joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Kwani huyu ni mtanzania?, Mimi ninahisi ni mkenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wacha ujinga wako, sisi wote sio wavuta bhangi kama wewe, kwanini unakua mpumbavu kiasi hicho?, Mara useme Pandemic, umebanwa huko unaleta blah, blah za kisiasa, wacha ujinga wewe.
Pandemic haina maana nchi zote zitaathirika duniani, haijawahi kutokea Pandemic yoyote ile ambayo nchi zote duniani zimeathirika, lazima kuna nchi zinapona.
Haina maana kwamba nchi Jirani ikiathirika, lazima nayo pia ipate maambukizi, hata kama itapata maambukizi, sio lazima maambukizi yalingane.
South Africa inaongoza kwa maambukizi, Afrika, lakini majirani zake wote, ikiwemo Lesotho ambayo inezungukwa na South Afrika, hata 100 hawajafikisha.
Jaribu kutumia akili wacha kujiaibisha.
Hao ndio eti wanataka tuwapigie kura washike dola ili watuongoze [emoji23][emoji23][emoji23]Maana wewe umeuliza swali la kipumbavu eti ugonjwa uwe Kenya Tanzania kue hakuna ndio maana nikakutolea mfano huo wa nzige mbona Tanzania ipo karibu na Kenya lakin hamna bc usishangae ukiambiwa korona Tanzania ipo ila Kwa kiwango kidogo Sana na pia sisi wagonjwa tunawatibia wanapona ila ninyi akili zenu zimelala Kwa mzungu munasubiri dawa ya mzungu munapima tu bc
Mkuuu hivi mwaka huu chadema kitamsimamisha mbowe au lissu kugombea uraisiUnachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,ugaidi,ujambazi,uhalifu na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha ujambazi na Corona ambayo ni pandemic?!
Kwaiyo ebora siyo pandemic...we mbona km mtot hivyoUnachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,njaa,ebola,nzige na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha njaa na ugonjwa ambao ni pandemic?!
Unaelewa kuwa siyo sahihi kulinganisha ugonjwa ambao ni pandemic na janga la nzige?Maana wewe umeuliza swali la kipumbavu eti ugonjwa uwe Kenya Tanzania kue hakuna ndio maana nikakutolea mfano huo wa nzige mbona Tanzania ipo karibu na Kenya lakin hamna bc usishangae ukiambiwa korona Tanzania ipo ila Kwa kiwango kidogo Sana na pia sisi wagonjwa tunawatibia wanapona ila ninyi akili zenu zimelala Kwa mzungu munasubiri dawa ya mzungu munapima tu bc
Viongozi wetu wanajielewa Sisi tulichukulia korona sio ugonjwa bali ni vita sasa hatukuchagua silaha wala hatuna dharau kama ninyi , hata kama Kenya ingetangaza muna dawa tungekuja kuchukua tuangalie inasaidia au la kama tulivyofanya Kwa Madagascar kanchi kadogo hatujakidharau tumechukua tumefanyia uchunguzi tumegundua ya kwetu ni bora zaidi ila Kwa kua mabeberu wanapenda kujiona wao bora tukaona tusiitangaze tusipigwe mawe kama Madagascar ila majibu wanayapata wanabaki kumpongeza tu magufuri Kwa jinsi alivyokabiliana na korona hawampongeze Uhuru waliompa mwongozo ndio ujue kama hawa ndumilakuwili.Unaelewa kuwa nchi kutokuripoti hata mgonjwa mmoja siyo kithibitisho cha kisayansi kuwa hiyo nchi haijakumbwa na Corona?Unaelewa kuwa suala la kuripoti visa vya Corona ni la kisiasa na ni la uamuzi wa nchi tu?Yaani nchi fulani inaweza kuamua kutangaza visa sahihi au ikaamua kutangaza visa ambavyo siyo sahihi?
Huyo ni chadema iliyo expireKwani huyu ni mtanzania?, Mimi ninahisi ni mkenya.
Yani ujinga ni mwingi sn kwajil y siasa ....wew mbna km umevurugwa hivyo kwaiyo iyo korona sasa ipo n inaua uko unapopajua wew tu siyo....alafu inajificha au...?tumia akili acha kutumia matope n ukawa kipof kisa siasa....kwa kuwa wanaokufa ni kuku si Watanzania, right?
Umeandika blah blah mingi ila hujajibu swali langu!Nimekuuliza hivi:Unaelewa kuwa nchi kutokuripoti hata mgonjwa mmoja siyo kithibitisho cha kisayansi kuwa hiyo nchi haijakumbwa na Corona?Viongozi wetu wanajielewa Sisi tulichukulia korona sio ugonjwa bali ni vita sasa hatukuchagua silaha wala hatuna dharau kama ninyi , hata kama Kenya ingetangaza muna dawa tungekuja kuchukua tuangalie inasaidia au la kama tulivyofanya Kwa Madagascar kanchi kadogo hatujakidharau tumechukua tumefanyia uchunguzi tumegundua ya kwetu ni bora zaidi ila Kwa kua mabeberu wanapenda kujiona wao bora tukaona tusiitangaze tusipigwe mawe kama Madagascar ila majibu wanayapata wanabaki kumpongeza tu magufuri Kwa jinsi alivyokabiliana na korona hawampongeze Uhuru waliompa mwongozo ndio ujue kama hawa ndumilakuwili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti ebola ni pandemic!Kwaiyo ebora siyo pandemic...we mbona km mtot hivyo
Ivi wewe ni akili imechoka au ndio uvivu wa kufikiri washindwe marekani n china kuficha ije ifiche Tz ? Kwel ww bongo lala bure kabisaHata huku Tz ipo na inaua! Tofauti yetu na Kenya ni kwamba sisi tumeamua kuficha ndio maana unaona kama hamna maambukizi.
