Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe ni mpumbavu!Unafikiri kuwa Corona inaweza ikawa hapo kenya/ikaangamiza hapo Kenya halafu isiwe hapa Tanzania?!Ukishakuwa mwana CCM ni laana kuwa ni lazima uwe mbumbumbu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua bado unakula Kwa mamayako wewe maana maneno unayoongea tu unaonyesha dhahir hata tonge lako huwez kutafuta kutokana na kiwango cha akili uliokua nayo ,kwani umeambiwa kitu kikiwepo Kenya ndio lazima kiwepo Tanzania au unawaza Kwa kutumia tope la makalio . Kenya kuna nzige mbona Tanzania hamna , Kenya kuna njaa mbona Tanzania hamna , Kenya kuna ukabila mbona Tanzania hamna , mfano mwengine DRC kongo kuna Ebora mbona Rwanda na Burundi hamna , unatakiwa uwaze Kwa kutumia kichwaWewe ni mpumbavu!Unafikiri kuwa Corona inaweza ikawa hapo kenya/ikaangamiza hapo Kenya halafu isiwe hapa Tanzania?!Ukishakuwa mwana CCM ni laana kuwa ni lazima uwe mbumbumbu?
Itakua bado unakula Kwa mamayako wewe maana maneno unayoongea tu unaonyesha dhahir hata tonge lako huwez kutafuta kutokana na kiwango cha akili uliokua nayo ,kwani umeambiwa kitu kikiwepo Kenya ndio lazima kiwepo Tanzania au unawaza Kwa kutumia tope la makalio . Kenya kuna nzige mbona Tanzania hamna , Kenya kuna njaa mbona Tanzania hamna , Kenya kuna ukabila mbona Tanzania hamna , mfano mwengine DRC kongo kuna Ebora mbona Rwanda na Burundi hamna , unatakiwa uwaze Kwa kutumia kichwa
Kwahiyo wanaomba waong3zeke ili misaada izidi, wanatembeza bakuli omba omba. Kweli umasikini ni laanaBado nitaendelea kuwaambia, hii ni biashara kenya wanafanya. Hz data ni za kupikwa ili wapewe pesa za misaada hasa baada ya kusikia imf watawapa pesa watanzania kwa ajili ya corona.
Wanataka wafikie idadi ya who wanayosema, wakisema mwezi july maambukizi yatafikia 1000, basi ni lazima wayafikie. Mark my word.
Hizi kama ikiendelea kwa let say miaka 4, wataendelea kutangaza hivihivi? na nina hisi Uhuru atahgairisha uchaguzi ili aendelee kuongoza , coz hamna jitihada yoyote inayotangazwa ya kuondoa huu ugonjwa zaidi ya kusema idadi tu.
wewe wasema!Unataka tuanze kushindania vifo?
Kama sitakuona humu jf nitaamini kuwa ipo na imekuondoaHata huku Tz ipo na inaua! Tofauti yetu na Kenya ni kwamba sisi tumeamua kuficha ndio maana unaona kama hamna maambukizi.
Tuombe Mungu tu hili janga lipite ama ipatikane chanjo
Mbona Kenya kuna locust, njaa, ujambazi, terrorists, tribalism, crime, slums, nepotism and land grabbers lakini Tanzania hakuna hata moja, vipi unashangaa kuhusu Corona. Vipi South Afrika wanakufa kwa maelfu lakini Botswana hali ni shwari?.Wewe ni mpumbavu!Unafikiri kuwa Corona inaweza ikawa hapo kenya/ikaangamiza hapo Kenya halafu isiwe hapa Tanzania?!Ukishakuwa mwana CCM ni laana kuwa ni lazima uwe mbumbumbu?
Unachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,ugaidi,ujambazi,uhalifu na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha ujambazi na Corona ambayo ni pandemic?!Mbona Kenya kuna locust, njaa, ujambazi, terrorists, tribalism, crime, slums, nepotism and land grabbers lakini Tanzania hakuna hata moja, vipi unashangaa kuhusu Corona. Vipi South Afrika wanakufa kwa maelfu lakini Botswana hali ni shwari?.
Kwani nchi zote zimeathirika?, bado zipo nchi nyingi tu hapa duniani haziharipoti hata mgonjwa mmoja, Pandemic maana yake ni mlipuko uliozikumba nchi nyingi za dunia kwa wakati mmoja, haina maana ya nchi zote duniani.Unachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,njaa,ebola,nzige na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha njaa na ugonjwa ambao ni pandemic?!
Kwahiyo hao nzige kila cku wapo huko kwenyu mushawazoea kwenu sio janga kubwa maana mpaka India wanawasumbuaUnachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,njaa,ebola,nzige na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha njaa na ugonjwa ambao ni pandemic?!
