- Thread starter
- #41
Hapana hii ni gadhabu ya Mungu,mpk watakapojua kuwa yupo Mungu na amechoka kudharauliwa
Kwani waliokwishaugua au kufa na huu ugonjwa ni waabudu miungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hii ni gadhabu ya Mungu,mpk watakapojua kuwa yupo Mungu na amechoka kudharauliwa
Tuanze na wewe mwenyewe umechukua hatua gani? Umejilockdown?Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
Sisi hatyna la kujifunza. Ndio kwanza mabarakoa tumetupa kule. No hand wash no social distance.Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
India wanamwabudu Miungu sisi tuna Mungu wetu
India walizingua kwenda kwenye Lile tamasha la kidini wakajazana kwenye ule mto. Wacha walinywe, walilikoroga wenyewe.Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
Washamaliza kupigana na waislamu hao waindi. Wamalizane nao halafu washuhulike na korona. Mbinu ya Tanzania kumtegemea mungu ndio bora kuliko upuuzi waliokuwa wanafanya wahindi wa kuligawa taifa lao kipindi cha furaha ikija balaa ndio wanakumbuka kuwa wote ni nduguMabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
Hali iliyopo India kwa sasa inaweza kuipata nchi yoyote tu mkuu
Researchers wanasema kuna mambo kadha wa kadha yaliyopelekea kuongezeka kwa case za corona india ikiwepo;Kwa hyo hizo chanjo SI kitu?.
sasa kwanini wanalazimisha kuzileta kwenye nchi ambayo HAINA wagonjwa wa Corona?.
Ujue vitu vingine tuwe tunafikiria.
Si wakawape wahindi ?
Researchers wanasema kuna mambo kadha wa kadha yaliyopelekea kuongezeka kwa case za corona india ikiwepo;
mambo ya kidini na kampeni za kisiasa zilizokuwa hivi karibuni, hivi vilipelekea watu kujisahau kuchukua tahadhari ukiangalia wingi wao
na factor nyingine ni low vaccine coverage,ukosefu wa oxygen mahospitalini
ipo kila mahali lakini hatuwezi kujiridhisha kwamba tupo salama hakuna corona ikiwa hakuna mamlaka/taasisi inayofanya vipimo na kuweka takwimu kama inavyotakiwa kamati ya maafa na majanga ya nchi yoyoteHuku tanzania sisi hatukusanyiki?.
sasa hivi umeuona watu wangapi hapa Tanzania wanavaa barakoa?
ipo kila mahali lakini hatuwezi kujiridhisha kwamba tupo salama hakuna corona ikiwa hakuna mamlaka/taasisi inayofanya vipimo na kuweka takwimu kama inavyotakiwa kamati ya maafa na majanga ya nchi yoyote
wanapimwa ndo maana tunaweza kuona takwimu zao kwamba kila siku watu 300k na zaidi wanakutwa na daliliKaka kwani huko India wote wanapimwaa?.
Huo UGONJWA unachukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili .huo sio ukimwi useme utakaa nao hata miaka 10.
Kwa hyo hoja ya kuwa hatupimi ndo maana hatujui wagonjwa wa Corona hyo NI HOJA MUFILISI
wanapimwa ndo maana tunaweza kuona takwimu zao kwamba kila siku watu 300k na zaidi wanakutwa na dalili
India ina idadi ya watu 1.395Bn hivyo wanajitahidi wawezavyo. Ongezeko hili limetokana na shughuli za kisiasa ,kidini,na utoaji wa kiwango kidogo wa chanjo
Hapa kwetu tupo approx. 60M hivyo mamlaka inaweza kupima na kuchukuwa hatua stahiki juu ya hili kuliko kukaa kimya. Htuwezi kujidanganya hakuna corona kwa nadharia rahisi tu mkuu
kwa nadharia ipiKwani wasipopimwa wagonjwa hawawezi kuonekana?
kwa nadharia ipi
kinga ya mwili ya mtu hutofautiana yako haiwezi kufanana na ya mtu wa miaka 50Kwamba sababu dalili za UGONJWA NI kuanzia siku 2 Hadi 14.
Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
Tufanyeje sasa? Kwani unazani india wamejitakia? Muhimu tuendelee kumuomba Mungu atuepushie mbali, kwani hali ya maisha yetu ni ngumu na hatuwezi kufuata masharti ya Covid-19 kwa [emoji817]%.Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
View attachment 1766866
![]()
India Covid: Hospitals overwhelmed as deaths pass 200,000
There are fears the real number is even higher, as hospitals continue to turn dying patients away.www.bbc.com
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi? Ina mapya yapi?
India wanakokimbilia vigogo wetu kwa matibabu, ndiyo hawa wanaochoma miili ya wafu wao leo hadi barabarani.
Tusichukulie poa wajameni. Maisha ya mtu hayawezi kulinganishwa na vitu.
Kenya wamepiga marufuku safari za ndege kati yao na India.
Vivyo hivyo kwa Malawi na hata mataifa mengine.
Sisi je?
KIpigo wanachopata kina fanana na walichopata nchi za latini america, hasa brazil huko, tofauti ni media tu, kuwa india information ni za kutosha na pamoja serekali kuficha.
kifupi mpka hiyo wave iishe two weeks to three weeks watu si chini ya 2Mil watakuwa wamepotea.