Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kutoka kwenye andiko lako umeonesha kupinga dini zote na kuwataka waafrika kujitambua. Hapo hapo umemtaja mhubiri TB Joshua kuwa ni MSHIRIKINA,swali kwako nini maana ya mshirikina?
Swali la pili kuhusu Quran umesema kuwa ni kitabu kilichojaa dhambi, upi msumamo wako kuhusu neno dhambi na huku wewe huna dini.
Swali la tatu; unaamini kwenye uchawi? Thibitisha uchawi uliopo kwenye Quran kama unavyoituhumu.
 

Mtu aliyekosa elimu ya kusoma na kuandika yupo katika zone ya ujinga

Kazi ya mtume iwe kuongoza waliopotea wakati yeye mwenyewe hajui kusoma wala kuandika na anahitaji muongozaji katika hilo. Huoni kwamba hoja yangu ya kusema ili kuongoza waislamu kigezo cha kwanza uwe mjinga ina apply hapo?

Angekua sio mjinga kwa namna ambavyo unamtetea hapa asingefanya molestation kwa mtoto wa maiak 9

Wewe kama umeelimika kweli ni sahihi mzee wa miaka 50 amuoe bintinwa miaka 9?



It's Scars
 
Sababu najua nini nachokizungumzia. Ngoja nitilie mkazo jibu langu. Maisha yanaendelea na pili, Allah hakuwahi kutokuwepo,kwahiyo waandishi hao hawakuwahi kuandika uongo juu ha kuwepo kwa Allah.

Na waandishi hao walikuwa wakweli na waaminifu.
Kujua kwako unachokizungumzia na muendelezo wa maisha hakuthibitishi chochote kua waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe



It's Scars
 
Kujua kwako unachokizungumzia na muendelezo wa maisha hakuthibitishi chochote kua waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe



It's Scars
Safi kabisa, umekuja napo pataka unaweza kuthibitisha hilo na kuonyesha uongo wao uko wapi ?

Usikimbis maswali, sababu mimi najibu maswali yako.
 
Hoja zangu hazikinzani kijana, ndio maana huonyeshi kukinzana kwa hoja zangu.

Sasa unaposema bila ithibati, hata mimi naweza kusema kijana, onyesha kukinzana. Usikimbie kivuli chako.

Nipo ....
Soon utajua

Swala la huu ugonjwa kuwepo duniani ni jambo ambalo mungu alipanga janga hili litokee ili liwadhuru watu?

It's Scars
 
Sasa kama unajua kwanini mwanzo ulikua unapinga kua haujui?

It's Scars
Hakuna sehemu ambayo nimesema sijui huu ugonjwa kama ameuleta Allah.

Kijana naona una wenge kubwa sana, hii nahisi husababishwa na uoga wa kukimbia maswali na kujibu maswali.
 
Hakuna maswali ya msingi ambayo umeyajibu,hii inatudhihirishia kuwa wewe imma ni mwehu au mjumbe mjinga asiyejua alichotumwa.
Huyu hii tabia yake ya kukimbia maswali imekomaa, hawajui wanachokijadili.

Wakana Mungu wote wana matatizo ya akili.
 
Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni jibu kutoafikiana na jibu sahihi ambalo ninalo.

Una maswali marahisi sana.
Kutoafikiana kwa jibu lako na hoja yangu maana yake hoja yangu haiafikiani na yako, nasio kwamba jibu lako nisahihi kwasababu haiafikiani na hoja yangu



It's Scars
 

Hawezi kukukosoa na wakati amekukosoa?



It's Scars
 
Sio kosa lako Holi kosa la kimfumo. Maana ya ujinga ulifundishwa kuwa ni mtu asiyejua kusoma na kuandika. Hii tafsiri si sahihi bila shaka ilitumika Kama hamasa tu ya watu waweze kujifunza kusoma na kuandika. Tafsiri ya ujinga ni kutojua jambo, hapa anaingia kila binadamu kwenye hii tafsiri. Kila mtu ni mjinga kwa asichokijua kama wewe ulivyo mjinga kwenye dini.
 
Kutoafikiana kwa jibu lako na hoja yangu maana yake hoja yangu haiafikiani na yako, nasio kwamba jibu lako nisahihi kwasababu haiafikiani na hoja yangu



It's Scars

Unakubali kwamba sio kila hoja ni jibu ?
 
Unarudia swali ambalo nimeshakujibu huko nyuma, rejea ukasome.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.
Ukiona narudia swali ambalo kwako unahisi umelijibu basi lirudie jibu lako halafu lipime

Hali halisi ni nini?

Kwanini hali halisi ithibitishe mungu na sio kingine?

Unajuaje kua watu hawakutumia kichaka cha "hali halisi" ili kuweka ulaghai wao kama conspiracy theory??



It's Scars
 
Safi kabisa, umekuja napo pataka unaweza kuthibitisha hilo na kuonyesha uongo wao uko wapi ?

Usikimbis maswali, sababu mimi najibu maswali yako.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote amabaye amenukuliwa katika hivyo vitabu angekuwepo kusingetokea majanga ya magonjwa kama haya

Kuwepo kwa haya magonjwa kunaonesha mungu huyo hayupo na hivyo vitabu vilivyo andika habari zake ni vya uongo

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…