Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mwanaharakati nisiye na dini, nawakunja waumini kila mkao utadhani john sin.../

Nawapagawisha mi ndo wenu teacher, kwa vina adimu natoa funzo zaidi ya hao ma-preacher.../

Leteni sadaka masta nihubiri juu ya kinasa, yule pasta mliyemtolea yuko kuzifanyia anasa.../

Fikra za muafrika zimepotoshwa kwa juzuu, wajanja tusha sanuka wamebaki mazuzu.../

It's Scars
Wengi wametangulia ,mfano wa kwanza si wewe.
Dini wakjipingia , wakaishi na viwewe.
Mungu wakamkimbia,Hatimae wakonaye.
Wameiacha dunia, Kwenye haki wako Mbele.

Pumzi zinakuzuzua,Ujana,nguvu na afiya.
Huwezi kujimilikia, usichokiumba wewe.
kivipi unajivunia, kwa yale usoyamiliki?
Elewa siku tawadia,utajuwa ilo haki
 
I don't believe them do you got anything else?
Hiki hapa
Maneno ya Yesu Yohana 17:25 Baba Mtakatifu, ijapokuwa ulimwengu haukufahamu wewe, mimi ninakufahamu, na hawa wanajua ya kuwa umenituma.
 
Wewe jamaa bhana
Kama hii ndio hoja yako basi unaweza kusema kila jambo limekuja kuumbua uongo wa dini.

Kwa nini hukusema kutafuta riziki kumekuja kuumbua uongo wa dini,maana ingetosha tu mtu kukaandani na kuomba dua halafu chakula kikamshukia.
Au kwanini hukusema kusoma kumekuja kuumbua uongo wa dini,maana ingetosha tu mtu kwenda msikitini kuomba dua kisha tayari akawa professor. Na hivyo hivyo mambo mengine.

We jamaa mwenyezimungu aliweka nidhamu/kanuni katika ulimwengu na mambo hayaendi vile unavyo fikiri wewe.
Hiyo paragraph ya mwisho sio kweli, mwenyezi Mungu mnambebesha mizigo ambayo sio.
 
Hiki hapa
Maneno ya Yesu Yohana 17:25 Baba Mtakatifu, ijapokuwa ulimwengu haukufahamu wewe, mimi ninakufahamu, na hawa wanajua ya kuwa umenituma.
Hahaha hii ni error?

Yohana 17:1-26
[1]Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;
[2]kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele.
[3]Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
[4]Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
[5]Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
[6]Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.
[7]Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako.
[8]Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
[9]Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
[10]na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
[11]Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
[12]Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
[13]Na sasa naja kwako; na maneno haya nayasema ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu imetimizwa ndani yao.
[14]Mimi nimewapa neno lako; na ulimwengu umewachukia; kwa kuwa wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
[15]Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.
[16]Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
[17]Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.
[18]Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami vivyo hivyo naliwatuma hao ulimwenguni.
[19]Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
[20]Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
[21]Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
[22]Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.
[23]Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
[24]Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami po pote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.
[25]Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
[26]Nami naliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.
 
Dada uko na akiri sana na hoja anazoandika jamaa nazisoma najitathmini nakujiona mtu mwenye Reasoning sana...kweli kama huamini mungu hata reasoning inashuka.

Mfano hoja yake anasema hivi
“Eti mwanasayansi akigundua dawa hapo watu wa dini wameumbuka kwasababu dawa ijaletwa na maombi”

Imagine hoja kama hii yaani ameUbongo unaoamini kwamba wanaofanya maombi wanajibiwa jkwa kishushiwa dawa kutoka mbinguni na kudondoka ajui kwamba huko madaktari kufanikisha kupata dawa ndio maombi ya watu wa dini yamejibiwa.

