Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

800+ umedanganya.

Data za saa 21:24 -zilikuwa ni vifo 651...

Acha kupotosha watu...
 
Hao wa Italy waandae sadaka zao kazi ikapigwe...siku moja tu wote wanarudi barabarani.
 
Aliyeanza kum-quote mwenzake ni nani? sijawahi kufanya mjadala na devil worshiper wewe ndo ulijipendekeza ku-quote post zangu mbili nikakupa za uso ili urudi kuzimu ukajipange upya..
Kumbuka sijakuita kwa tag uje hapa ujadili huu mjadala.

"Devil worshiper" hizo ni hallucinations zako binafsi, kuhisi kila mtu anayekataa uwepo wa mungu basi lazima awe devil worshiper



It's Scars
 
Wao wanachoweza ni kuponya mapepo,kutafta wachumba,kuondoa mikosi na kufufua misukule. Hiyo corona eti hawaijui. Kwanza wao hawaamini km imeingia Tz. Gwajima aliwaambia waumini wake corona haitofika Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi hawa wachungaji wa mwendo kasi nilisha wakataa kitambo sana.

Nipo zangu RC roho imetuliaaa tunakwenda na uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tayati ushamjua baba yangu ni nani?

Au Unaota?

wapi nimekuambia flani ni baba yangu mpaka uniulize umemjuaje huyo ni baba yako?

Au roho mtakatifu kakupa jibu la hivyo?

It's Scars
Kwahiyo huna baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…