Wewe wacha ujinga wako, sisi wote sio wavuta bhangi kama wewe, kwanini unakua mpumbavu kiasi hicho?, Mara useme Pandemic, umebanwa huko unaleta blah, blah za kisiasa, wacha ujinga wewe.
Pandemic haina maana nchi zote zitaathirika duniani, haijawahi kutokea Pandemic yoyote ile ambayo nchi zote duniani zimeathirika, lazima kuna nchi zinapona.
Haina maana kwamba nchi Jirani ikiathirika, lazima nayo pia ipate maambukizi, hata kama itapata maambukizi, sio lazima maambukizi yalingane.
South Africa inaongoza kwa maambukizi, Afrika, lakini majirani zake wote, ikiwemo Lesotho ambayo inezungukwa na South Afrika, hata 100 hawajafikisha.
Jaribu kutumia akili wacha kujiaibisha.