Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66. Majirani mnakwama wapi?

Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66. Majirani mnakwama wapi?

Wewe imekuuma nn?
Wewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zenu zile za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama mfano wa nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?
 
Wewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zile zenu za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?
Haijawahi niuma chochote!
 
Hivi Tz na Kenya, ni nani mwenye akili zaidi?!

Angalieni Wananchi wenu wanavyokufa na njaa huku wakisindikizwa na Risasi za Moto....!

Nakushangaa sana Chief

Ww unaona Kibanzi katika Jicho la mwenzako,ilihali ww unajiboriti zima...!!!Mpuuzi kabisa

Tz,ni Nchi bora sana.

Krb Bongo, acha mikelele

Kwanza hatujui hapo ulipo kama una chakula na maji...!!!! MK254,
 
Wee tupe pole wenzio siyo kutucheka!!

Hivi unamuokoaje huyu hapa bila kutiwa kucha.

_85845182_rajasthan-leopard2.jpg
 
Hao wapo Bongo maana hawajui kulikoni, nch mshajichokea kila kiongozi na tamko lake, mara corona festival eti imefutika, mara wagonjwa wanne mara sitini na sita, ilhali kila mkiingia kwenye majirani zenu wote mnakutwa na corona. Sasa wageni wote walioko huko hawajui wala hawana namna ya kujua kichwa wala mkia mpo mpo tu mumejichokea kisa umaskini, na ndio maana kwa mataifa yote duniani nyie ndio Ulaya na Marekani wamewapa watu wao tahadhari ya kutotoka nje hovyoo.
Hiyo ya watu wetu kukutwa na Corona huko kwenu ningekuwa Mimi ndio wewe nisingeliongelea kabisa Siri imefichuka madereva wanatakiwa watoe Kshs. 2000 ili wapate ne- wakikataa wanatandikwa po+ au huna hiyo taarifa? Mtanzania atakufichia Siri ukiwa muungwana ukijifanya unabwabwaja anavujisha, ukweli ndio huo. Hata hivyo mumshukuru JPM muungwana Sana na amewavumilia mno Angekuwa JK msingesumbua hivi
 
Nawe yasikuume ya huku!
Yataniumaje wakati yanaburudisha? Yaani ni kama video ni kama drama. Baada ya kusema kwamba Corona ya mabeberu imetokomezwa Tz na mna wagonjwa wanne tu, sasa mmeketi mkao wa kuwangoja hao hao mabeberu. Niliona waziri wenu wa utalii akiwa amechoka kweli kweli kuwangoja hao watalii kwenye uwanja wa ndege. [emoji1]
2419332_Screenshot_20200606-100106_Twitter.jpg
 
Wewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zenu zile za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama mfano wa nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?
Hasa hapo mtasema mlifunga wakati kama ni mlango mlirudishia tu tulipoweka kufuli mbona mkaja na kauli mbiu ya undugu wa damu [emoji2][emoji2][emoji2] wakuu wa mikoa minne tu walimnyanyua Balozi wenu
 
Kwa hiyo rais wenu magufuli ni pumbavu wa mwisho kwa kusema corona haiko.
Nimemsikiliza hotoba zote zote hakuna mahali magu alisema corona imeisha. Anachosema ni kwamba imepungua na watu waendelea kuchukua precautions zote. Usipende kumuingizia mtu maneno wakati unajua unadanganya.
 
MK254,

Sisi hatupo huko kwenye hiyo vita ya corona wachina wamelianzisha kisha wamewahachia nyie mabwege mnahagaika kujifanya mnaijua zaidi corona kuliko hata wachina, umasikini wenu ndio bado ni tatizo linalofanya corona mmegeuza kama fursa ya kuombea mikopo kutoka kwa mabeberu.

Lakini tambua huu ugonjwa hauishi leo tuone kama mtaendelea na hizo hatua zenu, yahani nakwambia soon mahandamano ya raia yananukia kenya kwani raia mmewafungia ndani wale mawe wakati viongozi wenu wanakunywa chai ya one bilion.

Poor Kenyan
 
Back
Top Bottom