Corona is a Mission but failed in Tanzania

Corona is a Mission but failed in Tanzania

Siyo kwamba corona haipo ipo sana tu na jana tu nimemsikia waziri Ummy akitoa semina kwa wahudumu wa afya jamii watakaokuwa wakitoa elimu alisema kwa siku mbili tatu ni kana kwamba watu wamerelax hawachukui tahadhari, nadhani wanajiaminisha kana kwamba limeisha ila kubwa kinachotusaidia na hili ndiyo mara zote Rais amekuwa akilijenga kwenye akili za watu ni kuondoa hofu maana hofu ndiyo mbaya zaidi kwenye haya mapambano ingawa tahadhari zote ziendelee kuchukuliwa tutalishinda tu

Ni vigumu kuchukua tahadhari bila hofu, fahamu hofu ni hisia za kibiolojia na iliumbwa kwenye miili yetu ili ituwezeshe kuchukua tahadhari panapostahiki, usingekua na hofu hata unaweza kwenda kumshika simba kidevu maana huogopi chochote, lazima jamii iingiwe na hofu ya kufahamu hiki kitu kipo na kinaua, hapo watatia akili na kuchukua tahadhari.
 
COVID-19 ishaua wangapi Tanzania mpaka useme ni "FAILED MISSION"??? Ishaondoka na vigogo kibao na makapela wengi tushawalaza "UNUNIO".

Ndio zenu mnaosema vitu vya China ni "FAKE". Sasa Corona nayo ni "MADE IN CHINA", tusubiri tuone.
una uhakika ni "Made in China?"
 
Endelea kujitahidi, iko siku utafaulu kuandika kwa kingereza, ila kwa sasa endelea kutapatapa.
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Hiv tanzanja ni maskini? Huu ndo ujinga wa data feki. Katika mazingira kawaida maisha ya mtu mmoja mmoja aliyeko tz ni bora kuliko ya mkenya. Nimeishi nchi zote za tatu za East Africa najua ninachosema.

Kuna tofauti kubwa mno maisha na hiu kitu Wakenya wanajivunia inayoitea MIddle income na LCD. Maisha ya mtu mmoja mmoja aliyeko LCD yanaweza kuwa bora kuliko hio inayojiona ina uchumi wa kati. And thatbis facts weather you like or not. Usiishi kwa figure unapotea sana rafiki. Serekali tajiri kama USA kuna watu maskini pia sembuse sisi wa ukanda huu. Sidhani kama ni sawa kuwaita watz maskini kwa kigezo unachotumia huo ni umaskini wa fikra. Tembea uone. Umaskni wa tz upo zaid kwenye papers na sio hivyo mnavofikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpo ndani ya mataifa kumi yaliyojichokea kwa umaskini Afrika, hivyo nawaelewa hamuna jeuri ya kujifanyia lockdown, mtaisha.
Unafahamu north Korea ni taifa maskini sana lakini wana kila aina ya facility kupambana na marekani. Wewe tunakujua ni mmarekani unaye ishi Kenya hivyo akili yako imesheheni propaganda za western endelea kuamini vile unaamini taarifa tu navuna mwezi ujao nawaletea mzigo mpunguze njaa
 
Wala siyo vigumu, ndiyo maana unaona sisi tunaendelea na shughuli zetu za kila siku na hatuna lockdown wala curfew kama nyie majirani na maisha yanaendelea sasa sijui mtafanyaje na WHO imesema kuna uwezekana corona isiondoke mtaendelea kujifungia au mtatoka?
Ni vigumu kuchukua tahadhari bila hofu, fahamu hofu ni hisia za kibiolojia na iliumbwa kwenye miili yetu ili ituwezeshe kuchukua tahadhari panapostahiki, usingekua na hofu hata unaweza kwenda kumshika simba kidevu maana huogopi chochote, lazima jamii iingiwe na hofu ya kufahamu hiki kitu kipo na kinaua, hapo watatia akili na kuchukua tahadhari.
 
JAPOKUA UMEANDIKA KIZUNGU.

NMEAMINI AKILI NI AKILI..KIZUNGU NI LUGHA.

YAAN VACCINE AMBAZO SIO TU MABEBERU WA ULAYA NA MAREKANI WANATENGENEZA, BALI HATA UCHINA WANATAFITI, WARUSI WANATAFITI. WACUBA WANATIFITI, WAGANDA PIA .... SASA KAMA HATUTAKI CHANJO YA MABEBERU SITUNACHUKUA YA WAGANDA ,WACHINA WARUSI???.

AYA KWAIYO WENYEWE WANAVYOKUFA WEEEEEEEEE UKO, NIKWAMBA WAMEWATOA WATU WAO KAFARA KWA LENGO LA WAAFRIKA.

NMEAMINI MIAFRIKA NI MIJINGA MIJINGA MIJINGA YA KUPINDUKIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kaka yangu amefariki jana na huo ugonjwa unaongea ujinga hapa.. Jana saa mbili za usiku wanataka tukazike tumeomba iwe sehemu tunayotaka sisi na watoto wake wamebebwa unasema mission failed??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu kuchukua tahadhari bila hofu, fahamu hofu ni hisia za kibiolojia na iliumbwa kwenye miili yetu ili ituwezeshe kuchukua tahadhari panapostahiki, usingekua na hofu hata unaweza kwenda kumshika simba kidevu maana huogopi chochote, lazima jamii iingiwe na hofu ya kufahamu hiki kitu kipo na kinaua, hapo watatia akili na kuchukua tahadhari.
Hofu ikitangazwa sana inasababisha white blood cell kufubaa matokeo yake hazitafanya kazi zake vizuri. Hata vitani kama askari wako ukawajengea hofu dhidi ya adui yako lazima adui akushinde! Therefore we are far ahead than you Kunya Country in combating the human-made COVID-19 apademic!
 
