kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Kutoka kwenye andiko lako umeonesha kupinga dini zote na kuwataka waafrika kujitambua. Hapo hapo umemtaja mhubiri TB Joshua kuwa ni MSHIRIKINA,swali kwako nini maana ya mshirikina?Kwenye Theology ukisoma vizuri utakuta hizi Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Uislam) ni fabrications tu, hazina ukweli wowote na ndiyo maana wachungaji wa siku hizi baada ya kusoma na kugundua ukweli huo wanacheza na akili za waumini wao kwa sababu wanajuwa hizi dini hazina ukweli wowote ule. Mfano kuna huyu nabii wa Kinigeria aitwaye T.B. Joshua, huyu jamaa baada ya kuchunguza nimekuta ni mshirikina kupindukia ila anatumia jina la Mungu kurubuni waumini wake kwa kuwachezea akili. HAKUNA kitabu chenye madhambi kama Qur'an.....ukitaka kumtupia mtu marogo/uchawi vyote vinapatikana kwenye hiki kitabu, ukitaka kuua mtu pia unapata humo humo ndani ya Qur'an, hivi iweje Mungu atukataze kuuana then ashushe Qur'an na kuruhusu waarab mauwaji aliyokataza? Waafrika tuache ujinga, amkeni mmechezewa akili far too long kwa kisingizo cha dini. Huko Italia na nchi kibao duniani wau wanasali kwa Mungu aondoe Coronavirus, Mungu hawasikii, why?
Swali la pili kuhusu Quran umesema kuwa ni kitabu kilichojaa dhambi, upi msumamo wako kuhusu neno dhambi na huku wewe huna dini.
Swali la tatu; unaamini kwenye uchawi? Thibitisha uchawi uliopo kwenye Quran kama unavyoituhumu.