Corona imethibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii nchini

Corona imethibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii nchini

Mostly, dunia inaugua ugonjwa wa ^hovidi^ (hofu ya kovidi); na wala siyo kovidi yenyewe. Inasikitisha sana kushuhudia kwamba watu wanaoonekana kutetea maslahi ya taifa letu na ustawi wa raia wake, ndio wakati huohuo wako mstari mbele kuliombea madhila. The only reason that makes them seem benefactors and well-wishers for humanity is simply an attempt at gaining a foothold -- a platform -- for advocating their strange, unpatriotic views.

It is a sort of someone desperately crying ^I love you bbylife^ just after they have discovered their former partner is mindless of them and carries on with life normally.
Point yako hapo umeanza vizuri ila ukakimbilia kwenye siasa.

Wa Tanzania wameshindwa tenganisha vitu 3, SIASA, SHERIA na KAZI.
 
Alisema anatamani malaika ashuke afungie hii mitandao sasa kama si muuaji huyu ji nani?
 
Kanisa katoliki wanapokea orders kutoka VATICAN sasa hiyo ni sawa na VATICAN wamesema ila nyie mlioshikwa akili na makanisa mnashadadia tu!

Kama muheshimiwa raisi alivyosema, tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda kama wanavoamrisha wataalamu wa afya, huku tukiendelea kuchapa kazi.

HAPA KAZI TU, au nasema uongo ndugu zangu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujinga wa mtu kuona mto unakuja, halafu unamwambia mtu fumba macho songa mbere!
 
Back
Top Bottom