Corona imethibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii nchini

Point yako hapo umeanza vizuri ila ukakimbilia kwenye siasa.

Wa Tanzania wameshindwa tenganisha vitu 3, SIASA, SHERIA na KAZI.
 
Alisema anatamani malaika ashuke afungie hii mitandao sasa kama si muuaji huyu ji nani?
 
Huu ni ujinga wa mtu kuona mto unakuja, halafu unamwambia mtu fumba macho songa mbere!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…