G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Makabulini ndiyo wapi?Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.
Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.
Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app