Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

Endelea kuona tu hku ukijitia upofu na kuijifanya huzioni formation za jiwe
Formations zake ni murua tu mbona,amefuta Corona bila kuua wanachi wake,bila mkopo,bila lockdown, bila cessation, bila curfew.
 
Formations zake ni murua tu mbona,amefuta Corona bila kuja wanachi wake,bila mkopo,bila lockdown, bila cessation, bila curfew.
Hata akitangaza corona tanzania ina wagonjwa -10000 pia ni poa
 
Stupid kenyans yani ni watu wabaya sana, fvckin tribalists just take a look on the kikuyu vs Luos, petty thiefs saying Mount Kilimanjaro is theirs, advertising our Ngorongoro crater on their stupid planes, tukumbuke nyuma kidogo mzee Kenyatta alimwambia mwalimu anaongoza watu waliolala, mwalimu akamjibu heri yetu tumelala ipo siku tutaamka unlike yeye Kenyatta anaongoza wafu ambao hawatakaa waamke kabisa, no wonder mlichinjana during that election with your mungikis, stupid kenyans
 
ujakosea mkuu huku Kenya wakimuona mTZ hasa Nairobi wanaona kama umejitwisha gunia la kolona kichwani wanakuseti maafisa wa afya unashitukia wanakugongea wakupeleke karantini ata kama huna dalili ili mradi ni mtanzania tena wanakuja na police wakutosha
 
Vifo vinafichika vizuri mbona, haka kaugonjwa nchi nyingi kanaua less than 1% kwa vijana unategemea uone vifo vingi vya kushtua? Kumbuka nchi za Afrika zinaongoza kwa idadi ya vijana na watoto unlike nchi za nje ambazo zimejaa wazee, kwa hiyo sioni cha ajabu kuona watu wanaokufa ni wachache Afrika, ila haimaanishi hawafi na hivyo vifo havizuiliki, ni asilimia ndogo ukiangalia interms of asilimia ila still ni number kubwa ukilinganisha na population size. Watu wanaokufa na sababu nyingine kila siku ni wengi ndiyo maana tunaona kawaida tu. Ila iingekua tupiime kweli waliokufa na corona ni wangapi nina uhakiika Kenya tungekua tushawapita mbali sana.
Hii ni asuumption na sio reality..nimafanya.kazi mojawapo ya hospital.ambazo zilofanywa kuwa center ya covid19. Sijaona hivi vifo vinatajwa huku. Ni kwel ugonjwa upo na wagonjwa wapo lakini sio kwa jinsi inavyosemekana. Anayedhaniwa watu wanapukitika inavyofikirika atuambie anao ndugu wangap au marafiki au jamaa au yoyote anayemfahamu kafa na kwa idadi. Kama dar ingekuwa nairobi tungekufa sana sana lakini naamini mazingira ya joto pia na imani yanatusaidia. Hakuna ugonjwa mbaya kama hofu. Na mtu aliyeshinda hofu anashinda mengi. Ukiniambia watu wanaugua na wanapona kimya kimya nitakubali lakini kufa kimya kimya haiwezekani. Tungeona makaburini kukiwa busy tungesikia matangazobya vifo tungeona safari za misiba zikiongezeka lakini hayo yoye hayapo. Hapa hospitalini wagonjwa zaidi ya 200 wa covid wameshalazaa hadi ss hivi na waliokufa hawazidi watano hadi sasa. So stop this imagination live positive. Na haswa ukiwa mtanzania.
 
ujakosea mkuu huku Kenya wakimuona mTZ hasa Nairobi wanaona kama umejitwisha gunia la kolona kichwani wanakuseti maafisa wa afya unashitukia wanakugongea wakupeleke karantini ata kama huna dalili ili mradi ni mtanzania tena wanakuja na police wakutosha
Huo upuzi ni wa wadaku kutoka huko huko kwenyu, ata kabla ya corona, mitanzania ikiona mkenya ni jirani lazima watapiga taarifa kwa pisi ili waje wamchunguze kama ako na papers ama ni shughuli gani anafanya Tanzania, wakenya hawana huo upuzi kama wenyu, in Kenya nobody cares about who is what n from where, free country, bora you mind your business, keep to the law nobody bothers you, so huo ujinga wako usituletee.
 
Uhuru amemudharau Magufuli mbaya[emoji23][emoji23][emoji23], kama ulisikiza his last speech ya ku extend curfew then hauwezi kusema anamuiga Magufuli, dunia nzima kila nchi inapanga mikakati ya kufungua uchumi wakifuata maagizo kutoka kwa health specialists and other professionals, consulting with all stakeholders, sio kupanga mambo na wanajeshi with skewed 'paipai' philosophy then you make decisions, serikali ya ccm inafanya mambo ki uchwara chwara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], your president(not the office, but the individual) amedharauliwa sana[emoji23], he is liked in opinion pieces but where serious minds abode, yeye hana lake.
Rais wenu sasa hivi anamwiga Rais Magufuli,nan mjinga sasa.?
 
Hivi wewe huoni aibu kunifanya mjuaji unataka kujibu kila mtu humu ndani, utapasuka kichwa bure.

