lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Umejuaje huyo ni baba yako?Tumia roho mtakatifu akuongoze mpaka umjue baba yangu
Ukiweza hilo huna haja ya kuthibitisha mungu yupo
It's Scars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje huyo ni baba yako?Tumia roho mtakatifu akuongoze mpaka umjue baba yangu
Ukiweza hilo huna haja ya kuthibitisha mungu yupo
It's Scars
Nilitamani nizungumze na wewe kwa lile ulilo na ujuzi nalo,
lakini nahisi huna ulijuwalo,
kwa hiyo huenda nikapoteza muda na wewe,
Hatua ya kusema hakuna Mungu ni hatua muhimu kwa Kiumbe kama wewe,
Inaonesha uhitaji wako wa Nguvu inayoweza kushindana na yale yaliyokushinda.
Hata hivyo,ujuwe kuwa Kuunda chombo kama ndege ili iweze kuruka angani si jambo dogo.Lakini kwa akina sisi wengi wetu hatujuwi hata pa kuanzia.
Kuendesha Ndege au meli nayo pia ni fani,kwa asiyejuwa ,ni usiku wa kiza kwake.
Sasa wewe unataka kumjadili Mungu Alieumba Kila kitu,na inaonesha wajuwa kuwa yupo lakini hujajuwa namna ya kumfikia nakumjuwa .
Huwezi hadi uelezwe na wale wenye kumjuwa.
Usipolitaka hilo,endelea kutukana.
Maana karamu ya fisi (mzoga), ni ujinga ulioje kwa Nyati mla majani.
Na sauti ya mbawa za mbu akiwa na raha zake,ni maudhi kwa Binadamu pamoja na udogo wake.
Hivi ndivyo dunia ilivyotofautiana kwa ujuzi na mahitaji ya viumbe.
Elimu haina kikomo,bali Akili zetu zina ukomo wa kujuwa mambo.
Nithibitishe kwa nani? ili iweje?
Wewe mungu wako ni wa kabila gani, au ni lucifer mwenyewe maana ligi unayoendesha humu siyo kawaidaHajadiliwi kiboya wakati tayali ushatumia neno boya?
Iwe MUNGU, Mungu, MUNgu, nk hata nimuandike kwa namna gani hiyo haifanyi awepo
Unajua ukisema mungu wa waisrael unakuabali kuwa wewe ni mtumwa kwa kuabudu mungu wa taifa la wenzako??
Unafikiri ni raisi kuwashawishi waisrael kusema mungu wa wanyakyusa? Kwasababu hawataki kuwa watumwa wa miungu yenu
It's Scars
Kwani wewe unao watoto nyumbani?
Hivi wakikusea na kuhamaki nao au kuwachapa ,inamaanisha kuwa huna upendo?
Au kufanya vile ndio unawarekebisha ili wawe watoto wazuri huko baadae?
sasa hapa lipi usilolifahamu kwa mungu,?
Hivi wewe unajuwa dhumuni la kuwepo kwako hapa ulimwenguni?
Unajuwa kwanini umekuwa mwanadamu na si panya wala mende?
Unaonaje ungelikuwa Mwanamke malaya watu wakawa wanapanda na kushuka kama mwendo kasi?
Au unaonaje ungelikuwa Kichaa ukawa unakula majalalani?
Au ,.......au....
Hivi ulichagua kuwa hivyo ulivyo?
Aliyeanza kum-quote mwenzake ni nani? sijawahi kufanya mjadala na devil worshiper wewe ndo ulijipendekeza ku-quote post zangu mbili nikakupa za uso ili urudi kuzimu ukajipange upya..Kwani hapo umem-quote nani?
Ulivyokua unaandika "wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika roho" ulikua unakusudia nini?
It's Scars
sijui
Na ndiyo maana nilikuwa nakwambia sikungumzii masheikh wala wachungaji nilijua ulikuwa unataka kunipeleka huko.Michezo anacheza nani?
Kwani hiyo dua anaeifanya ni nani dhidi ya nani?
Nimekikuambia mimi nimeshuhudia spoderman akipita kwenye maghorofa ya huku kitaa utakubali kwasababu nimekuambia mimi nilishuhudia??
Ni mara ngapi umesikia watu wakipotosha umma makanisani kwa kujifanya wanaponya mapepo halafu mwisho wa siku wakaumbuka??
Mimi nimemskia jamaa mmoja anaitwa mwaipopo ambaye alikua mchungaji ila kwa sasa ameslimu kawa muislamu. Mwaipopo amekua akihadithia uongo aliokua akiufanya pindi ambapo yuko ukristo akijidai kutoa mapepo kumbe ni drama.
Kwanini unafikiri si rahisi kwa uislamu kufanya drama kama hiyo kwa kivuli cha dua?
It's Scars
Jinsi ulivyoandika unaonesha wazi huelewi maana ya neno "dini".Dini ni aina ya siasa lengo lake mama ni kumtawala mtu
Mimi niliacha kuamini dini miaka karibu 7 iliyopita angalia sasa hivi hivi wanavyotapata ombeni mtapewa ombeni basi wagonjwa wa corona wapone wakina gwajima mwamposa wezi wakubwa na kodi inaitwa sadaka
Movie zenye kuhusu Mungu zipo kibao,hata hiyo sijui god must be crazy imehusishwa Mungu. Habari za Mungu si wazo la kufikirika kutoka kwenye movie kama ilivyo kwa spiderman,masuala ya spiderman inaishia kwenye movie huko ndiko yalipoanzia na kuishia na ndiyo maana nakwambia hakuna utata juu ya spiderman.Tumia logic katika kuhoji
Kwani habari za mungu haziwezi kuwekwa kwenye movie na bado tukazijadili?
Tukiweza kujadili habari za mungu ambazo ziko katika mfumo wa movie utakuabali kua mungu hayupo kwasababu habari kupitia movie ni uongo??
It's Scars
Mm najua maana ya diniJinsi ulivyoandika unaonesha wazi huelewi maana ya neno "dini".
Qur'an 112:
![]()
1. Sema: Yeye Allah ni wa pekee.
![]()
2. Allah Mkusudiwa.
![]()
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa
![]()
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Ok. All the best
Rejea maelezo yangu na majibu yangu huko nyuma utaona.