pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zenu zile za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama mfano wa nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?Wewe imekuuma nn?
Haijawahi niuma chochote!Wewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zile zenu za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?
Kwa hiyo rais wenu magufuli ni pumbavu wa mwisho kwa kusema corona haiko.Corona ipo na haishi leo wala kesho chukua tahadhari
Hayupo Mungu wa wajingaHili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Tumevurugwa, moja haikai, mbili haikai.
Hiyo ya watu wetu kukutwa na Corona huko kwenu ningekuwa Mimi ndio wewe nisingeliongelea kabisa Siri imefichuka madereva wanatakiwa watoe Kshs. 2000 ili wapate ne- wakikataa wanatandikwa po+ au huna hiyo taarifa? Mtanzania atakufichia Siri ukiwa muungwana ukijifanya unabwabwaja anavujisha, ukweli ndio huo. Hata hivyo mumshukuru JPM muungwana Sana na amewavumilia mno Angekuwa JK msingesumbua hiviHao wapo Bongo maana hawajui kulikoni, nch mshajichokea kila kiongozi na tamko lake, mara corona festival eti imefutika, mara wagonjwa wanne mara sitini na sita, ilhali kila mkiingia kwenye majirani zenu wote mnakutwa na corona. Sasa wageni wote walioko huko hawajui wala hawana namna ya kujua kichwa wala mkia mpo mpo tu mumejichokea kisa umaskini, na ndio maana kwa mataifa yote duniani nyie ndio Ulaya na Marekani wamewapa watu wao tahadhari ya kutotoka nje hovyoo.
Yataniumaje wakati yanaburudisha? Yaani ni kama video ni kama drama. Baada ya kusema kwamba Corona ya mabeberu imetokomezwa Tz na mna wagonjwa wanne tu, sasa mmeketi mkao wa kuwangoja hao hao mabeberu. Niliona waziri wenu wa utalii akiwa amechoka kweli kweli kuwangoja hao watalii kwenye uwanja wa ndege. [emoji1]Nawe yasikuume ya huku!
Hasa hapo mtasema mlifunga wakati kama ni mlango mlirudishia tu tulipoweka kufuli mbona mkaja na kauli mbiu ya undugu wa damu [emoji2][emoji2][emoji2] wakuu wa mikoa minne tu walimnyanyua Balozi wenuWewe ilikuuma kwanini Kenya ilipofunga mipaka na kuwalazimisha madereva wa Tz wapimwe kwanza kabla ya kuingia nchini Kenya? Au huwa inakuhusu vipi kwenye nyuzi zenu zile za kujimwambafy na kuitumia Kenya kama mfano wa nchi inayofaa kuwaiga kwenye vita dhidi ya Corona?
Nimemsikiliza hotoba zote zote hakuna mahali magu alisema corona imeisha. Anachosema ni kwamba imepungua na watu waendelea kuchukua precautions zote. Usipende kumuingizia mtu maneno wakati unajua unadanganya.Kwa hiyo rais wenu magufuli ni pumbavu wa mwisho kwa kusema corona haiko.
Umeongea kama mbu sabaHili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.