Vipi maji yameanza kutoka huko Nairobi?
 
Uhuru amemudharau Magufuli mbaya[emoji23][emoji23][emoji23], kama ulisikiza his last speech ya ku extend curfew then hauwezi kusema anamuiga Magufuli, dunia nzima kila nchi inapanga mikakati ya kufungua uchumi wakifuata maagizo kutoka kwa health specialists and other professionals, consulting with all stakeholders, sio kupanga mambo na wanajeshi with skewed 'paipai' philosophy then you make decisions, serikali ya ccm inafanya mambo ki uchwara chwara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], your president(not the office, but the individual) amedharauliwa sana[emoji23], he is liked in opinion pieces but where serious minds abode, yeye hana lake.
Which serious minds, you?. All opinions and comments World wide more than 80% supports him, including Kenyans, only Kikuyu group is against him, do you refer Kikuyu as serious minds?
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Kweli vifo vipo kabla corona na vitaendelea kuwepo wengi tunaishi tz tunajamaa na marafiki tunashuhudia vifo lakini ni vile vile kabla corona, labda wewe kama upo tz umeshazika wangapi kutokana na corona
 
Huo upuzi ni wa wadaku kutoka huko huko kwenyu, ata kabla ya corona, mitanzania ikiona mkenya ni jirani lazima watapiga taarifa kwa pisi ili waje wamchunguze kama ako na papers ama ni shughuli gani anafanya Tanzania, wakenya hawana huo upuzi kama wenyu, in Kenya nobody cares about who is what n from where, free country, bora you mind your business, keep to the law nobody bothers you, so huo ujinga wako usituletee.
"No body care" my foot 😀 nyie hapo mnajua kwa sura kwa makabila yenu halafu unatudanganya hapa eti tabia ya kufuatiliana,eti free country kama ww ni mjaluo jaribu kuoa demu mkikuyu kama hujatolewa nduki
 
IMG_6379.JPG
 
Waendelee kutuombea tu mabaya,sisi tutaendelea kuomba Mungu atulinde na awalinde wao na hata dunia nzima.
 
Magufuli already got and tired of that last laugh, Kenya inazidi kukopa madeni zaidi kwa ajili ya Corona huku Corona ikizidi kuua wakenya wengi zaidi na huo uchumi unaokopewa hizo pesa unazidi kutokomea kaburini
Nasikia Ela walizokopa corona wamewalipa wachina
 
Baada ya Al-Jazeera sasa ni Sky News inawamulika. Usiseme ni Nyang'au kaleta habari hizi.

CNN ndo maana hawapatani na Trump..Sasa hv maandamano yamechachamaaa..hawatupi Tena updates za vifo
 
Hii ni asuumption na sio reality..nimafanya.kazi mojawapo ya hospital.ambazo zilofanywa kuwa center ya covid19. Sijaona hivi vifo vinatajwa huku. Ni kwel ugonjwa upo na wagonjwa wapo lakini sio kwa jinsi inavyosemekana. Anayedhaniwa watu wanapukitika inavyofikirika atuambie anao ndugu wangap au marafiki au jamaa au yoyote anayemfahamu kafa na kwa idadi. Kama dar ingekuwa nairobi tungekufa sana sana lakini naamini mazingira ya joto pia na imani yanatusaidia. Hakuna ugonjwa mbaya kama hofu. Na mtu aliyeshinda hofu anashinda mengi. Ukiniambia watu wanaugua na wanapona kimya kimya nitakubali lakini kufa kimya kimya haiwezekani. Tungeona makaburini kukiwa busy tungesikia matangazobya vifo tungeona safari za misiba zikiongezeka lakini hayo yoye hayapo. Hapa hospitalini wagonjwa zaidi ya 200 wa covid wameshalazaa hadi ss hivi na waliokufa hawazidi watano hadi sasa. So stop this imagination live positive. Na haswa ukiwa mtanzania.
Duh!!kwhyo serikali inaongopea watu, km ni 200 kwel jomba..itabidi umenyamazia hyo ishu, usijiropokee mbele za watu bure unaweza ukajikuta pabaya..
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Hata tukiwa na korona kama hatuumwi chochote basi sisi hatuna habari na korona
 
Kwahiyo kama hawatangazwi wewe umejua vipi kwamba wanaokufa ni wengi, au wewe mwenzetu umejipa kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya hizo taarifa?.

Mwenzako Kigogo na Mangi Kimambi walikua wakitoa hizo takwimu ila siku hizi nao wameamua kuacha kuzitoa baada ya kugundua kwamba hazina tena mvuto kwa jamii.

Hivi kwa jinsi tunavyojiachia huku Tanzania, kama huo ugonjwa upo, kweli hivyo vifo tungeweza kuficha?, ninahisi kila siku sio chini ya watu kumi katika kila Mtaa mijini, huko vijijini huwezi ficha. Ina maana hata Zitto, Mbowe,Heche, Msigwa, Halima Mdee na wengine pia wameamua kuficha?
Watuambie chadema wanakufa wangapi kwa siku ili tumuamini
 
Back
Top Bottom