Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66. Majirani mnakwama wapi?

Hawa Wabangi wanakuanga na akili finyu sana.
 
Nimemsikiliza hotoba zote zote hakuna mahali magu alisema corona imeisha. Anachosema ni kwamba imepungua na watu waendelea kuchukua precautions zote. Usipende kumuingizia mtu maneno wakati unajua unadanganya
Mkuu sasa hivi hatupimi na wagonjwa wanatakiwa kibaki/kuugulia nyumbani sasa unaposema wamepungua una maana gani?
 

Pambaneni na hali yenu....Ya Tanzania hayawahusu...hayo ya wanaosemekana eti ni madaktari wa TZ wakibwabwaja hiki na kile na ambao hawaoneshi sura zao anaweza kuwa yeyote yule...inawezekana pia ni wewe mwenyewe MK254...Hizo picha zinazodaiwa eti ni mazishi ya usiku tumezizoea kwani zilianza kunyeshwa mitandaoni kitambo..You can say anything you want ...TZ doesn't care...sisi tunasonga mbele nyie endeleeni na lockdown yenu...huku TZ msije kwani mnaweza kuambukizwa Corona...na sisi huko Kenya hatuji tunaogopa tusije tukawaambukiza Corona...mind your own business..Juni 29 tunafungua shule zote na hata mambo ya harusi tunaruhusu...nyie endeleeni na kupima maambukizi kwani Hilo halituhusu..
 

Ingekua mnajifia huko wenyewe hayangetuhusu, ila sasa mnang'ang'ania kutuletea balaa yenu hiyo kwa kutaka mvuke mpakani bila ya kupimwa.....Mngekua kisiwa bila kuchangia mipaka na majirani mngeachwa muhangaike huko na umaskini wenu huu unaosababisha mjichokee kwenye hili la coron.
 
Hakuna MTZ mwenye akiliatang'ang'ania kuingia Kenya...MTZ huwa hapendi dharau..kufa ni mapenzi ya mwenyezi Mungu...ukiwaombea Watanzania wafe wewe ndiye unaweza kutangulia kufa..usitajetaje ovyo kifo kwa kuwaombea kifo...it shows how arrogant you are...
 

Basi mbaki na njaa zenu huko acheni kung'ang'ania kuingia kwenye mataifa ya watu, mumekua na ugomvi kuanzia Zambia, Rwanda kote mpaka Kenya, kaeni huko huko na corona wala hautaskia tukiwasema.
Ona hapa mnavyotia aibu, mnang'ang'ania kuingia Zambia ilhali mumezuiwa, hamna aliyevaa barakoa mumekua kitovu cha corna ukanda huu, yaani nyie mnatia aibu Afrika.

 
In fact MK254 nimeanza kuwa na Shaka na uelewa wako wa issues mbalimbali...nimeshtushwa na comment hii ...nilidhani naongea au kujadiliana in writing na mtu mwelewa lakini nafikiri wewe ni mtu Fulani hivi wa kibera...TZ haina ugomvi na Rwanda, Zambia, Malawi, Msumbiji, Uganda Wala Burundi au DRC..TZ in this part of Afrika ndiyo kimbilio la wananchi wa nchi jirani...hata Kenya siyo adui wa TZ...tatizo la Kenya ni wivu, arrogance, majivuno na ujivuni usio na maana wa baadhi ya watu wake...TZ haina njaa...you are talking about umaskini wa TZ...this shows how some Africans are very stupid kucheka umaskini wa waafrika wenzao as if wao ni matajiri...I have in Kenya several times na nafahamu umaskini wa Kenya ulivyo...Ni maskini hohehahe..majority of Kenyans do not even a piece of land..
 
Kwa hiyo rais wenu magufuli ni pumbavu wa mwisho kwa kusema corona haiko.
Acha upumbafu wewe na wapumbavu wenzako

Idadi ya wagonjwa haiwez kua sawa all day
uko kunya land shule mlienda kusomea ujinga?
MK254
 
Mkuu sasa hivi hatupimi na wagonjwa wanatakiwa kibaki/kuugulia nyumbani sasa unaposema wamepungua una maana gani?
Nahisi una kwashakoo mbulula wewe

Tz haifanyi masstesting kwa haina faida yoyote mf watu ulowapima last week hawawezi kuambukizwa leo?

Tz inapokea wagonjwa serious tu kama hauumwi sana utarudi nyumbani (kajifukize

Kufata njia za kikunya ni matumizi mabaya ya akili na rasilimali

Kama ujanielewa hamia kenya
 
Serikali yetu ni ya waongo waliopindukia kwenye kila kitu. Mara ya mwisho kutoa update ilikuwa April 29 hadi jana so the next update will be 6 or 7 weeks from yesterday.
😢😢

 
Wakenya pambaneni na Hali zenu..wagonjwa wanne walikua wanne walikua katika hospitali ya Mloganzila na Amana...au Mloganzila na Amana zipo nchi nzima?
 

Utakua sio mfuatiliaji wa issues nchi yako, hili suala la corona limeibua ugomvi na majirani zenu wote maana mnalazimishia madereva wapite, sema kwa Kenya imebidi mlie lie sana maana Kenya ndio inaongoza ukanda huu kwa soko la mali ghafi zenu, hivyo tukikohoa huwa lazima mfyatuke vijimaneno mengi. Soma takwimu za biashara baina yenu na majirani, utaelewa kwanini huwa mnang'aka tukiwasema kwa lolote.
 
Huko kutulia umeagana nako

Umesikia kauli ya who kuhusu korona?

Toka ianze huu n mwezi wa ngapi?, je imepungua au inazidi kuyoyoma?

Km inazidi, it means tuna safari ndefu mkuu, je tutajitenga hd lini? Tutaifunga hd lini?
HIKI chakula tulichonacho kikiisha tutakula nn?

Kuna baadhi ya mambo unatakiwa ujiongeze tuh


Na sis km watz tunamshukuru muumba kwa kutufanyia wepesi Hawa viongozi wamekuwa na kautu flani, at least tuliweza kuishi kwa afuweni tofauti na nyie jiran zetu, mumeisoma na Mnaendelea kuisoma namba, I believe na bado [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Safi sana mzee waendelee na mambo yao ya tz hayawahusu.Sisi huku mambo msawano tuu kuanzia tarehe 29 kila kitu mwakemwake.Wao waendelee na Lockdown yao na wasije huku na sisi hatuendi maana tutawaambukiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…