#COVID19 Corona: India kinaponuka sisi tuna cha kujifunza?

Mkuu sijawahi kusoma hicho kitabu,ila title yake inaonyesha kwamba C-19 is fake,if that is what it implies it is indeed. Hata hivyo nimesoma taarifa nyingi from various sources ambazo zimenifanya ni-conlude mambo yafuatayo kuhusu C-19:
1.Ugonjwa wa Corona unaweza kuwa umetengenezwa maabara.
2.Hata hivyo hauna athari zinazodaiwa unazo,ila uthari zinazidishwa na underlying cases kama Cancers,HBP,Diabetes,Heart Diseases, Air pollution nk.Upon ushahidi kwamba unaweza kuzidishwa na 5G,4G na kifaa chochote kinachotoa EMF waves au mm waves.
3.Upo uwezekano pia kwamba ugonjwa huo haupo kabisa,ila kinachoua watu ni air pollution ikisaidiwa na underlying cases kama nilivyosema awali, High Blood Pressure,Diabetes,Cancers,Heart diseases,dawa za hospitali na vitu vingine tunavyokula vyenye sumu nk.
4.All in all the so called Corona disease ni kitu kilicho buniwa kwa malengo maovu ya kupunguza watu duniani(depopulation) to 500million ambao watakuwa watumwa robotic in a One World Government.

5.Finally,niseme pia kwamba C-19 is a false flag.

Hivyo ndivyo ninavyoijua Corona in a nutshell.

In Corona, False Alarm?, award-winning researchers Dr. Sucharit Bhakdi and Dr. Karina Reiss give clarity to these confusing and stressful times. They offer analysis of whether radical protective measures—including lockdown, social distancing, and mandatory masking—have been justified, and what the ramifications have been for society, the economy, and public health. Dr. Bhakdi and Dr. Reiss provide dates, facts, and background information, including:

How Covid-19 compares with previous coronaviruses and the flu virus
What infection numbers and the death rate really tell us
The challenges around lockdown: Were the protective measures justified?
Mandatory mask-wearing: Does the science support it?
Vaccines: What are the chances of success? What are the risks?
Corona, False Alarm? provides you with sound information and substantiated facts—and encourages you to form your own opinion on the corona crisis.

Ukipata wasaa kidownload ukisome.
 
Asante mkuu.
 
Aliko Jiwe kama anaona atakuwa anajisemea hiiiiii!

Hivi iko wapi ripoti ya wataalamu wa mama? Ama tuseme ndiyo nyie sasa na wenzenu kina msukuma na kishimba ndani ya miezi 8 nanyi mmeshaukwaa ubingwa?
 
Umenifananisha nini? maana sielewi ulichokiandika.

Soma kitabu hicho ili uitazame corona kisayansi na sio kushabikia mambo yasio na ushahidi wa kisayansi huku ukiaminishwa ni sayansi, humo utakuta hadi issue ya mapapai na mbuzi wa Mwendazake.
 
Back
Top Bottom