Simply sichanfiagi uzi kama hizi maana naonaga hoja nyengine mpaka nauzika nakaushaga tu nisikufuru ila umejibu hoja zote kwa weredi kama ujaelewa achana nae.
Kwa ufupi ni kuwa hakuna kitu tangible utakiona kupitia maombi pekee nilazima jitihada nyingine ifanyike ndipo maombi yafanikiwe, mfano: usitegemee magunia yajae mpunga wakati hujalima, lkn ukilima na ukashusha maombi mpunga utajaa kulingana heka ulizolima.
 
Sikiliza ,Uzi huu ulikuwa ni wa Mtu asiyeamini dini ,wala Mungu,
Nadhani wewe unapokuja na hoja za kulinganisha Uislamu na Ukiristo,itabidi tuanzishe uzi wingine.
Lakini,kwa ufupi,Miminaamini kuwa Muungu wa Yesu ndiye Muungu wa Muhammad ,na ndiye Muumba wa kila kitu.
Habari ya kuamini aya aukutoiamini,ni suala jingine,kwani nisingeliicote kama siiamini na kuikubali.
Yesu hapa anatufunza kuwa yeye mwenyewe anaomba kwa Mungu,hivyo nasisi tufuate nyayo zake.
Yohana 17:
24 Baba, shauku yangu ni kwamba, hawa watu ulionipa wawepo mahali nilipo ili waweze kuona utukufu wangu; utukufu ambao umenipa kwa kuwa ulinipenda hata kabla ulimwengu haujaumbwa. 25 Baba Mtakatifu, ijapokuwa ulimwengu haukufahamu wewe, mimi ninakufahamu, na hawa wanajua ya kuwa umenituma. 26 Nimekutambulisha wewe kwao, na nitaendelea kulitambulisha jina lako kwao ili upendo ulio nao kwangu uwe upendo wao pia; nami niwe ndani yao.”
Naiona point yako japo umejaribu kuificha nayo ni unataka kunituhumu nimesema Yesu ni Mungu sivyo?

Mungu wa Yesu anaitwa Elohim, Adonai, Yahweh au Yehova huyu hana nyumba na hajawahi kuabudiwa na manabii na mitume wote waliopita nae ni allah huyu ana nyumba yake Makkah
 
Hahaha hii ni error?

Yohana 17:1-26
[1]Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;
[2]kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele.
[3]Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
[4]Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
[5]Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
[6]Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.
[7]Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako.
[8]Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
[9]Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
[10]na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
[11]Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
[12]Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
[13]Na sasa naja kwako; na maneno haya nayasema ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu imetimizwa ndani yao.
[14]Mimi nimewapa neno lako; na ulimwengu umewachukia; kwa kuwa wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
[15]Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.
[16]Wao si wa ulimwengu, kama mimi nisivyo wa ulimwengu.
[17]Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.
[18]Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami vivyo hivyo naliwatuma hao ulimwenguni.
[19]Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
[20]Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
[21]Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
[22]Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.
[23]Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
[24]Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami po pote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.
[25]Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
[26]Nami naliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.
Sawa ,ndo biblia zenyewe za Mitandaoni,kila mmoja anatumia lugha yake kutafgsiri.
Hii ni coppy and past si fasiri yangu.
25 Baba Mwema! Ulimwengu haukujui, lakini mimi nakujua. Hawa nao wanajua kwamba wewe ulinituma.
26 Nimekufanya ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao.”

La msingi hapa ni
1.Ulimwengu Haumjuwi Mungu.
2.Yesu yeye Anamjua Mungu.
3.Yesu litumwa na Mungu kutimiza Mission.
4.Mission ya yesu ni kumtambulisha Mungu kwa watu.
5.Walio mjua Mungu watakuwa na Upendo ,na Mungu atawapenda.

Mimi nadhani nikusaidie wewe kujua maandiko
 
Naiona point yako japo umejaribu kuificha nayo ni unataka kunituhumu nimesema Yesu ni Mungu sivyo?

