Ni kweli kabisa kwa hiyo sie mtazamo wetu ni kwamba dua ni kuhitaji msaada na uhitaji wa msaada unakuja pale ambapo umekwama kabisa huna cha kufanya au umejitahidi kiasi uwezavyo mfano wanadini wamechukua tahadhari kwanza dhidi ya Corona na kisha hufanya dua(kumtaka Mungu msaada).Kama ni swala ambalo lipo katika mtazamo ya wengi, basi hata wewe kusema dua sio kazi ni moja kati ya mitazamo ya wengi
It's Scars
Kuna mfanano gani hapo?
Ni kweli kabisa kwa hiyo sie mtazamo wetu ni kwamba dua ni kuhitaji msaada na uhitaji wa msaada unakuja pale ambapo umekwama kabisa huna cha kufanya au umejitahidi kiasi uwezavyo mfano wanadini wamechukua tahadhari kwanza dhidi ya Corona na kisha hufanya dua(kumtaka Mungu msaada).
Una uhakika umesoma vitabu vya dini kuhusu dua? Kama umesoma vinafundisha nini kuhusu dua?Dua iliyofanywa kwa lengo la kuzuia corona isiingie tanzania imeleta impact gani?
Ukimwi unamiaka zaidi ya 30 na bado unaendelea kuua watu kiasi kwamba ni tishio la dunia
Unafikiri kwanini ukimwi umeshindwa kuondolewa kwa dua kama kweli dua inafanya kazi kihalisia kama ambavyo vitabu vya dini vinavyofundisha?
It's Scars
Vitabu vya dini vinasema Ombeni nanyi mtapewa maana hakuna lishindikanalo mbele za mungu. Lakini hakuna impact yeyote inaonesha imefanyika baada ya jitihada za kuomba dua kufanywa na waumini wa diniUna uhakika umesoma vitabu vya dini kuhusu dua? Kama umesoma vinafundisha nini kuhusu dua?
Suala la spiderman ni jambo lililobuniwa kwa ajiri ya movie hivyo hakuhitajiki uthitisho hapo wa kuthibitisha uwepo wa spiderman nje ya movie kwa sababu hakuna madai ya kuwepo spiderman nje ya movie,habari za Mungu ni tofauti na spiderman na ndiyo maana watu wanadai uthibitisho uwepo wa Mungu sababu ni kuwa watu hudai uwepo wake kiuhalisia.Mfanano wake ni kwasababu wote hawathibitishiki kihalisia nje ya masimulizi yao
Hujajibu swali
Unajuaje kua mungu sio dhana ya kufikirika kama spiderman?
It's Scars
Unaomba kwa Imani au unaomba kwa kumjaribu Mungu usijaribu Mwenyezi Mungu hajaribiwi (Imani yako Ndio itakayokuponya) Ibrahim aliomba mtoto akaja kupewa mtoto Akiwa na miaka 100 Isaka na huyo huyo akaambiwa amtoe kafara na Kwa Imani aliyokuwa nayo kwa Mungu akamwandaa kwa ajili ya kumtoa sadaka lakini Mungu akampatia kondoo kwa ajili ya ile sadaka ukiwa na imani haba usitarajie kupata uponyajiVitabu vya dini vinasema Ombeni nanyi mtapewa maana hakuna lishindikanalo mbele za mungu. Lakini hakuna impact yeyote inaonesha imefanyika baada ya jitihada za kuomba dua kufanywa na waumini wa dini
Dini zinasema mungu kawapa mamlaka ya kukanyaga n'ge na nyoka bila kudhurika ukiwa na imami. Lakini mamlaka hayo hatuyaoni watu wakiyatumia kuukabili huu ugonjwa ambao umeua maelfu ya watu
Janga hili linathibitisha kwamba Dua ni hoax iliyokua invented na dini maana uhalisia wake haupo. Na swala zima la uwepo wa mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo
It's Scars
We unajuaje kua dhana ya uwepo wa mungu sio swala lililobuniwa kwaajili ya dini?Suala la spiderman ni jambo lililobuniwa kwa ajiri ya movie hivyo hakuhitajiki uthitisho hapo wa kuthibitisha uwepo wa spiderman nje ya movie kwa sababu hakuna madai ya kuwepo spiderman nje ya movie,habari za Mungu ni tofauti na spiderman na ndiyo watu wadai uthibitisho kwa Mungu hudai kuwa kweli yupo kiuhalisia.
