Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Sasa nasema hivi tutasali hivyo hivyo na corona na misikiti na makanisani tutaendelea kwenda na hii hali haitakuepo milele haya ni mambo ya mpito tu tutavumilia na yataisha.
Nani kasema corona itakwisha?

Kwani malaria imekwisha?

Ebora je?

Kipindupindu je?

UKIMWI je?

Sema tu itapatiwa dawa lakini si kwisha.

Tafadhali nitajie magonjwa makubwa matatu yaliokwisha?
 
Sasa nasema hivi tutasali hivyo hivyo na corona na misikiti na makanisani tutaendelea kwenda na hii hali haitakuepo milele haya ni mambo ya mpito tu tutavumilia na yataisha.
Kama watu tunavyoendelea kulala kwenye "net kwa sababu ya malalia

Tunavyotumia condom kwa sababu ya UKIMWI

Basi ndo utambue hatutopeana mikono teyna
 
Hata WAKATI ule wa maandalizi ya Gharika kuu,Nabii Nuhu aliwaambia WATU watubu wamrudie MUNGU MUUMBA WA VYOTE,wanadamu wakamdharau wakisema Kama "Mungu hayupo".Mpaka Gharika ikaja ikawaangamiza wote.Kama mtoa mada huiamini Bible,NI KWAMBA huna uhalali wa kubishania kilichoandikwa kwenye Bible.Neno la Mungu KWENYE Bible linasema "Asemaye hakuna Mungu NI MPUMBAVU.YESU Aliposulubiwa juu ya Msalaba na wanyang'anyi wawili pembeni take,Yule mnyang'anyi mmojawapo aliyekuwa MPUMBAVU Kama wewe na kiburi chake alimdhihaki YESU.Sasa wewe unamdhihaki MUNGU kwa kiburi Cha uzima ulio nao kwa SASA.Kwanza wewe Ni Nani katika Dunia hii Mpaka umdhihaki MUNGU kiasi hicho.Wakati Wafalme na VIONGOZI wote wa Dunia hii wanamuabudu MUNGU.Hiyo Ni kumkufuru ROHO MTAKATIFU.Na Neno linasema DHAMBI ZOTE AZITENDAZO MWANADAMU(KAMA AKIZITUBU KWA KUMAANISHA)ATASAMEHEWA.LAKINI DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU,Haitasamehewa katika ulimwengu huu Wala katika ulimwengu ujao.Weye endelea kubaki na upumbavu wako Ati hakuna MUNGU !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni uhai wa kiroho. Mengine yote ni porojo za wasaka pesa za sadaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo makka yatangaza wenda watu msiende kuiji kwa sababu ya corona. Kesho utasikia no idd no kwenda kanisani no kwenda misikitini na naomba huu utaratibu udumu mpaka mwisho wa Dunia hata kama corona itakwisha ni MAONI YANGU TUU kama (mlevi
And No Clubs
No Bar
Kama mswalihina,
Ingekuwepo amani ya kudumu
 
Na umwambie nikimkamata namsurubisha tena kwa mara ya pili.
Narudia tena UMWAMBIE KUWA NIKIMKAMATA HUYO ROHO WAKO NAMTIA TENA MIIBA SIWEZI KUBALI UJINGA KAMWE.

tena safari hii namuitia wahuni kwanza wa mtoe marinda sio vikohozi tena.
 
Amin nakuambia ,hata mafarisayo walidhani hivyo
Inakuaje yesu kijana mdogo awafundishe taurati Vijeba vya kiyahudi.
Lakini kumbe mambo sivyo yalivo.
Injili imekuja kuifafanua vyema taurati.
Mfano:-
Mathayo 5:17 “Msidhani ya kuwa nalikuja KUITANGUA TORATI AU MANABII; La!, SIKUJA KUTANGUA, bali KUTIMILIZA.
Maelezo
-: BWANA aliposema hakuja kuitangua torati wala manabii bali kuitimiliza…alikuwa ana maana kuwa yeye hakuja kuondoa neno lolote la torati lililosemwa bali alikuja kulifanya kuwa IMARA ZAIDI..kwa mfano torati iliposema usizini, haikuishia pale tu katika mwili…lakini Bwana Yesu alipokuja alisema amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye nafsini mwake…si umeona hapo.. hajaiondoa amri ile bali ndio ameikolezea..Ikiwa na maana sio tu kwenda kuchukua hatua ya kuzini ndio iwe kosa hapana bali kitendo cha kumtamani tu tayari ni kosa, hivyo haupaswi kutamani kabisa ili kuitimiliza torati…