Kwani nchi zote zimeathirika?, bado zipo nchi nyingi tu hapa duniani hazijaripoti hata mgonjwa mmoja, Pandemic maana yake ni mlipuko uliozikumba nchi nyingi za dunia kwa wakati mmoja, haina maana ya nchi zote duniani. Wewe ni kiongozi wa mabwege na mapumbavu hapa JF. Hujui lolote kuhusu neno Pandemic, mpumbavu mkubwa weweUnachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,ugaidi,ujambazi,uhalifu na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha ujambazi na Corona ambayo ni pandemic?!
Kwan maana ya pandemic inamaanisha lazima Kwa kila nchi itaathirika sawa kama nchi zengine zilizoathilika zaidi?Unachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,ugaidi,ujambazi,uhalifu na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha ujambazi na Corona ambayo ni pandemic?!
Kwani nchi zote zimeathirika?, bado zipo nchi nyingi tu hapa duniani hazijaripoti hata mgonjwa mmoja, Pandemic maana yake ni mlipuko uliozikumba nchi nyingi za dunia kwa wakati mmoja, haina maana ya nchi zote duniani. Wewe ni kiongozi wa mabwege na mapumbavu hapa JF. Hujui lolote kuhusu neno Pandemic, mpumbavu mkubwa wewe
Maana wewe umeuliza swali la kipumbavu eti ugonjwa uwe Kenya Tanzania kue hakuna ndio maana nikakutolea mfano huo wa nzige mbona Tanzania ipo karibu na Kenya lakin hamna bc usishangae ukiambiwa korona Tanzania ipo ila Kwa kiwango kidogo Sana na pia sisi wagonjwa tunawatibia wanapona ila ninyi akili zenu zimelala Kwa mzungu munasubiri dawa ya mzungu munapima tu bcUnachekesha sana mkuu!Unaelewa maana ya ugonjwa kuwa pandemic?Unalinganisha ukabila,ugaidi,ujambazi,uhalifu na Corona ambayo ni pandemic?!Umeona ulivyothibitisha mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu sasa?Ninyi ndiyo mnang'ang'ania kuongoza nchi kwa akili hizi za kulinganisha ujambazi na Corona ambayo ni pandemic?!
Naona mafisadi magu kawaminya pumb*u mnagugumia tu ,wakati wenu umekwisha subirini kufa tuHata huku Tz ipo na inaua! Tofauti yetu na Kenya ni kwamba sisi tumeamua kuficha ndio maana unaona kama hamna maambukizi.
Tuombe Mungu tu hili janga lipite ama ipatikane chanjo
Labda nyani zinakufa tz maana sisi hata habari ya korona tumesha sahau ,,,,Utawasikiaje na wakati hlo kwenu hakuna corona, sai hko watu wanakufa kw kukosa hewa tu
Wewe wacha ujinga wako, sisi wote sio wavuta bhangi kama wewe, kwanini unakua mpumbavu kiasi hicho?, Mara useme Pandemic, umebanwa huko unaleta blah, blah za kisiasa, wacha ujinga wewe.Unaelewa kuwa nchi kutokuripoti hata mgonjwa mmoja siyo kithibitisho cha kisayansi kuwa hiyo nchi haijakubwa na Corona?Unaelewa kuwa suala la kuripoti visa vya Corona ni la kisiasa na ni la uamuzi wa nchi tu?
Upo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogoKwan maana ya pandemic inamaanisha lazima Kwa kila nchi itaathirika sawa kama nchi zengine zilizoathilika zaidi?
Upo sahihi,maana ya pandemic ni kwamba zile nchi ambazo hazichukui hatua stahiki kama Tanzania zitaathirika sana na zile ambazo zinajitahidi kuchukua hatua stahiki kama Kenya zitaathirika kidogoWewe wacha ujinga wako, sisi wote sio wavuta bhangi kama wewe, kwanini unakua mpumbavu kiasi hicho?, Mara useme Pandemic, umebanwa huko unaleta blah, blah za kisiasa, wacha ujinga wewe.
Pandemic haina maana nchi zote zitaathirika duniani, haijawahi kutokea Pandemic yoyote ile ambayo nchi zote duniani zimeathirika, lazima kuna nchi zinapona.
Haina maana kwamba nchi Jirani ikiathirika, lazima nayo pia ipate maambukizi, hata kama itapata maambukizi, sio lazima maambukizi yalingane.
South Africa inaongoza kwa maambukizi, Afrika, lakini majirani zake wote, ikiwemo Lesotho ambayo inezungukwa na South Afrika, hata 100 hawajafikisha.
Jaribu kutumia akili wacha kujiaibisha.
Nasikia tz wamekufa watu 240000 ? Chadema wamesema na wagonjwa laki 8Wewe ni mpumbavu!Unafikiri kuwa Corona inaweza ikawa hapo kenya/ikaangamiza hapo Kenya halafu isiwe hapa Tanzania?!Ukishakuwa mwana CCM ni laana kuwa ni lazima uwe mbumbumbu?