Unaomba kwa Imani au unaomba kwa kumjaribu Mungu usijaribu Mwenyezi Mungu hajaribiwi (Imani yako Ndio itakayokuponya) Ibrahim aliomba mtoto akaja kupewa mtoto Akiwa na miaka 100 Isaka na huyo huyo akaambiwa amtoe kafara na Kwa Imani aliyokuwa nayo kwa Mungu akamwandaa kwa ajili ya kumtoa sadaka lakini Mungu akampatia kondoo kwa ajili ya ile sadaka ukiwa na imani haba usitarajie kupata uponyaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akusamehe maana hujui ulisemalo.Ndio ujue HAKUNA MUNGU hapo! Ni fix tu za kale tulizolishwa na mapadri.
Dua si command bali ni ombi,hivyo dua inakukubaliwa,inakukataliwa,ina kucheleweshwa kujibiwa.Vitabu vya dini vinasema Ombeni nanyi mtapewa maana hakuna lishindikanalo mbele za mungu. Lakini hakuna impact yeyote inaonesha imefanyika baada ya jitihada za kuomba dua kufanywa na waumini wa dini
Dini zinasema mungu kawapa mamlaka ya kukanyaga n'ge na nyoka bila kudhurika ukiwa na imami. Lakini mamlaka hayo hatuyaoni watu wakiyatumia kuukabili huu ugonjwa ambao umeua maelfu ya watu
Janga hili linathibitisha kwamba Dua ni hoax iliyokua invented na dini maana uhalisia wake haupo. Na swala zima la uwepo wa mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo
It's Scars
Kama ni hivyo sasa wewe unadai uthibitisho wa nini? Mbona haudai uthibitisho wa spiderman?
Hakuna mahali nimesema dua ni command, nimehoji kulingana na mafundisho yanayotolewa na dini kuhusu duaDua si command bali ni ombi,hivyo dua inakukubaliwa,inakukataliwa,ina kucheleweshwa kujibiwa.
Nadai uthibitisho kwasababu nataka kujuaKama ni hivyo sasa wewe unadai uthibitisho wa nini? Mbona haudai uthibitisho wa spiderman?
Tatizo ni moja unaongea kana kwamba watu dua zao huwa hazijibiwi kwa kutumia hiyo mifano ya ukimwi na corona.Hakuna mahali nimesema dua ni command, nimehoji kulingana na mafundisho yanayotolewa na dini kuhusu dua
Dini zinasema ombeni nanyi mtapewa maana hakuna lishindikanalo mbele za mungu.
Kama ilikua sio lazima kupewa kwasababu kuna ucheleweshaji wa majibu isingejinasibihisha kua mmepewa mamlaka ya kufanya jambo lilio jema lolote mbele za mungu kwa kutumia dua
Lakink hata hivyo Katika ulimwengu wenye mungu mjuzi wa yote, muweza yote na upendo wote utagundua swala la mungu kuchelewa kujibu maombi huku watu wakiendelea kufa ikiwemo watoto ni contradiction
Mungu huyu angekuwepo, hata magonjwa na matatizo mengine yasingeweza kujadilika
It's Scars
Ndiyo maana nikakuuliza kama suala la Mungu limebuniwa tu kwa ajili ya dini(na wewe hufuati dini) kwanini sasa utake uthibitisho? Ndiyo maana nakwambia suala la spiderman ni tofauti na Mungu.Nadai uthibitisho kwasababu nataka kujua
Sihoji uthibitisho wa spiderman kwasababu hujawahi sema kua yupo
Spiderman uliskia kua anahadithiwa kua yupo na ni mjuzi wa yote na muweza wa yote na upendo wote ambaye aliumba ulimwengu huu na vilivyomo?
Hujajibu swali
We unajuaje kua dhana ya uwepo wa mungu sio swala lililobuniwa kwaajili ya dini?
It's Scars
Nataka kujua kwasababu dini imesema huyo mungu ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na mimiNdiyo maana nikakuuliza kama suala la Mungu limebuniwa tu kwa ajili ya dini(na wewe hufuati dini) kwanini sasa utake uthibitisho? Ndiyo maana nakwambia suala la spiderman ni tofauti na Mungu.
Kwani dua gani ambayo imeweza kuleta dawa ya ukimwi na corona?Tatizo ni moja unaongea kana kwamba watu dua zao huwa hazijibiwi kwa kutumia hiyo mifano ya ukimwi na corona.