Na Qur-an imekuja kufuta makosa ya wajanja waliojipenyeza kwenye dini ya Mungu.
Ili Mungu aabudiwe na waja wake kama Mungu,
Qur an imesema
''walaatakrabu zinaa'' = wala usiikaribie zinaa-
Hivi ndivyo vitabu vya Mungu vinavyowiana,ukiondoa zile hitilafu za kuamini, bado maamrisho ni yale yale.
Soma qur-an ijiongezee maarifa
 
Na umwambie nikimkamata namsurubisha tena kwa mara ya pili.
Narudia tena UMWAMBIE KUWA NIKIMKAMATA HUYO ROHO WAKO NAMTIA TENA MIIBA SIWEZI KUBALI UJINGA KAMWE.

tena safari hii namuitia wahuni kwanza wa mtoe marinda sio vikohozi tena.
Weeeeeeeeeeeeee kweli kichwa kimedata,Sijiu ndo kichupa,majani au bwimbwi linalokutowa fahamu?
Nakusihi tumia uhuru wako vyema,usimuachie shetani akakuingiza chakani,ukaishia majuto.
Nakushauri bora mtukane Makonda au Jiwe ,adhabu yao itakuwa ndogo kuliko Bwana wa Majeshi.
Maan wao watakuingiza wenye kipolo na kukutupa mtoni,Lakini Mungu atakuninginiza kwenye Mnyororo motoni kwa ulimi wako ,huku kifo kikipigwa marufuku kwako ili uonje jeuri yako.
Toba Toba Toba,Hata Ibilisi hasubutu sema hayo
 
Sio siri wee akili yako IMEOZA.
Naomba nikushauri kitu hapa:-

Binadamu ni kiumbe kilichokamilika katika maisha yake.

Kwa unavyo mchukulia wewe binadamu ni tofauti kabisa.

Namaanisha hivi, binadamu nikiumbe ambaye anakila kitu juu ya mfumo wake na namna ya kuishi bila ya kuambiwa na mtu yeyote yule.

Jalibu kutembelea maeneo ambayo ambayo dini hizi zote mbili hazikufika na utawakuta wana utaratibu na mfumo wote mf (utawakuta wanaoana utawakuta wanakemeana juu ya kuachana na wizi utawakuta wanaadhabu zao juu mtu atakayechukua mke watu.
Na utawakuta wana sheria zao za kuabudu na kaza wa kaza.

Sasa wewe kwa unavyomchukulia binadamu eti asiyejua namna ya kufanya mpaka eti asome biblia au qur ani. Kiukweli unatukosea sana tena unapaswa upigwe mawe.
 
Nakusamehe kutokana na umri wako.
Endelea kuwa mwanchama mwema wa jamii forum,jifunze kuchangia kwa faida yako na wengine.
Ibua hoja na vipaji na sio kuvurumiza vibweka na ufyongo.
Good morning TOM
 
Nani kasema corona itakwisha?

Kwani malaria imekwisha?

Ebora je?

Kipindupindu je?

UKIMWI je?

Sema tu itapatiwa dawa lakini si kwisha.

Tafadhali nitajie magonjwa makubwa matatu yaliokwisha?
Exactly

It's Scars
 
Teh teh te-h-e-e-e
Umenifanya nicheke sana.

Kiufupi nakubali Kuwa kuna mwisho wa yote. Namaanisha kuna mwisho hata nikimtaja mungu bado kuna mwisho wake pia.
Hahahaa mwisho wa mungu?

Hii nayo hatari ya namna yake[emoji23]

It's Scars
 
Jamani naandika nikishangaa wale 'manabii' na waponyaji wa magonjwa kwa kutumia maji, mafuta na udongo wa upako wameingia mitini na hatuwaoni tena! kwani kunanini na ukimya wenu vipi?
 
inatosha,endeleeni na shunguli nyingine maaana hamnabudi kuhesabika kwenye uharibifu.roho wa mungu akitimiza maandiko yan kurudi alipo toka hakika siku hyo utakiri utatafuta nuru lakin giza litakuandama utakimbuka maovu yako yote na kwa kinywa chako utasema hakika nastaili adhaabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…