Tuombe Mungu tu hili janga lipite ama ipatikane chanjo
Bro atumie akili anayo Kwanza? Ndio maana nikamtolea mfano wa nzige Kenya ni janga lakin Tanzania hamna hata mmoja na wanauwezo wa kuruka kilomota 100 Kwa saa lakini wapo India sasa kama Kenya kilakitu ikiathirika lazima jirani apate sawa na Kenya au azidi mbona hatuna zige .unajua humu ndio hatuonani tu lakin tungekuwa tunaonana kuna watu cjui kama wagejibiwa baada ya kutoa hoja zao maana unajua kabisa kama huyu si wakumjibu ila hii Jf inastili watuWewe wacha ujinga wako, sisi wote sio wavuta bhangi kama wewe, kwanini unakua mpumbavu kiasi hicho?, Mara useme Pandemic, umebanwa huko unaleta blah, blah za kisiasa, wacha ujinga wewe.
Pandemic haina maana nchi zote zitaathirika duniani, haijawahi kutokea Pandemic yoyote ile ambayo nchi zote duniani zimeathirika, lazima kuna nchi zinapona.
Haina maana kwamba nchi Jirani ikiathirika, lazima nayo pia ipate maambukizi, hata kama itapata maambukizi, sio lazima maambukizi yalingane.
South Africa inaongoza kwa maambukizi, Afrika, lakini majirani zake wote, ikiwemo Lesotho ambayo inezungukwa na South Afrika, hata 100 hawajafikisha.
Jaribu kutumia akili wacha kujiaibisha.
Hapo ndio utajua bongo chenga nyingi sana yani ww unaongelea korona unaleta mada nyingine ....wapi watu wanapo kufa kwa korona?...Tzhuwezi kuona wahanga wa korona kwa sababu unashabikia blindly wanaokupa pilau, tisheti na kofia za dezo.
unaowashabikia kwa zawadi za pilau, tisheti na kofia wana sifa hizi:
1) wanaona sawa mtuhumiwa wa matrilioni (Kangi) kuwa huru mtaani lakini kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa 17M tu yupo selo miezi 6 sasa
2) wanamshinikiza polisi (Mroto) aseme uongo dhidi ya Mbowe kinyume na kauli yake ya awali
3) wakazi wa maeneo ambayo wananchi hawakumpa rais kura wamevunjiwa makazi yao huku wale wengine wakiachwa
4) toilet pepa za Musiba (Tanzanite, nk) zinaachiwa zitukane ba kutishia watu lakini magazeti mengine yanafungiwa hovyo
5) nk, nk, nk
ndugu, amka upone - achana na pilau, tisheti na kofia!
Umejuaje kama hatua muliochukua ni staikiUpo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogo
Shida mliokua nayo wakenya ni moja tu ndio maana tunakosana kila cku , shida kuwaamini wazungu kupita kiac bc , hivi utanambiaje Kenya imechukua hatua staiki wakati hizo hatua hazijasaidiaUpo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogo
Huku iwe chadema huku jiwe ni heri kulipigia jiweHao ndio eti wanataka tuwapigie kura washike dola ili watuongoze [emoji23][emoji23][emoji23]
Waliwaombea wapi? Huku mitandaoni? Mitandaoni ni kakikundi ka watu hata m5 hawafiki. MUNGU awaponye na hili janga.Tatizo walituombea tupukutike sana, walituita Italy ya East Africa, sasa watu kama hao unataka tuwahurumie?.
Wewe hiyo ya watu kufa upo maeneo gani ya Tanzania?, kama vyuoni na mashuleni hakuna taarifa za watu kufa, wala wachezaji wa mpira wanaocheza ligi ya EPL hakuna hata mmoja anayeunwa, au hata timu za ligi kuu pia zinaficha?
Umepima kwa kutumia njia gani ya kisayansi ukajua kuwa hatua walizochukua hazijasaidia?Unaelewa kuwa kwa mfano kama leo kenya wanakufa watu watano kwa siku huenda wasingechukua hatua walizochukua sasa hivi wangekufa labda watu ishirini kwa siku?Shida mliokua nayo wakenya ni moja tu ndio maana tunakosana kila cku , shida kuwaamini wazungu kupita kiac bc , hivi utanambiaje Kenya imechukua hatua staiki wakati hizo hatua hazijasaidia
Toka nisome concept za watu ww ndio kichwa iliyo jaa maji...na msafu wa siasa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Upo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogo
Kwani Tanzania haijaripoti? Kama hujui kuhusu Tanzania ngoja nikusaidie bcmara ya mwisho mwezi huu uliopita wazir mkuu alitanga Tanzania kuna wagonjwa 66 ugonjwa ujaisha endeleeni kuchukua tahadhar na Rais kila cku ndio neno lake endeleeni kuchukua taadhari ugonjwa haujaishaUmeandika blah blah mingi ila hujajibu swali langu!Nimekuuliza hivi:Unaelewa kuwa nchi kutokuripoti hata mgonjwa mmoja siyo kithibitisho cha kisayansi kuwa hiyo nchi haijakumbwa na Corona?