Mimi kaka yangu amefariki jana na huo ugonjwa unaongea ujinga hapa.. Jana saa mbili za usiku wanataka tukazike tumeomba iwe sehemu tunayotaka sisi na watoto wake wamebebwa unasema mission failed??.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yako kafariki jana afu una mahasira hivyo. Covid 19 ipo, but not to that extent. Hata nchi ziloathirika sana, wanaopona ni wengi zaidi ya wanaokufa, na WHO wamesema the disease is here to stay, so either isolate forever au prevent.
Sasa usiwe na moto kipindi hiki, you need to be more positive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo soon tutakua soon tutakua soon tutakua ni wimbo mumeimba sana, halafu nilishangaa sana kuona sehemu eti waziri mkuu wenu anasema kale kasafu kenu ka SGR Dar-Moro mpaka sasa ni 77%
Yaani mnavyojitutumua na kuhema na kutapatapa mpaka awamu ya tano inaisha hatamu ya kwanza hamna chochote mlichokamilisha cha kuonekana.
Awamu ya nne Kikwete aliwakimbiza kiana lakini kwa sasa naona ni mikwara na hasira tu hamna kitu, na ndio maana mnakua wakali kwa hili la corona, mnacheza tiki taka za mapaipai.
bagamoyo ni shahidi

Screenshot_20200514-201612.png
Screenshot_20200514-201525.png
 
Endelea kujitahidi, iko siku utafaulu kuandika kwa kingereza, ila kwa sasa endelea kutapatapa.
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Kwani kuandika vizuri kiingereza ndo kutoboa?? Si umeelewa lakini, ama??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujitahidi, iko siku utafaulu kuandika kwa kingereza, ila kwa sasa endelea kutapatapa.
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Mkuu kuna uzi ulikometi,bora wafanye kama Tz,waache changanyuikeni wa kufa wafe,watakaobaki maisha yaendelee..

Hakuna namna nyingine ya kupambana na huo ugonjwa tumeshachelewa,wacha wa kujifia tufe na wa kubaki tubaki tulisongeshe..

Watu wakijifungia ndani wasipofanya kazi,njaa haiwezi kuwaacha salama

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Hiyo soon tutakua soon tutakua soon tutakua ni wimbo mumeimba sana, halafu nilishangaa sana kuona sehemu eti waziri mkuu wenu anasema kale kasafu kenu ka SGR Dar-Moro mpaka sasa ni 77%
Yaani mnavyojitutumua na kuhema na kutapatapa mpaka awamu ya tano inaisha hatamu ya kwanza hamna chochote mlichokamilisha cha kuonekana.

Awamu ya nne Kikwete aliwakimbiza kiana lakini kwa sasa naona ni mikwara na hasira tu hamna kitu, na ndio maana mnakua wakali kwa hili la corona, mnacheza tiki taka za mapaipai.
Mkuu usipende kuendekeza chuki,Dah!inawezekana kweli watanzania ni maskini.

Kenya wenyeji matajiri ni wachache,utajiri wa kenya ni wakoloni,Ardhi yote imetwaliwa na wageni,wenyeji wanakaa kwenye vibanda vya mabati,wanashindwa afford hata chapati ambao inaonekana ni mlo wa kitajiri.Sisi kweli ni masikini lakin tuna chakula cha kutosha,Ardhi ya kutosha,Tuna amani ya kutosha hatuna ukabila kama Kenya..

Asilimia kubwa ya wakenya wakija Tz wanagoma kurudi kwao umeshajiuliza ni kwanini?
Wakenya wengi wamezamia Zanzibar wakijivika u Tanga si kwamba hatujui ila ni ukarimu wetu tunaishi nao,Kwa kuwa mmeonyesha chuki hadharani hakika hamtaa kaa bila vibali na tutawaripoti kila mara mrudishwe kwenu kwa matajiri wenzenu.

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Wala siyo vigumu, ndiyo maana unaona sisi tunaendelea na shughuli zetu za kila siku na hatuna lockdown wala curfew kama nyie majirani na maisha yanaendelea sasa sijui mtafanyaje na WHO imesema kuna uwezekana corona isiondoke mtaendelea kujifungia au mtatoka?

Mnachokifanya ni kama kumshika simba kidevu ukijiaminisha kwamba maombi yatakusaidia, haya endeleeni vivyo hivyo kukusanyika kwenye vilabu vya pombe huku mkijinadi nyie ni makomando wa corona.
 
ushashi,
What Tanzania is doing right now is stupidity of the highest. No wonder people term Magufuli the dumbest president in the world followed by Trump.
 
ushashi, yaani wazungu wajiue wengi vile kwa kutaka kuleta vaccine Africa tena Tanzania ?

Hivi mabeberu wanahitaji njia ndefu namna hiyo kuwaangamiza waafrica ambao dawa zote muhimu mahospitalini ziko funded na wao ?

Kwani wakiondoa funding kwenye malaria tu wewe utazipata wapi?

Anyway wakiondoa funding kwenye bajeti ya wizara ya afya kuna lolote hii serikali iliyojaa mbumbumbu inaweza kufanya ?

Tumieni vichwa vyenu kufikiri sawa sawa na siyo kufugia nywele tu mnaboa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom