Mambo ya imani si ya kuyakurupukia angalia bwana usije ukawa mfano tunaoamini hata sasa tunaona Mungu ametusaidia angalia idadi ya waliopona vs Waliokufa utaona ukuu wa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kushindana na huyu mwehu,
Unatatizo katika kuelewaMimi nakuelezea kuhusu mtu kuwa muumini wa dini au anaamini Mungu ila wewe unaleta habari za kuingia msikitini na kanisani,wangapi hawaingia huko na jamii inawatambua dini zao?
Mbona hao watu nimewataja sana huko mwanzo kua wameathirika na ujinga?Nenda majumba ya ibada utaona watu hufanya maombi kwa hili janga la corona,sijui unakwama wapi? Hata hawa matajiri pamoja na kupiga kazi kwa bidii ila bado hufanya maombi kama kawaida.
Swali langu bado liko pale palebattawi said:
Hapa umeniamsha Ndugu yangu
Mimi nakuthibitishia
35:3. Enyi watu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu juu yenu. Ati yupo muumba mwengine asiye kuwa Mwenyezi Mungu anaye kupeni riziki kutoka mbinguni na kwenye ardhi? Hapana mungu ila Yeye tu. Basi wapi mnako geuzwa?
5. Enyi watu! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi yasikudanganyeni maisha ya dunia, wala mdanganyifu asikudanganyeni juu ya Mwenyezi Mungu.
9. Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi iliyo kufa (mvua ikanyesha), tukaifufua ardhi( kwa mvua hiyo) baada ya kufa kwake. Ndivyo kama hivyo kutakavyo kuwa kufufuliwa (siku ya mwisho, Na Je ni nani anayeweza kuyafanya hayo asie kuwa Mungu?).
11. Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii. Kisha akakufanyeni mwanamume na mwanamke. Na mwanamke yeyote hachukui mimba, wala hazai, ila kwa ilimu yake. Na wala hapewi umri mwenye umri mrefu, wala hapunguziwi katika umri wake, ila yamo hayo katika Kitabu (cha Mungu). Hakika hayo ni mepesi kwa Mwenyezi Mungu. (je ni nani mwengine ayafanyaye hayo asiekuwa Mungu ikiwa unamjuwa)?
34:38. Na wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao watahudhurishwa kwenye adhabu ( hapa duniani kabla ya kufa na siku ya kiama).
Hebu kiri ukweli huu kama kuna yeyote anaye yamiliki haya
huu ndio ushahidi wangu, nipe wa kwako basi
Utasemaje mada siyo uwepo wa Mungu halafu hapo hapo useme Mungu yupo, huoni kwamba hiyo ni mada?Mada siyo kuhusu uwepo wa Mungu,ama nguvu za Mungu,
Mada ni DINI
Mungu yupo na ana nguvu juu ya yote hili siyo la kujadili,kataa kubali,
Ishu ni hizi Dini,ndo anachomaanisha mleta mada,
NB namna dini zinashindwa kutukonektisha na majibu toka kwa Mungu,nadhani ndo maana kasema dini zimeumbuka,
Hajasema Mungu,kasema Dini,
Japo binafsi nadhani angeangazia viongozi wa dini zaidi kuliko dini maana wao ndo wafanya dini ziwe bandia ama halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo penye mungu ambako wewe unaona nimekosea, unaweza ukaweka Mungu na bado hoja yangu ikawa imelenga palepale nilipopakusudiaMimi simuongelei mungu
Namuongelea Mungu,
We endelea kumuongelea mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa bila kulala kwa siku tatu.,Allah naye hayupo ni story tu, unataka kujificha kwenye matuta ya njugu ukidhani hatukuoni?
Thibitisha allah yupo
It's Scars
Binadamu gani aliyeumbwa?Unadhani ni kwa nini binadamu kaumbiwa akili na utashi na maarifa makubwa zaidi ya viumbe wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini nihitaji kutazama contents ndio nikanushe?Mbona unajihami sana, kwa kusema vitabu hivi huviamini?
hebu tazama hizo contentss zake
kanusha moja wapo ya hizo aya hapo juu useme isivyokuwa hivyo ikiwa wewe kweli ni mjuzi,
kinyume chake nadhani Umeamua Kubishana tuu bila ya hoja,
Natilia shaka Elimu yako na Akili pia.
hujajibu swalini wewe sasa.
Kutumia akili YAKO..
Maana muhammad alikuwepo kabla ya sayansi.
JIULIZE ALIYAJUAJE HAYA.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu imekukuta sasa naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwaKijana usilo lijua ni kuwa mambo haya mimi nimeyasoma kabisa yaani vitabu na vitabu na nina endelea kuyasoma. Kauli zangu hazipingani, na nilichokiandika hapa hakipingani na majibu yangu mengine, ndio maana na uwezo kuona makosa yako na nikayachambua, lakini weww uweso huo huna, unaishia kusema tu kisha huonyeshi shida iko wapi, hii ni ishara ya kuwa huna hoja na jambo limekuzidi pa kubwa sana.
Hii mada iliisha kitambo sana, na uwe unasoma hoja zangu kisha uzielewe na ujue kutofautisha jambo moja na lingine.
Usipate shida Qur'an yenyewe inakupa challenge...Ni wajinga pekee tu ambao wanaweza kubabaika na hizo riwaya zakiarabu ulizoziweka
Ungekua unakielewa unachokisoma usingeleta habari za "spider"
Hujajibu swali hili
Unajuaje kwamba kuran imeongea ukweli?
It's Scars
Has caused my sister's marriage to break up. Sasa nalea wajomba mana bwashemeji alikimbia kabisa akaacha na nyumba zake, namchukia sana huyo jamaa.Alikufanyaje mkuu