Hakuna cha mzaha Mungu anaponya labda kama hutakiMwalimu wa hizi propaganda zenu alishatokomea, jidanganyeni tu badala ya kuchukua tahadhari, watu laki mbili sio jambo la kufanyia mzaha hata kidogo, watu wanakosa hadi pakuwazika wapendwa wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha mzaha Mungu anaponya labda kama hutakiMwalimu wa hizi propaganda zenu alishatokomea, jidanganyeni tu badala ya kuchukua tahadhari, watu laki mbili sio jambo la kufanyia mzaha hata kidogo, watu wanakosa hadi pakuwazika wapendwa wao.
[emoji23][emoji23][emoji23] ATCL imetoa gawiona aliwanyoosha kweli.
India inaongoza kwa Miungu duniani. Yaani kila kona dini na miungu yao inatisha.India wanamwabudu Miungu sisi tuna Mungu wetu
Washenzi waleIndia inaongoza kwa Miungu duniani. Yaani kila kona dini na miungu yao inatisha.
Mnaoitabiria Tanzania mabaya mmebuma na bado mtabuma zaidi,kuna kunguni wenzenu walisema kutokana na mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili Corona italipuka kwa kasi ya ajabu,matokea yake baada ya wiki mbili wao kunguni ndo wamelipukwa na magonjwa ya akili wakati Tanzania ikiwa salama kwa uwezo wa aliyejuu.
AmenMay God save both them and us.
Ukimwi uligundulika mwaka 1983 lakini mpaka sasa watu wanaugua ukimwi na wanaendelea kunyanduana. Acha uoga falangundi wewe
KIpigo wanachopata kina fanana na walichopata nchi za latini america, hasa brazil huko, tofauti ni media tu, kuwa india information ni za kutosha na pamoja serekali kuficha.
kifupi mpka hiyo wave iishe two weeks to three weeks watu si chini ya 2Mil watakuwa wamepotea.
Tupige marufuku ndege kuingia na kutoka india kama tahadhali. Huu ugonjwa ni hatari, hubadilika badilika mno virusi wake.
India nao walijisahau kama sisi na kuamini kwenye herd community approach na kuanza kufurahia kutokuwepo kwa korona hali ilibadilika ghafla. Jamani nasi tuchukue tahadhali as soon as possible.Body immunity talks
Tupige marufuku ndege kuingia na kutoka india kama tahadhali. Huu ugonjwa ni hatari, hubadilika badilika mno virusi wake.
Jinsi tunavyobanana kwenye mabasi tungekuwa tumeisha..HAKIKA MUNGU ALIYE HAI anailinda hii nchi .. 1 Petro 1 : 5 Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya IMANI hata mpate WOKOVU ulio tayari kufunuliwa ktk siku za mwisho..Usiogope !Tuna idadi kubwa sana ya mamburula mkuu nchini.
Katika hao hadi leo wanaamini yule bwana wa awamu ya tano angalipo madarakani.
Hiiiiii bagosha!
Unajua hata mimi nashangaa sana kwa sababu hicho kinachotokea India kingetokea Tanzania jibu lingekuwa ni kutokana na huku kutovaa barakoa na hii mikusanyiko yetu kwa kifupi hatuzingatii kabisa hizo tahadhari, ila hatuoni kitu kama hicho ndio kwanza tunahofia corona kutoka nchi za wenzetu kama huko India ambapo tunaambiwa hali yao hiyo ni kutokana mikusanyiko waliyoifanya kwenye sijui ibada zao hivi karibuni wakati sie toka mwaka jana tunafanya mikusanyiko. Utasikia hata hapa kati corona ilisumbua ni kwamba et ilitoka South Africa na wengine wanasema ilitoka Uingereza.Jinsi tunavyobanana kwenye mabasi tungekuwa tumeisha..HAKIKA MUNGU ALIYE HAI anailinda hii nchi .. 1 Petro 1 : 5 Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya IMANI hata mpate WOKOVU ulio tayari kufunuliwa ktk siku za mwisho..Usiogope !
sasa utashangaa Simba vs Yanga... Mtu 60 elfu bila barakoa Huyo ni Mungu tuuUnajua hata mimi nashangaa sana kwa sababu hicho kinachotokea India kingetokea Tanzania jibu lingekuwa ni kutokana na huku kutovaa barakoa na hii mikusanyiko yetu kwa kifupi hatuzingatii kabisa hizo tahadhari, ila hatuoni kitu kama hicho ndio kwanza tunahofia corona kutoka nchi za wenzetu kama huko India ambapo tunaambiwa hali yao hiyo ni kutokana mikusanyiko waliyoifanya kwenye sijui ibada zao hivi karibuni wakati sie toka mikusanyiko tunafanya toka mwaka jana. Utasikia hata hapa kati corona ilisumbua ni kwamba et ilitoka South Africa na wengine wanasema ilitoka Uingereza.
Huko kujisahau kwa India kwetu ndio kawaida yetu toka mwaka jana, yani toka mwaka jana tunaishi bila tahadhari zozote tofauti na India ambao walikuwa wanafuata tahadhari ila wakaja kujisahau kidogo tu ndio tunaambiwa hiyo hali waliyonayo ni kutokana na huko kujisahau kwa huo muda mchache.India nao walijisahau kama sisi na kuamini kwenye herd community approach na kuanza kufurahia kutokuwepo kwa korona hali ilibadilika ghafla. Jamani nasi tuchukue tahadhali as soon as possible.
Jana nimesikia sijui kisiwa gani kile walichanja chanjo ya corona kwa asilimia kubwa sana tena dozi mbili na hadi wakalegeza masharti, ila sasa wanarudisha tena masharti kutokana na maambukizi kurudi tena wao wenyewe wanashangaa imekuaje.sasa utashangaa Simba vs Yanga... Mtu 60 elfu bila barakoa Huyo ni Mungu tuu
Kweli wajinga ndio waliwao!Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
Mkuu ushasoma hiki kitabu?Kweli wajinga ndio waliwao!
Mkuu kupanda kwa vifo vya kinachoitwa Corona, si kwa sababu ya ugonjwa huo,ni kwa sababu waliacha matumizi ya
Hydroxychloroquine na Ivermectin, na kukubali ushauri wa WHO,ambao ulikuwa na nia ovu ya kuleta mauaji India.Mkuu Hydro chloroquine na Ivermectin ndizo dawa zinazoweza kusaidia tatizo la C-19,sio hicho kinachoitwa chanjo,ambayo sio chanjo.
Naomba ikumbukwe kwamba hakuna ushahidi wa kitaalamu kwamba C-19 inaletwa na virus,kwa kuwa haijakuwa isolated.
Fuata link ifuatayo uone ninacho ongelea.
New Delhi conspires with Tel Aviv to make India the 2021 poster child forTHE GREAT SCAMDEMIC
“The NWO Perpetrators of the Coronavirus pandemic hoax have targeted India with the COVID-19 Vaccine Bioweapon to perpetuate the appearance of Global Covid Outbreaks.” — Intelligence Analyst & Former US Military Office The Covid Con criminals did not even try to hide their genocidal deceit...www.jamiiforums.com
Mkuu ushasoma hiki kitabu?View attachment 1775108