Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Hili suala la hili gongwa la COVID-19 Manabii na Mitume mbona wapo kimya sana hata sisikii swaga zao na kuomba kwa hili gonjwa au kutubu kwa ajili ya Dunia ili gonjwa hili litoke na hata kuomba kwa ajili ya wagonjwa wapone......!
Nimepata habari baadhi ya makanisa/madhehebu yakijigamba kwamba wao hawataugua...Je? ndugu zao usipompenda jirani utasemaje unampenda Mungu.........!
ILANI
COVID-19 ikikolea TZ tutakufa kama wafuasi wa kibwetele.....Mwingira,Mwamposa,Lwakatale,GeorDavie na wengne wakati wenu wa kuthibitisha kile mnachokiishi na kufundisha kama Mitume na Manabii wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana subiri tiba ipatikane waendelee na uponyaji

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Wapo karantini
 
Thubutuuuu! Hapa ndipo utajua somo la Manabii wa uongo siku za mwisho linatimia sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANABII NA MITUME WAMESHAKUFA KIPINDI KIREFU SANA, NA WA MWISHO ALIKUWA NABII MUHAMMAD SWALA ALLAAHU ALAYHI WASAL-LAAM.
KWA HIVYO HAKUNA NABII WALA MTUME BAADA YA HAPO.
WANAOJIITA MITUME NA MANABII AMBAO WAMEJAA TELE ULIMWENGU HILI SIO JAMBO LA KWELI. ILA KUNA WATU WEMA ULIMWENGUNI SAIVI.
MAANA SIO KWELI KUWA WANALETEWA WAHYI KUTOKA KWA MUUMBA.
KWA HIVYO KILA MTU AWE MWENYE KUTAFAKARI SANA KUHUSIANA NA WATU KUSEMA WANAPOFUFUA AU WANAPONYESHA MLEMAVU, KIPOVU,SIO KWELI, MIUJIZA HUU ALIPEWA NABII ISSA ALAYHI SALAAM,
MWENGINE YEOYOTE ATAEKESEMA HVYO ITAKUWA NI UONGO WA HALI YA JUU KABISA,
TUSICHUKULIWE PESA ZETU KWA KIINI MACHO.
KORONA TUNAONA INAVYOMALIZA ASILIMIA YA WATU ULIMWENGUNI, MBONA HATUWAONI HAO WANAOSEMA WANAFUFUA AU WANAPONYESHA KORONA, KIMYA .
TUMUOMBE MUUMBA KWA PAMOJA ATUONDOSHEE TATIZO HILI LILILOPO SASA HIVI , NDIO KILICHOBAKI, HAKUNA M-BADALA.
 
Wako chimbo wanaandaa mistari ya kuja kupiga pesa, corona ikiisha utawaona wanafufua matamasha ya uokozi
 
Mungu dini yake ni gani?
Alafu TAURATI ni nini?
Mathayo 5:17 haizungumzi habari zake.

Koran imekuja kufuta makosa, sasa ikawaje ikaanzisha na dini mpya kabisa ambayo haikuwahi ku-exist watu waliokuwa wanamuabudu Mungu wa mbinguni hawakuwa wakienda makkah kusali wala mungu wao hakuwa akiitwa allah bali Yahweh, Elohim, Adonai au Jehovah
 
Sina nia ya kuwasema vibaya hawa wapakwa mafuta wa Bwana hapana! Hoja yangu ni kwamba mbona nyakati njema tumeona wakifanya mengi wanayodai ni miujiza na kujizolea umashuhuri katika jamii.

Kwanini katika hili janga la CORONA wamekua kimya sana? Waseme neno la faraja tafadhali. Madaktari wa Dunia wanapambana kunusuru uhai wa Walimwengu.

Tafadhali wajitokeze waseme neno la faraja kwa wanadamu.

Nionavyo mimi wanaweza kupata wakati mgumu baada ya Corona. Watawambia nini waumini wao ikiwa wakati wa dhiki hii walikua wapweke?