Mungu wa Yesu anaitwa Elohim, Adonai, Yahweh au Yehova huyu hana nyumba na hajawahi kuabudiwa na manabii na mitume wote waliopita nae ni allah huyu ana nyumba yake Makkah
Sasa Makka si ndo pale Ibrahim alipopanda Mkwaju?
Jangwa la Parani,alipoishi Hagar
 
Sawa ,ndo biblia zenyewe za Mitandaoni,kila mmoja anatumia lugha yake kutafgsiri.
Hii ni coppy and past si fasiri yangu.
25 Baba Mwema! Ulimwengu haukujui, lakini mimi nakujua. Hawa nao wanajua kwamba wewe ulinituma.
26 Nimekufanya ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao.”

La msingi hapa ni
1.Ulimwengu Haumjuwi Mungu.
2.Yesu yeye Anamjua Mungu.
3.Yesu litumwa na Mungu kutimiza Mission.
4.Mission ya yesu ni kumtambulisha Mungu kwa watu.
5.Walio mjua Mungu watakuwa na Upendo ,na Mungu atawapenda.

Miminadhani nikusaidiw kujua maandiko
Huwezi kunisaidia mimi kujua Biblia maana nimezaliwa hadi nafikisha umri huu sijawahi kujisumbua kusoma kitabu cha imani ingine.

Mission ya Yesu ilikuwa ni kuwakomboa wenye dhambi hakuja kuwakomboa wale wanaomjua Mungu mfano Yohana mbatizaji hakuja kwa ajili yake alikuja kwa ajili ya wazinzi, wauwaji kama Petro wasio mjua Mungu na hata kuiheshimu siku ya sabato n.k.
Sasa error hapo ni ipi?
 
Leo makka yatangaza wenda watu msiende kuiji kwa sababu ya corona. Kesho utasikia no idd no kwenda kanisani no kwenda misikitini na naomba huu utaratibu udumu mpaka mwisho wa Dunia hata kama corona itakwisha ni MAONI YANGU TUU kama (mlevi
 
unagusa miradi na vitega uchumi vya watu
 
Kwani ww kinachokuuma ni nn watu wakienda misikitini na makanisani kama ww hupendi au huamini kuwa hakuna dini tulia kila mtu anahaki ya kuamini anacho kiamini mm nitaendelea tu kuamini kuwa Mungu yupo ww sio lazima uamini na hautapungukiwa na chochote mbona.
 
Leo makka yatangaza wenda watu msiende kuiji kwa sababu ya corona. Kesho utasikia no idd no kwenda kanisani no kwenda misikitini na naomba huu utaratibu udumu mpaka mwisho wa Dunia hata kama corona itakwisha ni MAONI YANGU TUU kama (mlevi
Kwa hayo uloyaandika sikutegemea kama unaamini kuwa kuna mwisho wa dunia!
 
Kwani ww kinachokuuma ni nn watu wakienda misikitini na makanisani kama ww hupendi au huamini kuwa hakuna dini tulia kila mtu anahaki ya kuamini anacho kiamini mm nitaendelea tu kuamini kuwa Mungu yupo ww sio lazima uamini na hautapungukiwa na chochote mbona.
Wapi nimesema hayo yote?
Kwa nini wanisemea?
Hayo kayasema #CORONA C19
wala sio mie mkuu.
Yeye ndo kuamua hapana kupeana mikono hapana kwenda Makka na yeye ndo atakuja kusema hapana kwenda kanisani/misikitini hapana kwenda kwenye idd sijui mibaraka sijui chrissmaksi yeye sio mimi
 
Screenshot_20200401-223000~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi nimesema hayo yote?
Kwa nini wanisemea?
Hayo kayasema #CORONA C19
wala sio mie mkuu.
Yeye ndo kuamua hapana kupeana mikono hapana kwenda Makka na yeye ndo atakuja kusema hapana kwenda kanisani/misikitini hapana kwenda kwenye idd sijui mibaraka sijui chrissmaksi yeye sio mimi
Sasa nasema hivi tutasali hivyo hivyo na corona na misikiti na makanisani tutaendelea kwenda na hii hali haitakuepo milele haya ni mambo ya mpito tu tutavumilia na yataisha.
 
Back
Top Bottom