Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.

Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.

Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makabulini ndiyo wapi?
 
Wamekufa kumi tu. Hizo picha na videos mtandaoni mzipuuze, ni za mabeberu wanaotaka nchi isitawalike.
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.
Mkiliona linaranda randa maeneo ya makaburi mlipuuze
Nani analipeleka kwenda makaburin? Je ni mabeberu wanalipeleka makaburini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.

Mkuu wewe amini siku ukishuhudia ndio utajua jinsi huu ugonjwa ulivyo hatari jikinge Sana. Watu wanakufa Sana serekali ikishachukua ndio Bai Bai.

Kuna mda nilimfikiria Magufuli nikakosa jibu kwanini kuwe uficho kiasi hiki,

Kuna wawili mme alikufa akachukuliwa kesho yake mke nae kachukuliwa Kama hawana korona siwangewapa ndugu wazike. Na wangesema watu wangejihami maana Hawa watu wanaishi na watu.

nakwambia siku ukishuhudia ndio utaelewa kwanini mleta mada analalamika.
 
Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.

Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.

Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao si ndio wanaokesha kwenye page ya twitter ya kigogo kuendelea kula mashudu yake mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.

Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.

Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua ni mlinzi wa makaburi
 
Chato..

Rais amesema kua Dar es Salaam haitafungiwa ili kulinda uchumi na pia amesema Suala la fumigation lisimamishwe na lichunguzwe kwan kitaalam Virusi haviuwawi na fumigation nakwamba inaweza kia ndio imetumika kusambaza corona., Rais pia kasisitiza watu kutumia barakoa za ndani kwani za nje zinaweza kutumia kusambaza Virusi vya corona.

Chato....Rais kasema kua Dar maambukizi ni Mengi kwa sababu ni mji wenye wakazi wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom