Sababu nina majibu sahihi.
Jibu maswali niliyo kuuliza,hii tabia hujaiacha tu kijana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu nina majibu sahihi.
Kurudia kwangu swali kunamaanisha nasisitiza ujibu swali ambalo hujalijibuKurudia kwako maswali ni kukosa hoja na hili linajulikana na hakumaanishi kwamba kweli hujajibiwa maswali.
Makanisani na misikitini wanavyofundishwa kua ombeni nanyi mtapewa na hakuna kinacho shindikana mbele za mungu endapo utaomba, kwanini sasa wasiombe dua kazi zao zifanyike kama kweli dua inafanya kazi kwa namna ambavyo wao wamefundishwa?
It's Scars
Una dhihirisha ujinga wako mkuu. Upana wa elimu hauishii kwenye kujua kusoma na kuandika. Elimu hiyo kabla ya utume wake hakuipata na haikuwa sababu ya mola muumba kushindwa kumpa utume. Kwa sababu kazi ya utume ilikuwa ni kuwaongoza waliopotea,kuonya watu na kuwabashiria. Kazi hii ni kazi teule ambayo ambayo amepewa ili kufikisha ujumbe uliotumwa na mola muumba kuja wanadamu wote. Jiulize mtu asiyejua kusoma na kuandika amewezaje kuacha athari katika dunia hii kwa zaidi ya karne 14 Sasa? Halafu we unaendelea kubeza tu,nitajie mtu yoyote yule ambae unamfahamu alikuwa hajui kusoma na kuandika na ameacha athari inayotambulika na kuenziwa hata huko kijijini kwenu.? Mi nilijua kwa kigezo Cha kutojua kusoma na kuandika watu wangetafakari wakapata mazingatio lakini haijawa isipokuwa kwa wachache Sana.Ningekua Uneducated fool ningekua kiongozi wa waislamu
Maana kama mudy hakuwa educated hata kusoma hakujua na bado mnamlamba miguu na kumtukuza unafikiri kungekua na ugumu wowote mimi kua kiongozi wenu hapa??
It's Scars
Kama unakijua ulichokikubali kwanini unauliza?Najua kila nukta niliyo iandika ndio maana nakuhiji hivyo, na nina weza kukuwekea wazi nukta zangu zote na hazipingani hata moja.
Kwahiyo nakuuliza hivyo ili ujihukumu mwenyewe kama ulivyo jinadi hujajibiwa maswali lakini ukweli uko dhidi yako na umeshindwa kuonyesha hilo zaidi kubabatiza nukta.
.
Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?
Ni kweli simjui mola na wala hujafanya kosa, ila ukishindwa kuthibitisha yupo basi wewe ndio utakua zaidi ya zuzuBila ya shaka watu wamekujibu kwenye Post yako, katika majibu yaliyotolewa yapo majibu sahihi. Ila uhakika wa mambo we jamaa ni mjinga,humjui mola muumba that's why unachanganyikiwa. Unataka akili yako ijiongoze katika mambo ya ibada au katika namna ya kumjua muumba. Kwa mtindo huo utaishia kujichanganya na kuropoka utumbo. Mola muumba ametoa muongozo na kanuni za kumfikia na amejulisha waja wake namna yeye alivyo. Unatakiwa kukomea hapo hapo kwa kadri ulivyomfahamu. Sasa wewe unaamini kwenye akili tu,sio kila kitu kinadirikiwa na akili ya mwanadamu. Aliyekuumba amekuwekea limitations ya akili yako kuna mambo akili yako itadiriki na mengine hayadirikiwi na akili yako. Mwisho wa yote hata hao wanasayansi baadhi yao wanamuomba mungu huku wakitumia akili waliyopewa kufanya utafiti na kugundua. Sawa na watu wengine wanamuomba mungu awape riziki huku wakifanya sababu ya kupata riziki wao wenyewe Kama vile kulima au biashara na mambo
Najua hilo na ndio ambalo nalizungumzia hapa.
Hoja zangu hazikinzani kijana, ndio maana huonyeshi kukinzana kwa hoja zangu.Kama unakijua ulichokikubali kwanini unauliza?
Unaelewa huko nyuma ulikua unakataa nini na hapa saizi umekubali nini?
It's Scars
Sijakukataza usiamini, ila kuamini kwako hakufanya jambo hilo liwe kweli.Ndiyo maana naiamini, tuachane Mambo ya imani.
Swali langu la msingi ni kutaka nithibitishiwe uwepo wa huyo munguUmeshindwa kusimamia hoja ya swali lako la msingi?
Hakuna relation yeyote kati ya neno "mnyonge" na matusiUmezoea kutukanana labda ndo maana unaona nimekuwa mnyonge?
Utasemaje huwezi kujadiliana, wakati mpaka muda huu tunaendelea kujadiliana?Ww binafsi siwezi kujadiliana hoja na ww kupitia imani yangu Wala ya kwako .
Kivipi maisha unsyoishi yathibitishe unachokitukuza na sio kitu kingine?Naweza kujadili kupitia maisha tunayoishi tu kuthibitisha kile ninacho kitukuza kuwa Kiko sawa.
Nimekiri kua wewe ni taila
Halafu muumini mwenzako kakukosoa ujinga wako huo wakucheka cheka
It's Scars
Hivi unahisi kingetokea nini endapo ungekuwa unajibu maswali yangu ?Nimekiri kua wewe ni taila
Halafu muumini mwenzako kakukosoa ujinga wako huo wakucheka cheka
It's Scars