diamond d
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 812
- 2,048
HUWEZI KUFUNGA MAKANISA PAMOJA NA BAR, BETTING, CLUBS AMA GUEST HOUSES PAMOJA, HII NI KUMDHARAU NA KUMDHIHAKI MUNGU.
2 Mambo ya Nyakati 7:13-14
13. Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;
14. ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
MUNGU NI MUWEZA WA YOTE,
SASA WE UNAFUNGA MAKANISA WATU TUMUOMBE NANI? NA WAKATI UMEMUONA YEYE NA BETTING NI SAWA?
Mhubiri 12:1
"Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako,
Kabla hazijaja siku zilizo mbaya,
Wala haijakaribia miaka utakaposema,
Mimi sina furaha katika hiyo."
MUNGU APEWE HESHIMA YAKE YOTE, NA TUJIFUNZE KWAMBA SIKU YA SHIDA NA RAHA MUNGU NI WA KUHESHIMIWA TU.
KIONGOZI MWENYE BUSARA NI KATIKA KIPINDI HIKI.
HIVYO, WAKENYA NA WENGINE ITS NOT TOO LATE, WATANGAZE MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA MUNGU ATATUSIKIA SOTE, VERY SIMPLE, TUNAPOFANYA MIOYO MIGUMU NI KWAUANGAMIVU WETU WENYEWE...
KUMBUKA MUNGU HADHIHAKIWI.. SIO KWAMBA TANZANIA TUMEFANYA MEMA HAPANA ILA KUNYENYEKEA KWA MUNGU NI JAMBO LA LAZIMA KAMA TU TUKITAKA KUPONA.
Wagalatia 6:7
7. Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
MUNGU KWANZA... FEDHA, JEURI, KIBURI, KUJISIFU AU MAISHA BAADAYE...