Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66. Majirani mnakwama wapi?

Utakuwa una matatizo kichwani maana siyo bure kwa maneno yako yasiyo na uhalisia ..ni lazima utakuwa hivyo...haiwezekani uwe unaropoka muda wore...Na Hilo la kuwatakia vifo watanzania watch out ...adhabu kwa mtakia vifo wenzie huwa haijali Kama ana matatizo kichwani au vipi...binadamu anayewatakia wenzie vifo huadhibiwa vilivyo...
 
Dunia yote inategemea hekima iliyopewa na Mungu, yaani unamshika simba kidevu halaafu unajisifia kulindwa na Mungu??? Watu bado mnasongamana kwenye vilabu vya pombe na machangudoa na kuendelea kujisifia...

Lakini bado hauoni maajabu mkuu? Maana hatufi wala nn
Lakini nilishakuambia kwa sasa lazima ujue pamoja na Mungu lakini dawa yetu ya kienyeji inafanya kazi mtabaki kuamini hao wazungu siku moja watawaoa. Tumia dawa ama fomula kutoka Tz ndio ujue kwann watanzania wadunda wakati wamejazana kwenye mabaa na maharusii
 
Asiye taka kujifukiza kufa na afe
 
Hadi wachina wamesha shituka kuwa watz tuna siri gani hadi korona inadunda ,wameamua kutuma watu wao kujifunza dawa na mbinu tunazo tumia
 

Wala siropoki naongea kuhusu tunayoyasoma kwenye vyombo vya habari na kushuhudia, unaposwa uwe na mazoea ya kutazama habar acha kutegemea vijiweni Tandale, watakupotosha hao.
 

Afrika hamna vifo vingi maana hata huku Kenya hatufi sana kihivyo, ila haipaswi kujichokea kwa umaskini kama mlivyofanya, ilipaswa kuendelea na mapambano mpaka siku dawa ipatikane ya kweli sio hivyo vikombe vya babu mnavyojiamisha huko.
 
Hili ni taifa LA Mungu, tunalindwa na Mungu pekee. Nyie Endeleeni kutegemea wanadamu wenzenu.
Taifa la wachawi hili, vilinge kila kona. Na kipindi hiki cha uchaguzi ndio utajua kuwa ni taifa la wanga.
 
Maambukizi mapya yapo, kutoka wagonjwa wanne mpaka 66 hakuna wagonjwa wapya hapo?

Shule mlienda kufanya nini.
 
Naona mnatamani muugue mlivo "Wajinga nyinyi" Mnatishana na Kupanikishana huu ugonjwa sio wa Africa first generation "wajinga nyinyi"

Huu wimbo wa "Wajinga nyinyi" naona kumbe ulimaanisha kweli

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Corona itatulia una dawa au kinga ya hiyo korona inakuwaje????

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
It's has never been announced covid-19 is gone you idiot from Kunyaland. What was stated was the infected are getting cured and reduced in numbers also there r no new infections amongst the community while taking all kinds of measures and prevention starting with local herbs to industrial medicines so mapambano hayo tutnatumia dawa za kienyeji na kisasa mpaka kitaeleweka. Bear in mind that Corona bado ipo hapa TZ na tunajikinga kwa mbinu zote hadi kutumia wazee tuna tumia nyie endeleeni kuhesabiana kwa mikopo
 
Wala siropoki naongea kuhusu tunayoyasoma kwenye vyombo vya habari na kushuhudia, unaposwa uwe na mazoea ya kutazama habar acha kutegemea vijiweni Tandale, watakupotosha hao.
A very stupid comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…