Makabulini ndiyo wapi?Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.
Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.
Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unakuweka katika nafas ya kupambana na tatizo na sio kupata msaada world bank, jifunze kutumia mantikiMwanzoni walificha ukweli, sasa wanataja wapate msaada Wa world Bank au sio?
Tuna safari ndefu na hizi mindset zetu zilizojaa ccm na chadema kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Video kabisaMkuu ukienda usisahau picha hata moja
Nani analipeleka kwenda makaburin? Je ni mabeberu wanalipeleka makaburini?Wamekufa kumi tu. Hizo picha na videos mtandaoni mzipuuze, ni za mabeberu wanaotaka nchi isitawalike.
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.
Mkiliona linaranda randa maeneo ya makaburi mlipuuze
Unaweza kutuwekea ripoti ya kidaktari hapa ku prove kwamba alikuwa na corona?Imeshamuondoa mwana CCM rwakatare, Corona aichagui
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Kama serekali yako Kila mtu anajitajia namba yake rais anatakwimu zake, makonda ana takwimu zake, na waziri mkuu ana takwimu zake Sasa atanikikutajia huwez kubali, time will tellWengi wangapi? Hiyo wodi aliyolazwa ina uwezo wa kubeba watu kama elfu 2 hivi eti ee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi endelea kufuata ushauri hata wa Mbowe tuWatalamu gani wakuu wa majeshi na usalama wa taifa sababu Jana ndo walikua wamemzunguka rais
medical ethics haziruhusuUnaweza kutuwekea ripoti ya kidaktari hapa ku prove kwamba alikuwa na corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao si ndio wanaokesha kwenye page ya twitter ya kigogo kuendelea kula mashudu yake mkuuUmeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.
Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.
Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mim nimemtaja mbowe acha uzwazwa, mim nafuata ushauri wa madaktari na sio wanasiasa
Ni kwasababu wewe ni mpumbavu zaidi ndio maana huwa unaona ni maswali ya kipumbavu.Sijawah kuona humu JF mtu anayeulizaga maswali ya kijinga na kipumbavu kama wewe hata Bia yetu ana uafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua ni mlinzi wa makaburiUmeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.
Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.
Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makabulini nikule tunakokwenda kuwazika watu walio poteza uhai.Makabulini ndiyo wapi?
Kaongea pumba. Yani makaburi ya Buza hajawahi kuzikwa mtu na wewe unaamini?
Maswali Mengi yanaonyesha upeo wako ni mdogo sanaNi kwasababu wewe ni mpumbavu zaidi ndio maana huwa unaona ni maswali ya kipumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hapo makabulini hapajawahi kuzikwa mtu?