Tafadhali watoke waseme neno au hata kutenda jambo ili uwepo wao udhihirike!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao matapeli wamekaa kimyaaa sababu wanajua hawanaga miujiza yeyote zaidi ya utapeli.
 
Nabii wa kweli huwa makini kutokutoa unabii au tamko, kibiblia ili ukidhi kiwa nabii lazima utabiri na itimie.
Vinginevyo unaitwa nabii wa uongo.

Hapa kwetu wajiitao manabii na mitume. Ukweli ni kwamba wanajiita lakini sio! Nabii wa kweli lazima atoe maonyo bila kujali ujumbe ni wa mfalme, taifa zima au mtu awaye yote.

Manabii wanaosifia ni wasaka tonge tu.

Lakini ya nabii sio kukemea tu hata kazi ya kuwatia moyo watu wakati wa taabu ikiwa Mungu atampa neno la kutia moyo.

Hivi Tanzania tuna manabii au watumishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahishwa sana na uandishi wako...kongole!!

Hao manabii na mitume wamepigwa 'stop' na mamlaka za juu kuifanyia corona usanii wao. Alijaribu mmoja wa Arusha...akakiona cha moto.
 
Yafaa nikuulize wewe
Ni ipi dini ya Yesu?
Ni ipi dini Ya Musa naTorti yake?
Maana Dini a Muhammad imewekwa wazi ndani ya Qur-an kuwa
Dini ya haki mbele za Mungu Ni UISLAMU na ndio dini ya manabii wote walo tangulia akiwemo Yesu,Mussa na Ibrahimu
Na maana ya Neno Inslamu Ni 'Mpole na mnyeyekevu wa Moyo' kama alivyotufunza Yesu.
Hili Ukiristo Unamjuw aliyeanzisha dini Hiyo kule Antiokia.Mimi simtaji hapa.
Sasa kama Hujuwi Tazama hata ile sala aliyoisomesha yesu katika Injili kisha linganisha na sala za Kikkristo zinavyosaliwa leo zilivyotofauti.

''baba yetu iliye Mbinguni,Jina lako litukuzwe,Ufalme wako uje
Hapa duniani kama huko mbinguni,Tupe riziki yetu ya leo,Usitutie Majaribuni,Utuokowe na yule muovu...........
Sala hii inawiana kabisa na Ile ya waislamu tunayosali kila siku
Suratul Fatiha.
 
Amin nawaambia jiepusheni na manabii wa uongo,
Watakuja na Mambo ya kimiujiza ili kuwafanya muamini,lakini kumbe ni chuwi wabaya ,wanamtumikia shetani
 
Umewahi kujiuliza binadamu ametokea wapi yaani chanzo chake ni nini? ,Umewahi kujiuliza kabla ya kuzaliwa nafsi yako ilikuwa ikiishi wapi na baada ya kufa itakwenda wapi?, Hivi umewahi Fikiri wewe ni nani na upo hapa duniani kufanya nini? ,Umewahi fikiri kwanini binadamu lazima afe? .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1. Kwanini kuwe na ulazima wa kuwepo kwa chanzo?

2. Haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?

3. Nafsi ni nini?

4. Kabla ya kuzaliwa sikuwepo

5. Mimi ni mtu niko hapa duniani kwasababu mazingira haya yanaruhusu mimi kuwepo, na sitakuwepo endapo mazingira rafiki yakunifanya niwepo yakikosekana

6. Mtu anakufa kwasababu amekosa msimamizi mwenye uwezo wote+nguvu zote+ujuzi wote ambao ungemfanya aishi milele bila kufa



It's Scars
 
Amin nawaambia jiepusheni na manabii wa uongo,
Watakuja na Mambo ya kimiujiza ili kuwafanya muamini,lakini kumbe ni chuwi wabaya ,wanamtumikia shetani
Jieupushe na Mungu wa uongo wakufikirika maana mimi na wewe ndio Mungu halisi

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…