Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kurudia kwako maswali ni kukosa hoja na hili linajulikana na hakumaanishi kwamba kweli hujajibiwa maswali.
Kurudia kwangu swali kunamaanisha nasisitiza ujibu swali ambalo hujalijibu


Hujajibu swali hili

Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?

It's Scars
 
Seli ikishindwa kukabiliana na hali ya mazingira hayo ndipo kifo kinapotokea

It's Scars

Nimecheka kinoma mzee.Kaka sina swali lingine juu ya kifo, umemaliza.

Kama una akili timamu najua umeshakiri kimoyo moyo.
 
Makanisani na misikitini wanavyofundishwa kua ombeni nanyi mtapewa na hakuna kinacho shindikana mbele za mungu endapo utaomba, kwanini sasa wasiombe dua kazi zao zifanyike kama kweli dua inafanya kazi kwa namna ambavyo wao wamefundishwa?

It's Scars


Ni kwa sababu hizo dini zote si za ukweli, ni fabrications tu na ni man made, history is there to prove them wrong.
 
Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?

Niko makini sana kuliko unavyofikiria mzee.
Naona unatafuta uvungu wakujificha

Unakubali kua unajua huu ugonjwa umeletwa na allah?

It's Scars
 
Ningekua Uneducated fool ningekua kiongozi wa waislamu

Maana kama mudy hakuwa educated hata kusoma hakujua na bado mnamlamba miguu na kumtukuza unafikiri kungekua na ugumu wowote mimi kua kiongozi wenu hapa??



It's Scars
Una dhihirisha ujinga wako mkuu. Upana wa elimu hauishii kwenye kujua kusoma na kuandika. Elimu hiyo kabla ya utume wake hakuipata na haikuwa sababu ya mola muumba kushindwa kumpa utume. Kwa sababu kazi ya utume ilikuwa ni kuwaongoza waliopotea,kuonya watu na kuwabashiria. Kazi hii ni kazi teule ambayo ambayo amepewa ili kufikisha ujumbe uliotumwa na mola muumba kuja wanadamu wote. Jiulize mtu asiyejua kusoma na kuandika amewezaje kuacha athari katika dunia hii kwa zaidi ya karne 14 Sasa? Halafu we unaendelea kubeza tu,nitajie mtu yoyote yule ambae unamfahamu alikuwa hajui kusoma na kuandika na ameacha athari inayotambulika na kuenziwa hata huko kijijini kwenu.? Mi nilijua kwa kigezo Cha kutojua kusoma na kuandika watu wangetafakari wakapata mazingatio lakini haijawa isipokuwa kwa wachache Sana.
 
Kama unakijua ulichokikubali kwanini unauliza?

Unaelewa huko nyuma ulikua unakataa nini na hapa saizi umekubali nini?

It's Scars
 
Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?

Sababu najua nini nachokizungumzia. Ngoja nitilie mkazo jibu langu. Maisha yanaendelea na pili, Allah hakuwahi kutokuwepo,kwahiyo waandishi hao hawakuwahi kuandika uongo juu ha kuwepo kwa Allah.

Na waandishi hao walikuwa wakweli na waaminifu.
 
Ni kweli simjui mola na wala hujafanya kosa, ila ukishindwa kuthibitisha yupo basi wewe ndio utakua zaidi ya zuzu

Thibitisha mola yupo

It's Scars
 
Kama unakijua ulichokikubali kwanini unauliza?

Unaelewa huko nyuma ulikua unakataa nini na hapa saizi umekubali nini?

It's Scars
Hoja zangu hazikinzani kijana, ndio maana huonyeshi kukinzana kwa hoja zangu.

Sasa unaposema bila ithibati, hata mimi naweza kusema kijana, onyesha kukinzana. Usikimbie kivuli chako.

Nipo ....
 
Ndiyo maana naiamini, tuachane Mambo ya imani.
Sijakukataza usiamini, ila kuamini kwako hakufanya jambo hilo liwe kweli.

Kuna watu wanaamini ng'ombe ni mungu ambaye ameumba kila kitu, watu hao wakisema "ndiyo maana naamini" kusema kwao huko kutafanya ng'ombe awe mungu kweli?

Umeshindwa kusimamia hoja ya swali lako la msingi?
Swali langu la msingi ni kutaka nithibitishiwe uwepo wa huyo mungu

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Umezoea kutukanana labda ndo maana unaona nimekuwa mnyonge?
Hakuna relation yeyote kati ya neno "mnyonge" na matusi

Ww binafsi siwezi kujadiliana hoja na ww kupitia imani yangu Wala ya kwako .
Utasemaje huwezi kujadiliana, wakati mpaka muda huu tunaendelea kujadiliana?

Naweza kujadili kupitia maisha tunayoishi tu kuthibitisha kile ninacho kitukuza kuwa Kiko sawa.
Kivipi maisha unsyoishi yathibitishe unachokitukuza na sio kitu kingine?



It's Scars
 
Nimecheka kinoma mzee.Kaka sina swali lingine juu ya kifo, umemaliza.

Kama una akili timamu najua umeshakiri kimoyo moyo.
Nimekiri kua wewe ni taila

Halafu muumini mwenzako kakukosoa ujinga wako huo wakucheka cheka

It's Scars
 
Nimekiri kua wewe ni taila

Halafu muumini mwenzako kakukosoa ujinga wako huo wakucheka cheka

It's Scars

Sipingi huko kukiri kwako.

Yule katika hili hawezi kunikosoa,sababu haijui Qur'aan, na yule nani amekwambia kwamba ni Muislamu ? Una uhakika kama yule ni muumini ?

Inaonekana kwenu kuandika au kujadili jambo amball hamlijui ni sifa nzuri sana sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…