Hakuna mahali nimesema dua ni command, nimehoji kulingana na mafundisho yanayotolewa na dini kuhusu dua
Dini zinasema ombeni nanyi mtapewa maana hakuna lishindikanalo mbele za mungu.
Kama ilikua sio lazima kupewa kwasababu kuna ucheleweshaji wa majibu isingejinasibihisha kua mmepewa mamlaka ya kufanya jambo lilio jema lolote mbele za mungu kwa kutumia dua
Lakink hata hivyo Katika ulimwengu wenye mungu mjuzi wa yote, muweza yote na upendo wote utagundua swala la mungu kuchelewa kujibu maombi huku watu wakiendelea kufa ikiwemo watoto ni contradiction
Mungu huyu angekuwepo, hata magonjwa na matatizo mengine yasingeweza kujadilika
It's Scars