua kusurrender hahahaha
Jafo ana saliti kambi hata Mzee hajazikwa kweli huu ni usaliti
Siyo kwamba akili zao alizipiga kufuli na funguo akatupa baharini?Zile akili walizomkabizi Marehemu wameanza kuzirejea