Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kinachoogopa kufa ni mwili, kwa sababu mwili asili yake ni dunia, bali wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika roho
Unaweza kuthibitisha kauli yako?

It's Scars
 

Aise unachamba kuliko hata left hand

Umesema siwezi hadi nielezwe na wale wanaomjua. Nataka kujua je wewe ni miongoni mwa hao wanaomjua?

It's Scars
 
Wewe mungu wako ni wa kabila gani, au ni lucifer mwenyewe maana ligi unayoendesha humu siyo kawaida
 

Na wakati huo baba yao nakua nina uwezo wote wakuwafanya wasikosee bila hata kuwaadhibu??

Kama nitakua baba mwenye sifa ambayo iko kinyume na hapo ntakupa sababu hizi

nikikuambia mimi nimewaadhibu kwasababu sikuwa na ujuzi wowote wa kujua kua watafanya kosa, na vile vile hata kama ningeweza kujua lakini bado sikua na uwezo wote wa kuwazuia wasikosee

Pamoja na hayo yote mimi sina upendo wote wa kustahimili kuona nakosewa bila kutoa adhabu

Hapo utatumia vigezo gani kunipa lawama kua nimefanya kosa kuwaadhibu watoto?

It's Scars
 
Umejuaje huyo ni baba yako?
Kwani tayati ushamjua baba yangu ni nani?

Au Unaota?

wapi nimekuambia flani ni baba yangu mpaka uniulize umemjuaje huyo ni baba yako?

Au roho mtakatifu kakupa jibu la hivyo?

It's Scars
 
Nithibitishe kwa nani? ili iweje?
Kwani hapo umem-quote nani?

Ulivyokua unaandika "wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika roho" ulikua unakusudia nini?

It's Scars
 
Kwani hapo umem-quote nani?

Ulivyokua unaandika "wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika roho" ulikua unakusudia nini?

It's Scars
Aliyeanza kum-quote mwenzake ni nani? sijawahi kufanya mjadala na devil worshiper wewe ndo ulijipendekeza ku-quote post zangu mbili nikakupa za uso ili urudi kuzimu ukajipange upya..
 
Na ndiyo maana nilikuwa nakwambia sikungumzii masheikh wala wachungaji nilijua ulikuwa unataka kunipeleka huko.

Twende dogo tutaelewana tu.

Unakubali kwamba haya matatizo yapo kweli? Bila kujari husababishwa na majini wala kuwa ni magonjwa ya akili,nachotaka kujua ni je unakubali kuwa haya matatizo yapo kweli ?
 
Jinsi ulivyoandika unaonesha wazi huelewi maana ya neno "dini".
Na allah naye hayupo

Mpaka hapo tuko pamoja siyo?

It's Scars

Qur'an 112:

1. Sema: Yeye Allah ni wa pekee.


2. Allah Mkusudiwa.


3. Hakuzaa wala hakuzaliwa


4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
 
Movie zenye kuhusu Mungu zipo kibao,hata hiyo sijui god must be crazy imehusishwa Mungu. Habari za Mungu si wazo la kufikirika kutoka kwenye movie kama ilivyo kwa spiderman,masuala ya spiderman inaishia kwenye movie huko ndiko yalipoanzia na kuishia na ndiyo maana nakwambia hakuna utata juu ya spiderman.
 
Jinsi ulivyoandika unaonesha wazi huelewi maana ya neno "dini".


Qur'an 112:

1. Sema: Yeye Allah ni wa pekee.


2. Allah Mkusudiwa.


3. Hakuzaa wala hakuzaliwa


4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Mm najua maana ya dini
Dini maana yake njia
 
Mwamposa..

Mzee wa upako..

Babu wa Loliondo..

Mwingira...

Kakobe...

Bulldozer....

GeoDavie..

Mmekuwa msaada mkubwa sana kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya uponyaji.

Mmekuwa mkijisifia sana kuhusu nguvu za kuponya mlizokuwa nazo.

Leo, waziri mkuu Italy ame declare kwamba wananchi wa Italy wamepoteza tumaini. Kwamba wamemwachia Mungu

Leo vifo vilivyotokana na Corona virus ni 800+

Ndio Muda wenu wa kudhihirisha kile mnachokuwa mkihubiri muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…