Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Yesu[emoji124]Hili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu[emoji124]Hili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Utakuwa una matatizo kichwani maana siyo bure kwa maneno yako yasiyo na uhalisia ..ni lazima utakuwa hivyo...haiwezekani uwe unaropoka muda wore...Na Hilo la kuwatakia vifo watanzania watch out ...adhabu kwa mtakia vifo wenzie huwa haijali Kama ana matatizo kichwani au vipi...binadamu anayewatakia wenzie vifo huadhibiwa vilivyo...Utakua sio mfuatiliaji wa issues nchi yako, hili suala la corona limeibua ugomvi na majirani zenu wote maana mnalazimishia madereva wapite, sema kwa Kenya imebidi mlie lie sana maana Kenya ndio inaongoza ukanda huu kwa soko la mali ghafi zenu, hivyo tukikohoa huwa lazima mfyatuke vijimaneno mengi. Soma takwimu za biashara baina yenu na majirani, utaelewa kwanini huwa mnang'aka tukiwasema kwa lolote.
Dunia yote inategemea hekima iliyopewa na Mungu, yaani unamshika simba kidevu halaafu unajisifia kulindwa na Mungu??? Watu bado mnasongamana kwenye vilabu vya pombe na machangudoa na kuendelea kujisifia...
Asiye taka kujifukiza kufa na afeUtakua sio mfuatiliaji wa issues nchi yako, hili suala la corona limeibua ugomvi na majirani zenu wote maana mnalazimishia madereva wapite, sema kwa Kenya imebidi mlie lie sana maana Kenya ndio inaongoza ukanda huu kwa soko la mali ghafi zenu, hivyo tukikohoa huwa lazima mfyatuke vijimaneno mengi. Soma takwimu za biashara baina yenu na majirani, utaelewa kwanini huwa mnang'aka tukiwasema kwa lolote.
Hadi wachina wamesha shituka kuwa watz tuna siri gani hadi korona inadunda ,wameamua kutuma watu wao kujifunza dawa na mbinu tunazo tumiaLakini bado hauoni maajabu mkuu? Maana hatufi wala nn
Lakini nilishakuambia kwa sasa lazima ujue pamoja na Mungu lakini dawa yetu ya kienyeji inafanya kazi mtabaki kuamini hao wazungu siku moja watawaoa. Tumia dawa ama fomula kutoka Tz ndio ujue kwann watanzania wadunda wakati wamejazana kwenye mabaa na maharusii
Utakuwa una matatizo kichwani maana siyo bure kwa maneno yako yasiyo na uhalisia ..ni lazima utakuwa hivyo...haiwezekani uwe unaropoka muda wore...Na Hilo la kuwatakia vifo watanzania watch out ...adhabu kwa mtakia vifo wenzie huwa haijali Kama ana matatizo kichwani au vipi...binadamu anayewatakia wenzie vifo huadhibiwa vilivyo...
Lakini bado hauoni maajabu mkuu? Maana hatufi wala nn
Lakini nilishakuambia kwa sasa lazima ujue pamoja na Mungu lakini dawa yetu ya kienyeji inafanya kazi mtabaki kuamini hao wazungu siku moja watawaoa. Tumia dawa ama fomula kutoka Tz ndio ujue kwann watanzania wadunda wakati wamejazana kwenye mabaa na maharusii
Taifa la wachawi hili, vilinge kila kona. Na kipindi hiki cha uchaguzi ndio utajua kuwa ni taifa la wanga.Hili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Maambukizi mapya yapo, kutoka wagonjwa wanne mpaka 66 hakuna wagonjwa wapya hapo?Wivu na kijiba cha roho kitakuua, kuishi Tz raha sana. Achana na sokoni, njoo uone kumbi za starehe, mpira uwanjani kama kawa, live bendi bar kama kawaida, nyama choma ndo usiseme. Hata hao wazungu mnaowaabudu huko huku bongo wanajichanganya katikati ya umati wa watu. Na hakuna maambukizi mapya. Tukiwaambia Mungu hachunguziki muwe mnaelewa.
Wanamiungu yao haoHili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Naona mnatamani muugue mlivo "Wajinga nyinyi" Mnatishana na Kupanikishana huu ugonjwa sio wa Africa first generation "wajinga nyinyi"Baadhi ya majirani zetu hawa ni washamba kupindukia, ona hizi comment zao humu. Alafu viongozi wao sasa ndio washamba zaidi yao, eti waziri mkuu anasema bila aibu kwamba anayestahili sifa ni Magufuli. Utadhani Magufuli ni jina la chanjo flani hivi au tiba.
Corona itatulia una dawa au kinga ya hiyo korona inakuwaje????Wachina kuikimbia Kenya sio issue kubwa maana sisi hatufanyi ujinga kama wa kwenu kujichokea na kuacha kuendelea kupambana dhidi ya corona, tunaitangaza kama ilivyo, iwe ikulu au gheto.
Hivyo tunaitangaza ilivyo ndio kama ukiona kama vipi ihame nchi urudi kwenu kisha utakuja siku itatulia, ila nyie hapo mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa.
Yote haya yanasababishwa na chademaTumevurugwa, moja haikai, mbili haikai.
FafanuaYote haya yanasababishwa na chadema
Wapinzani walivyoenda Karantini Dar wamerudi na coronaFafanua
Duh! Kama kuna nch imejichokea kwenye hili la corona basi ni Tz, yaani wakuu wote wanapishana kauli, hakuna anayesema kimoja na mwenzake, halafu wataalam wote walishajipigia kimya. Mkulu kasema juzi corona imefutika kabisa kwao, wazri wa masuala ya afya akasema wamesalia wanne, waziri mkuu jana akasema wamesalia 66, wananchi nao hamna cha tahadhari tena, full misongamano, halafu idadi kubwa ya raia wao wanaojaribu kuingia kwenye mataifa majirani wanakutwa na kirusi.
Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa
Halafu yote hayo, video zinaendelea kutupiwa kwenye mitandao, kama hii ya BBC ambayo madaktari wa Tz wanaeleza ukweli wa hali ilivyo japo kwa kujificha.
A very stupid commentWala siropoki naongea kuhusu tunayoyasoma kwenye vyombo vya habari na kushuhudia, unaposwa uwe na mazoea ya kutazama habar acha kutegemea vijiweni Tandale, watakupotosha hao.